النتائج 1 إلى 1 من 1

الموضوع: Virusi Ya Corona.. Wala Sio Corona Bali Ni Rijzi Yenye Shirika, Mungano Wa Ki Virusi..

هذا أحد المواقع الثانوية الخاصة بتبليغ دعوة الإمام المهدي المنتظر ناصر محمد اليماني والتي لا تتضمن أية أقسام خاصة ولا رسائل ولا عضويات وبالتالي لا يمكن المشاركة فيها ولا استرجاع الحسابات المفقودة عبرها، يوجد هنا فقط موسوعة البيانات مع الترجمة لبعضها إلى مختلف اللغات، ولا يتواجد الإمام المهدي إلا في الموقع الرسمي الوحيد منتديات البشرى الإسلامية والنبإ العظيم، وهناك يمكنكم التسجيل والمشاركة والمراسلة الخاصة وأهلاً وسهلاً بكم.

مصدر الموضوع
 1. Virusi Ya Corona.. Wala Sio Corona Bali Ni Rijzi Yenye Shirika, Mungano Wa Ki Virusi..

  مصدر المشاركة
  Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
  الإمام ناصر محمد اليماني
  17 - ذو القعدة - 1441 هـ
  08 - 07 - 2020 مـ
  09:17 صباحاً
  ( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
  ____


  Virusi Ya Corona.. Wala Sio Corona Bali Ni Rijzi Yenye Shirika, Mungano Wa Ki Virusi..


  Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabil3alamin..


  Asalam Aleykum Wa Rahmatullahi Wa Barakatuhu Wa Naim Ridhwanuhu Wapendwa wangu ma ansar walio tangulia walio bora, Mcheni Allah Al'Wahid Al'Qahar wala musiwe wanyonge kwa kusambaza ma Bayana
  za wanao ita virusi ya corona wala musifanye haraka kufafanua kwa watafiti wa haki katika binadamu kwa yale hatujasema! Bali nimesifu kwa virusi inao kuja kua ni ma simba wa ma virusi na kuisema kwa moja tutasema simba; Na nakusudia katika nguvu yake na uvamizi wake wala sikukusudia mbali na hayo!


  Na enye wapendwa wangu ma ansar, Hakika ya makosa yenu inawahusu nyinyi wala haimhusu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani kwa kua mimi hapana wala si tamki katika Bayana Zangu kuhusu wanao ita virusi ya corona ispo kua yale nayo yajua kwa ilimu ya yakini kwenye kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim, Lakini nyinyi munaharaka na labda hivo hivo mwafkiria kua mimi nakusudia kwa mbu kua ni mbu katika wale wanawajua watu wale wanao eneza na wanao dunga na hakika nyinyi mumekosa, Basi haitakiwi kwa Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad kua agongane na fatwa zake kwa haki kwa kua mimi sisemi ju ya Allah ispo kua haki wala sio kwa dhana na najilinda kwa Allah kua niwe katika ma jahili.


  Na imetangulia fatwa yetu kwa haki kua ile wanao ita virusi ya corona inao chanzo sio kua haijulikani katika ilio wazi maana yake Al'Quran Al3adhim; Kiumbe kipya
  ( بعوضةٌ ما )(Mbu fulani) wala hawana ujuzi nae na neno la (fulani} Inajengwa kwa itakao kuja haijulikani, Na hio hapo imekuja wakati wa kusadikisha kupiga mfano wa changa moto ulio waadiwa kutoka kwa Allah katika kitabu, Na hivo hivo aina ya ma virusi mpya ju ya wanadamu wenye umri mrefu kuishi bara na majini na angani na kwenye baridi na kwenye joto wame tayarishwa na chanzo chake; Miujiza kutoka kwa Allah ili waishi kwenye kila aina ya hali ya hewa mpaka iwe adhabu ya ki ulimwengu wala sio kama ma virusi ya milipoko ambazo wazijua watu; Bali wenye umri mrfu wana huyika kwenye mwili wa mtu na inafanya hila na mtu kwa mtu peke kisha waishi kwenye hewa wazi baada kutoka kwenye mwili basi waishi hivo hivo bila ya mwili mpaka atakapo Allah ili iwasibu wengine; Wanaendeshwa kwa amri ya Mola Mlezi wao inampata Anae Taka na Anamondoshea Anae Mtaka, Na chanzo chake ina mzunguko mkubwa inafanya mzunguko wake kwa mbio ya kuzidi Super, Nae ni (Mbu fulani) Wala macho yenu haiyoni; Kuzidisha katika viumbe na changa moto kutoka kwa Allah, Kiumbe kipya (Mbu fulani) Kama kwamba ndege ya kivita; Bali ina mbio zaidi kuliko ndege zenu za ki vita na ma roket zenu za ardhi na za ju na za kwenda angani kwa utafauti mkubwa mno wanahama kwa Maneno ya Allah Subhanahu, Na kazi yake yaingia kwenye kifua cha mtu ili waweke mayayi yao katik vifua kuweka kwa mbio sana wnateremsha mayayi yake ndani ya kifua cha mtu na hivo ili iwe kizazi chake cha ki virusi kinahama kutoka kwa mtu kwenda kwa mtu baada kufunguka viji mayayi basi zinaongezeka na kuenea ndani ya mwili wa mtu kama inavo inea moto kwenye nyasi kavu basi inahama kutoka kwa mtu kwenda kwa mtu, Na hapana na wala haitowagusa wanyama wala ndege watakavo wadangaya nyinyi basi hapana wala hawatoleta ushuhuda wa ki sayansi baini na hapana na wala haitomsibu mbu anae onekana kabisa bali chanzo chake hakijulikani
  (Mbu asiejulikana) Nayo ni kupigwa mfano katika viumbe kwa kun fayakun kua na kinakua wala haina mwanaume Ameiumba Allah nae, Wala haina mama imetoa mayayi yake, Bali mbu wa changa moto mfano mpya katika ma umma wa mbu, Nae ni mbu Amemuba Allah kwa Maneno ya Kudra Yake Kun Fayakun Kua Na Kinakua wala sio aina ya wanao dunga wala sio wenye kueneza maradhi yenu katika aina za mbu ambazo za julikana kwenu hasha kwa Allah; Bali katika adhariyati dharwan zinye mbio sana wanatumi


  a wanao mvamia katika watu katika kifua chake ndio aifanye ndio sehemu ya viji mayayi yake ndio amimine mayayi yake kumimina yenye mbio sana, Kisha anaondoka katika mwili kwa mbio sana na kuwacha mayayi yake ndani ya kifua cha mtu ndio mayayi yapasuke wakati wa kubeba kwake ndio itokeze ma virusi ziongezeke kuzidi katika mwili wa mtu kua na ma virusi na makalio yake ni kifua cha mtu, Na kuhusu mtambo wa viji mayayi ya mbu wa Mola Mlezi basi wanatoka katika mwili moja kwa moja, ispo kua yafanya mtu ni mapokezi ya mayayi yake mpaka yapasuwe ndio yaene katika mwili wa mtu kuenea kama moto katika nyasi kavu, Na makalio yake katika kifua mpaka impate mbengu za mayayi yake ile ambao yatoka ndani yake basi hivo hivo njia ya kuambukiza kwa watu wengine kutoka kwa mtu kwenda kwa mtu mwengine kwa njia ya hewa wazi, Wanaolea kwenye hewa; Basi wanabaki viumbe hayi katika hewa wala sio ni janga tu la kupita atakae mwenye kutaka na akatae mwenye kukata kwa kua janga la kupita ni wingu na laondoka, Haihat Haihat wala sikuitangaza kwa wanadamu kua ni janga la ulimwengu la kupita; Bali nimeitangaza ni adhabu ya ulimwengu inaendelea usiku na mchana kwa amri kutoka kwa Allah Al'Wahid Al'Qahar Katika mataifa tafauti ya ulimwengu kwa kiwango kinatafautiana kutoka kwa mtu kwenda kwa mwengine basi kwa kila moja daraja tafauti kwa yale walio yafanya, Na kati yake ni onyo na kati yake shari limeshandikwa; Bali mama mbu ambao mpya ni mtingisho wa ulimwengu kutokana na adhabu ya chini huwenda mukajiskitisha kwa Mola Mlezi wenu na mum nyenyeke kwake ilhali mwatubia na mwataka kwake Awarehemu basi Awaondoshe ju yenu adhabu Yake ili mufwate kitabu chake Al'Quran Al3adhim basi ndio Mumtii Allah na Khalifa Wake ju ya ulimwengu; Mja Wake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.


  Basi musifanye kiburi ju ya Khalifa wa Allah ndio Awalani laana kuu kama Alivo mlani shetani ambae amefanya kiburi kumsujudia Adam; Alinsan mtu Khalifa wa Allan wa kwanza katika jinsi ya Mtu, Basi musidhani kwamba Al'Imam Al'Mahdi ni mjinga bali ni mwerevu na naelewa nacho kisema, Na bado nazali nasisitiza kua ile munao ita virusi ya corona ni kiumbe hai inakua na inaongezeka katika miyili ya wanadamu, Wala sio aina ya ma vairusi kwnye miyili ya nguruwe wala punda wala ngombe wala ngamia wala wanyama wote, Na wala wanyama wote na ndege wako kando barrii kutokana na hi adhabu ya ulimwengu ambao inaendelea usiku na mchana na katika hali ya hewa tafauti katika ulimwengu,


  Na namshuhudisha Allah na tosha kwa Allah kua Shahidi kua sio kama ma virusi ambao hawana uwezo ambao wanazijua ma tabibu wanao khusika katika ilimu ya ma virusi zile ambazo haziwezi kuishi ispokua katika miyili, Bali hio na chanzo chake mbu asonekana hamuwezi kuiangamiza kwa aina zote za madawa za kumaliza wadudu; Bali zitabaki hai sawa katika viwiliwili venu ama hewani ama baharini ama bara, Na hivo hivo za ishi kwenye hali ya hewa tafauti mutake ama mukatae wala sio milele; Bali zitaendela mpaka munyenyeke kwa Khalifa wa Allah ndio mufwate kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim na mukufuru kwa yale yanao khalifu muhkam ilo wazi maana yake kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim hakika mimi kwenu ni mwenye kunasihi mwaminifu kabla Haja ngamiza nyuso akazigeuza nyuma ama awalani kama alivo walani watu wa jumamosi lana kuu Akipenda ikiwa haikufa kwenu mawaidha ya adhabu ya mbu inao toka kutoka kwa viji mayayi yake, Na hivo hivo zinapasuka na zinaongezeka adhabu yaliomo vifuani, Basi kila zipasukazo na zainea huwenda muka amini, Na nitawapigia kwa hayo mfano; Tembe moja imetoa mahindi saba na kila hindi moja ina tembe mia moja, Basi angalieni kwa ile tembe moja ambao mwaila; Imepoasuka ikaenea kwa ma mia ya ma tembe kutokana na tembe moja, ispokua hu ni mfano ili mujuwe maana ya kupasuka na kuenea Wala sisemi kwenu maneno kujiropokea na kucheza basi Mcheni Allah Al'Wahid Al'Qahar.


  Na kadhalika nwa tahadharisha enye ma3ashara wanao fanya kiburi kutokana na adhabu mbaya zaidi na unchungu zaidi, Na watajua kaumu wamini Al'Quran Al3adhim hakika kua sisi ni wa kweli si tamki isipokua kwa haki, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3
  ala:
  {Hakika Mwenyezi Mungu haoni haya kupiga mfano fulani mbu na ulio wa zaidi yake. Ama wale walio amini hujua ya kwamba hiyo ni haki iliyo toka kwa Mola wao Mlezi} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara:26].
  { إِنَّ اللَّهَ لَا يَسْتَحْيِي أَن يَضْرِبَ مَثَلًا مَّا بَعُوضَةً فَمَا فَوْقَهَا فَأَمَّا الَّذِينَ آمَنُوا فَيَعْلَمُونَ أَنَّهُ الْحَقُّ مِن رَّبِّهِمْ } صدق الله العظيم [البقرة: من الآية 26].

  Lakini tatizo ni kwenye maoni ya ma ansar kutoka kwa nafsi zao kwenye ma bayana ambazo za husiana na wao; Wana elezea walimwengu ufafanuzi ya habari kabla ya kufafanua Al'Mahdi Al'Muntadhar kutoka kwa ilio wazi maana yake ukumbusho; Bali wana wafafanulia wao kutokana na habari za ma tabibu wa binadamu kwa yale haja yasema Al'Imam Nasser Muhammad! Basi eee ajabu enyi ma3ashara ya ma ansar.. Basi vipi kua Khalifa wa Allah anatangaza changa moto kutoka kwa Allah Al'Wahid Al'Qahar kwa adhabu ilio fichika kutokana na wasokijua? pindi hawana ujuzi nao ma tabibu wa binadamu kwa kua nayo ni kutokana wasokijua, Na hakika mimi ni Al'Imam Al'Mahdi na elewa nacho kisema wala sisemi ju ya Allah yale siyajuwi kwa ilimu ya yakini, Na wala sito gongana katika fatwa zangu kwa haki na wao wana gongana; Na sababu ya ku gongana kwao kwa kua wao hawana ujuzi nao kisayansi bado.


  Na bado tunyao ufafanuzi kutoka kwa ilio wazi maana yake katika muhkam Al'Quran Al3adhim, Na kila kitu iko kwa wakati wake na tunawawacha katika upotevu wao hawaoni kwakua wao hawataki kutambua bado kua ni adhabu ya rijzi ya kuumiza inao kita ju yao kutoka kwa Mola Mlezi wa Ulimwengu; Mpaka waislamu utadhani ni mulhidina hawamini Mungu! Basi nitawawachw mpaka wakubali kutambua kwa haki kutoka kwa Mola Mlezi wao ama Awazidishe Allah Adhabu Ndio Afunguwe ju yao mlangu yenye adhabu kali kwakua wao ni kaumu mulhidina hawamini Mungu hawa kujiskitisha kwa Mola Mlezi wao wala hawa kunyenyekea na wataenda kujua kua jeshi la Allah lilio fichika na ambao ni werevu hakika wao ndio watakao shinda na wao ndio wanao dhibiti na washindi kwa idhini Ya Alio Waumba na Akawatuma na Akawafundisha vipi wafanye hila; Allah mbora wa kufanya hila Huyo kwenu ni Allah Mola Mlezi Wa Ulimwengu, Wala wasiwafitini warongo wanao kadhibisha katika ma taifa ya ulimwengu ambao ni ma almaniyun ma secularist.


  Na Bado inazali mshindo wa wanao ita virusi ya corona inaendelea katika ardhi ya walimwengu, Na na Mshuhudisha Allah na tosha Kwa Allah kua ni Shahidi haitakiwi kwa ile ambao wanao ita virusi ya corona iwe ni katika ilio tengezwa na binadamu kama wanavo dai kua ni Baiolojia na hakika wao ni warongo, Fawallahi hawawezi ku umba kitu sio mbu wala inzi hata kama watakutana kwajili yake, Bali wanao ita virusi ya corona ni kiumbe hai katika umbaji wa Allah, Basi nionesheni nini wameumba wale ambao chini yake ikiwa nyinyi ni wakweli enyi ma3ashara ya ma mulhidina kwa Allah Mola Mlezi wa Ulimwengu? Basi bado mwazali muko kwenye adhabu ya chini na kwenye kubwa na kubwa zaidi na kubwa zaidi, Hakika Ametoa idhini Allah kwa vita basi hakuna kurudi nyuma Subhanahu mpaka ije wadi Ya Allah hakika Allah Hakhalifu waadi Yake, Ndio Atimize Nuru Yake Hata Kama Watachukia Wahalifu Kutokezea Kwake.


  Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabilalamin..
  Khalifa Wa Allah Na Mja Wake; Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
  خليفة الله وعبده؛ الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ.
  _________


المواضيع المتشابهه

 1. La declaración decisiva y seria sobre la verdad acerca del Corona virus..
  بواسطة Admin في المنتدى Español
  مشاركات: 0
  آخر مشاركة: 29-05-2020, 07:11 PM
 2. Virusi Va Corona Na Bayana Ya Uwamuzi Wala Sio Mchezo ..
  بواسطة Admin في المنتدى Kiswahili
  مشاركات: 0
  آخر مشاركة: 21-05-2020, 11:56 PM
 3. مشاركات: 0
  آخر مشاركة: 11-03-2020, 11:48 PM

ضوابط المشاركة

 • لا تستطيع إضافة مواضيع جديدة
 • لا تستطيع الرد على المواضيع
 • لا تستطيع إرفاق ملفات
 • لا تستطيع تعديل مشاركاتك
 •