Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
21 - 08 - 1428 هـ
04 - 09 - 2007 مـ
09:40 مــساءً
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=172

ــــــــــــــــــــــ

{ وَأَوْحَيْنَا إِلَىٰ أُمِّ مُوسَىٰ أَنْ أَرْضِعِيهِ ۖ فَإِذَا خِفْتِ عَلَيْهِ فَأَلْقِيهِ فِي الْيَمِّ وَلَا تَخَافِي }
صدق الله العظيــــم ..

{Tulimfunulia mama yake Musa kwa kumwambia: Mnyonyeshe. Na utakapo mkhofia basi mtie mtoni, na usikhofu } Sadaqa Allah Al3adhim..

Bismillah Al’Rahman Al’Rahim, Na Sala Na Salam Juu Ya Wote Ma Nabi Na Mitume Na Alhamdulillah Rabil3alamin, Ama Baada Ya Hapo..

Ewe Hilmi, Na je wataka kwamba Aseme Harun kwamba Katika “Al’Tabut” Sanduku Ma baki yale walio wacha Al Musa Na Mimi? Ama Aseme iko ndani yake mabaki ya Al Musa Na Sisi? Bali ilikua Kauli Yake:
{وَقَالَ لَهُمْ نِبِيُّهُمْ إِنَّ آيَةَ مُلْكِهِ أَن يَأْتِيَكُمُ التَّابُوتُ فِيهِ سَكِينَةٌ مِّن رَّبِّكُمْ وَبَقِيَّةٌ مِّمَّا تَرَكَ آلُ مُوسَى وَآلُ هَارُونَ تَحْمِلُهُ الْمَلآئِكَةُ إِنَّ فِي ذَلِكَ لآيَةً لَّكُمْ إِن كُنتُم مُّؤْمِنِينَ} صدق الله العظيم [البقرة:248].
Allah Ta3ala Assma:
{Na Nabii wao akawaambia: Alama ya ufalme wake ni kukuleteeni lile sanduku ambalo mna ndani yake kituliza nyoyo zenu, kitokacho kwa Mola wenu Mlezi, na mna mabaki ya waliyo yaacha Al Musa na Al Harun, wanalichukua Malaika. Bila shaka katika hayo zimo dalili kwenu ikiwa nyinyi mnaamini } Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara:248].

Na hivo hivo je wajua kwamba Sanduku dhati yake ni Aya ishara alama kutoka kwa Allah wame’ileta hapo mtoni Malaika ili Mamake Musa amtumbukize Musa Kwenye Sanduku? Na lau ingekua hakuliona Sanduku Mtoni hange’tekeleza Amri Ya Allah, Lakini Allah Amefanya hio ni ishara kwake ili ipate tumaini moyo wake wala sio yeye alio liunda sanduku bali ni Aya kutoka kwa Allah ewe Hilmi ili ipate tumaini moyo wa Mama Kwa Mtoto wake mchanga, Hakika Sisi Tutamurudishia Kwako Na tutamfanya katika Mitume Pamoja Yakua Allah Amemwamuru kwamba Amtupe Mtoni na lau angekua hakulipata sanduku mtuoni ambalo wamelileta Malaika hange tekeleza Amri Ya Allah Na Akasema Allah Ta3ala:
{وَأَوْحَيْنَا إِلَى أُمِّ مُوسَى أَنْ أَرْضِعِيهِ فَإِذَا خِفْتِ عَلَيْهِ فَأَلْقِيهِ فِي الْيَمِّ وَلَا تَخَافِي وَلَا تَحْزَنِي إِنَّا رَادُّوهُ إِلَيْكِ وَجَاعِلُوهُ مِنَ الْمُرْسَلِينَ} [القصص:7].

Allah Ta3ala Asema:
{Tulimfunulia mama yake Musa kwa kumwambia: Mnyonyeshe. Na utakapo mkhofia basi mtie mtoni, na usikhofu wala usihuzunike. Hakika Sisi tutamrudisha kwako na tutamfanya miongoni mwa Mitume} Sadaqa Allah Al3adhim [Alqasas:7].

Na alikua anarudi rudi pindi vipi atamtupa Mtoni? Lakini siku moja ali’mnyonyesha mara akaona ma askari wa firaun wanataka kuja nyumba yake ili kutafuta, Hapo alikumbuka Amri kwamba pindi akimkhofia basi atakiwa Amtupe Mtoni, Basi akatoka nae mbio kulekea upande wa mto basi hapo akaliona Sanduku ikapata tumaini moyo wake akatekeleza Amri ya Mola Mlezi wake, Alafu akamtupa Musa ndani ya sanduku, Alafu akaisukuma Sanduku kwa Mkono wake Upande wa maji yanayo tembea mtoni na hivo ni kwajili ilikua sanduku limesimama pembezoni mwa maji ewe Hilmi, Na Akasema Allah Ta3ala:
{أَنِ اقْذِفِيهِ فِي التَّابُوتِ فَاقْذِفِيهِ فِي الْيَمِّ فَلْيُلْقِهِ الْيَمُّ بِالسَّاحِلِ يَأْخُذْهُ عَدُوٌّ لِّي وَعَدُوٌّ لَّهُ} صدق الله العظيم [طه:39].
Allah Ta3ala Asema: { Ya kuwa mtie katika sanduku, na kisha iskume mtoni, na mto utamfikisha ufukweni. Atamchukua adui yangu naye ni adui yake } Sadqa Allah Al3adhim [Taha:39].

Na Hilo ndilo “ Tabut Al’Sakina “ sanduku la kitulizo, Lakini Firaon alilichukua Sanduku alafu Mkewake akalichuku kutoka kwa firaon; Akamchukua Musa Aliyhi Asalat wa Al’’Salam pamoja na sanduku lake na ikabaki sanduku katika kasri ya firaon mpaka akamrithisha Allah Musa ufalme wa Firaon pamoja na Sanduku likaenda kwa kina Musa Na Harun lakini nalo likapotea Baada Kufa Musa ewe Hilmi, Na Wakalibeba Malaika Kama Vile walivo lileta Mwanzo kabla Na Alikua Harun Anampokea uongozi Musa pindi akiwa hayuko na hivo hivo amempokea uongozi baada Kufa kwake Na lau wangelikua wote wamekufa Angesema Baada ya Musa Na Harun lakini Yeye Amehadidisha kwamba Kifo cha Musa kabla ya Harun na kwamba Harun yeye ni khalifa wa Musa Baada Yake, Na Akasema Allah Ta3ala:
{أَلَمْ تَرَ إِلَى الْمَلَإِ مِن بَنِي إِسْرَائِيلَ مِن بَعْدِ مُوسَىٰ إِذْ قَالُوا لِنَبِيٍّ لَّهُمُ ابْعَثْ لَنَا مَلِكًا نُّقَاتِلْ فِي سَبِيلِ اللَّهِ قَالَ هَلْ عَسَيْتُمْ إِن كُتِبَ عَلَيْكُمُ الْقِتَالُ أَلَّا تُقَاتِلُوا قَالُوا وَمَا لَنَا أَلَّا نُقَاتِلَ فِي سَبِيلِ اللَّهِ وَقَدْ أُخْرِجْنَا مِن دِيَارِنَا وَأَبْنَائِنَا فَلَمَّا كُتِبَ عَلَيْهِمُ الْقِتَالُ تَوَلَّوْا إِلَّا قَلِيلًا مِّنْهُمْ وَاللَّهُ عَلِيمٌ بِالظَّالِمِينَ} صدق الله العظيم [البقره:246].
Allah Ta3ala Asema:
{Hukuwaona watukufu katika Wana wa Israili baada ya Musa, walipo mwambia Nabii wao: Tuwekee mfalme ili tupigane katika Njia ya Mwenyezi Mungu? Akasema: Je, haielekei ikiwa mtaandikiwa vita kuwa msipigane? Wakasema: Itakuwaje tusipigane katika Njia ya Mwenyezi Mungu, na hali tumetolewa majumbani kwetu na watoto wetu? Lakini walipo andikiwa kupigana waligeuka, isipo kuwa wachache miongoni mwao. Na Mwenyezi Mungu anawajua madhaalimu} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara:246].

Lakini wewe ulihisabu kwamba Harun ni mkubwa wa Musa basi haitakiwi kwamba afe Musa kabla ya Harun; Na hio ni kauli kwa dhana ambayo haisaidi haki kitu, Alafu kwanini usijiulize nafsi yako kwanini huyu Nabi hakuongoza bani israil pindi walipo taka kupigana katika njia ya Allah? Wala hakua ni muogo ewe Hilmi lakini yeye ni mzee sana, Na je wajua kwamba imetimu kuingia bani israil Masjid alaqsa baada miyaka arubaini wala haikua kuingia kwo baada ya ma mia ya miyaka mpaka uweke jambo mbali kwamba Ataishi vipi Harun; Bali ilikua kabla miyaka arubaini katika nusu ya umri wake Mwanamume mwenye nguvu na hivo hivo Musa kwajili ya hivo amisema Ewe Mola wangu Mlezi hakika mimi si miliki ila nafsi yangu na Ndugu yangu Akasema:
{قَالَ رَبِّ إِنِّي لَا أَمْلِكُ إِلَّا نَفْسِي وَأَخِي فَافْرُقْ بَيْنَنَا وَبَيْنَ الْقَوْمِ الْفَاسِقِينَ} [المائدة:25].
Allah Ta3ala Asema
{Akasema Ewe Mola wangu Mlezi Hakika mimi similiki ispokua nafsi yangu na ndugu yangu basi tenganisha baina yetu na baina ya kaumu ma fasiki } Sadaqa Allah Al3adhim [Al’Maida:25].

Akasema Ta3ala:
{قَالَ فَإِنَّهَا مُحَرَّمَةٌ عَلَيْهِمْ أَرْبَعِينَ سَنَةً يَتِيهُونَ فِي الْأَرْضِ} صدق الله العظيم [المائدة:26]
Allah Ta3ala Asema:
{(Mwenyezi Mungu) akasema: Basi nchi hiyo wameharimishiwa muda wa miaka arubaini, watakuwa wakitanga-tanga katika ardhi } Sadaqa Allah Al3adhim [Almaida:26];
Yani kwamba wao wameingia msikiti wa Al’qsaa Baada ya miyaka arubaini ewe Hilmi, Na hivo hivo utakuta Harun waziri wa Musa alikua kabla miyaka arbaini mwanamume ana nguvu lakini baada ilipo pita miyaka arubaini katika zama za kutanga tanga basi amefika hali ya uze ukubwani na baada ya kua na nguvu udhaifu na uze ewe Hilmi, Na hakika umenipendeza kwamba umenijadili katika Al’Quran, Na upelelezi wako kwa Al’Quran karibu iwe ni upelelezi ya watu wa akili lau sio pungufu ya kufahamu baadhi ya mambo, Na Nataradhilia kwa Allah kwamba akuzidishe Mwangaza na uongofu ju ya uongofu wako mpaka Atimize Allah kwako Mwangaza wako.


Na kama kwamba umenisadiki kwa kutawili ma herufu katika mwanzo ya baadhi za Sura alafu unakanusha juu ya Nasser Muhammad Al’Yamani Harufu Ya (ن) (Nun) Na unadai kwamba ni Yunus Ama jina la Samaki! Na Jee Amemahidi Allah Mtume Wake kwamba Atadhihirisha Jambo lake kwa mkono wa Mtume Wa Allah Yunus ama Samaki? Basi peleleza kiapo AlQasam Vizuri sana ewe Hilmi huwenda hutokanusha ilimu yangu, Na Akasema Allah Ta3ala:
{ن ۚ وَالْقَلَمِ وَمَا يَسْطُرُونَ ﴿١﴾مَا أَنتَ بِنِعْمَةِ رَبِّكَ بِمَجْنُونٍ ﴿٢﴾وَإِنَّ لَكَ لَأَجْرًا غَيْرَ مَمْنُونٍ ﴿٣﴾وَإِنَّكَ لَعَلَىٰ خُلُقٍ عَظِيمٍ ﴿٤﴾فَسَتُبْصِرُ وَيُبْصِرُونَ ﴿٥﴾ بِأَييِّكُمُ الْمَفْتُونُ ﴿٦﴾} صدق الله العظيم [القلم].

Allah Ta3ala Asema:
{Nuun. Naapa kwa kalamu na yale wayaandikayo (1) Kwa neema ya Mola wako Mlezi wewe si mwendawazimu (2) Na kwa hakika wewe una malipo yasiyo katika (3) Na hakika wewe una tabia tukufu (4) Karibu utaona, na wao wataona (5) Ni nani kati yenu aliye pandwa na wazimu (6)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alqalam].

Na Akasema Allah Ta3ala
:
{هُوَ الَّذِي أَرْسَلَ رَسُولَهُ بِالْهُدَىٰ وَدِينِ الحقّ لِيُظْهِرَهُ عَلَى الدِّينِ كُلِّهِ وَلَوْ كَرِهَ الْمُشْرِكُونَ}
صدق الله العظيم [التوبة:33].
Allah Ta3ala Asema:
{Yeye ndiye aliye mtuma Mtume wake kwa uwongofu na Dini ya Haki ipate kushinda dini zote, ijapo kuwa washirikina watachukia } Sadaqa Allah Al3adhim [Altawuba:33].

Alafu Nakuona unatafsiri Al’Quran Kwa Dhana wala sio kwa nafsi ya Al’Quran utachunguza tawili! Na Kwa Allah inakusudiwa Njia.

Ndugu Yako Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani.
أخوك الإمام ناصر محمد اليماني.
ــــــــــــــــــــ

اقتباس المشاركة 398 من موضوع