- 1 -
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
19 - 02 - 1436 هـ
11 - 12 - 2014 مـ
06:39 صباحاً
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=20545

ــــــــــــــــــ

معجزة الإمام المهدي لبيان خفايا أسرار القرآن وتفاصيل:
‎بيان ذي القرنين إبراهيم بن إسماعيل بن إبراهيم بن آزر..
Miujiza wa Alimam Almahdi kubaini kilio fichika katika Alquran na kufafanuwa bayana ya dhi Alqarneyn Ibrahim ibnu Isma3il ibnu Ibrahim ibnu Azaar..

Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Ma Nabi Wa Allah Na Mitume Wake Katika Ma Jini Na Watu Kutoka Wa Kwanza Wao Mpaka Alio Khatimu Wao Muhammad Mtume Wa Allah, Enyi Mulio Amini Wasalieni Ju Yao Na Mtowe Salamu Kusalimu Hatutafautishi Baina Ya Yoyote Katika Mitume Wake, Na Semeni Tumesikia Na Tumetii Ghufranaka Rabana Wa Ileyka Al'Masir, Ama Baada Ya Hapo..


Kutoka kwa Alimam Almahdi kwa wana zuoni wa waislamu wote na umma wao wote kwa pamoja.
Asalm 3aleikum wara7hmatu Allahi wabarakatuhu, salamu ju yetu na waja wake wema katika kila zama na kila mahali mpaka siku ya dini, Na ash'hadu ana la illaha ila Allah na Ash'hadu ana Muhammad mtume wa Allah na Ash'hadu ana Alimam Almahdi Almuntadhar Nasser Muhammad kwakuwa alio khitimisha utume na unabi ni mtume Muhammad sala Allahu aleyhi wa'alihi wasalam, ispokua anatumilizwa Alima Almahdi Almuntadhar Nasser Muhammad ili awabainishie yale mulio ikhtalifiana katika dini yenu na atwala ju yenu kwa hukumu ya haki na kauli ya kujitenga kutokana na mu7hkam Alquran Al3adhim mpaka awarudishe kwa minhaj ya Alnubuwa Alula mbinu ya nubuwa utume ya kwanza kitabu cha Allah na sunna ya bayan ya Alnubuwa utume kwa haki ile ambao iloteremshwa kwa alio khitimisha unabi na utume Muhammad sala Allah Aleihi wala alihi wasalam.


NA Ajabu mambo yenu enye ma3ashara Al'sunna na mashi3a japo kuwa munajuwa kuwa kinacho kusudiwa kutokana na hadhidhi Alnabawi kwa haki inashiria jina la Muhammad kuwa yakusudiwa altawafuq kuwafikiana wala sio Altatabuq kutabiqiana kwa jina la imam Almahdi! na huyo tayari ashawasili Alimam Almahdi Nasser Muhammad kwakuwa munajuwa kwa lugha Altawatu inakusudiwa Altawafuq, Kwa mana jina la Muhammad lina wafikiana na jina la Alimam Almahdi Nasser Muhammad, Ndio amiwapa fatwa Mtume alivo sema rehma na Amani zimshukie: [يواطئ اسمه اسمي][lina'afikiana jina lake jina lang] kwa mana jina la Muhammad linawafikiana na jina la Alimam Almahdi Nasser Muhammad Alyamani kwakuwa alio khitimisha utumi na unabi ni Mtume Muhammad sala Allahu Aleyhi wa alihi wasalam ila kuwa anamtuma Allah Alimam Almahdi Nasseran li Muhammad Mtume Wa Allah manake nasseran lii Muhammad kunusuru yale alikuja nayo Muhamaad ndio anahojiana na nyinyi kwa yale alio teremshiwa Muhammad Mtume wa Allah Alquran Al3adhim kwa ufahamu wa Muhammad mtume wa Allah na alio mfwata mpaka siku ya dini, Na niwafundishe ile muliokuwa hamujuwi, Na sio kwa wahi mpya bali kwa Bayana ya haki ya Alquran Almajid, Na tunakumbusha kwa Alquran mwenye kuogopa
Waiid..


Na enye ma3ashara ya wanazuoni wa waislamu, Hakika Alimam Almahdi aliwafwata fatwa zenu mwanzo wa jambo kuwa mtume wa Allah Ibrahim ibnu Azaar amimtuma Allah kwa mfalme alnamrud ibnu kan3an na nikagunduwa kuwa nyinyi mumikosa, Na akafwata Alimam Almahdi fatwa zenu kuwa nabi wa Allah 3uzeir aleyhi asalat wasalam kuwa amishi mara mbili alafu nikagunduwa kuwa mumikosa, Lakini mimi nimigunduwa makosa yenu bada kufwata fatwa zenu, Na akaendelea Alimam Almahdi Nasser Muhammad Alyamani kufwata fatwa ya wana zuoni kuhusiana mambo hayo mawili idadi ya miyaka japo kuwa nimigunduwa makosa ya wanazuoni wa waislamu lakini sina budi ispokuwa kufwata mwanzo wa jambo ili nisiwafitini ma ansar wangu mpaka wakati ufike, Mpaka wawe wingi wajuwe uhakika wa Alna3im Ala3dham kutoka hapo alafu ndio niwalete ilimu na ufafanuzi na alafu kutoka hapo nikanushe fatwa ya wanazuoni wa waislamu kuhusu Alnamrud ibnu kan3an na niwalete badala kwa fatwa ya haki katika kadar ilio kadiriwa katika kitabu kilo andikwa, Na kutangaza changamoto kwa haki kwa bayana ya haki ya Alquran Al3adhim na kufafanuwa siri na kiliofichika katik Alquran Al3adhim kwa yale ambao haw


ajabaini hata moja katika wanazuoni wa waislamu kabla ya Alimam Almahdi, Na nitawale ju yenu kwa mamlaka Albayan kwa haki ya Alquran Al3adhim, Na kubainisha Alquran kwa quran kwa utawala wa ilimu ya nguvu dhidi kutokana na mu7hkam ilo wazi AlqauranAl3adhim.


Japo kuwa nimigunduwa makosa ya fatwa yenu lakini bada kuwafwata katika hayo mambo mawili alafu nikasubiri idadi ya miyaka mingine kuchunga ma ansar wasifitinike mpaka wawe wingi na wajuwe uhakika wa Alna3im Ala3dham, Alfu kutoka hapo niwaminie wako imara kutokana na fitna ndipo nije na kubadili na kurekibisha kwa haki kwakuwa badhi yao watadhani kuwa Alimam Nasser Muhammad Alyamani yeye ndio alio towa fatwa ya kuwa Ibrahim ibnu Azar Allah amimtuma kwa Alnamrud ibnu kan3an, Lakini wana zuoni wakislamu wote wanajuwa kuwa wao ndio walio towa fatwa kwa hayo wala sio Alimam Nasser Muhammad Alyamani, Na sitokubali wala sitofwata bada ya leo katika swala lolote mpaka nipitishe katika mu7hkam ilio wazi Alquran Al3adhim.

Na enye ma3ashara ya wanazuoni wa waislamu na umati wao njoni niwafundishe atadabur kupeleza kwa kina kwa haki ya kitabu cha Allah Alquran Al3adhim, kusadikisha kauli ya Allah ta3ala:
{كِتَابٌ أَنْزَلْنَاهُ إِلَيْكَ مُبَارَكٌ لِيَدَّبَّرُوا آيَاتِهِ وَلِيَتَذَكَّرَ أُولُو الْأَلْبَابِ} صدق الله العظيم [ص:29].
Allah ta3ala asema:{kitabu tumikiteremsha kwako kilobarikiwa ili watadabar kupeleleza kwa kina aya zake ili wakumbuke wenye akili}
sadaqa Allahu Al3adhim
[sawad:29]

Na ni vipi mutajuwa kilio fichika na siri ya Alquran Al3dhim na badhi yake pindi mukipata katika aya mbili kukanusha na kuthibitisha: Kwa mfano: {yasin (1) na Alquran Al7hakim (2) hakika wewe ni katika mitume (3) kwa Njia ilio nyoka (4) imiteremshwa kutoka kwa Al3aziz Alrahim (5) ili uwaonye qaumu hawajaonywa babazao basi wao wako katika kughafilika (6) sadaqa Allah Al3dhim [yasin]
{يس ﴿١﴾ وَالْقُرْآنِ الْحَكِيمِ ﴿٢﴾ إِنَّكَ لَمِنَ الْمُرْسَلِينَ ﴿٣﴾ عَلَى صِرَاطٍ مُّسْتَقِيمٍ ﴿٤﴾ تَنزِيلَ الْعَزِيزِ الرَّحِيمِ ﴿٥﴾ لِتُنذِرَ قَوْمًا مَّا أُنذِرَ آبَاؤُهُمْ فَهُمْ غَافِلُونَ ﴿٦﴾} صدق الله العظيم [يس].


Basi angalieni kauli ya Allah ta3ala:
{لِتُنذِرَ قَوْمًا مَّا أُنذِرَ آبَاؤُهُمْ فَهُمْ غَافِلُونَ ﴿٦﴾} صدق الله العظيم،
Angalieni kauli ya Allah Ta3ala Akisema:
{ili uwaonye qaumu hawajaonywa babazao basi wao wamighafilika (6)} sadaqa Allahu Al3adhim.
Na Allha katika aya ingine anafundisha kuwa amiwatumia babazao Nabi na monyaji katika kauli ya Allah Ta3ala:
{أَفَلَمْ يَدَّبَّرُوا الْقَوْلَ أَمْ جَاءهُم مَّا لَمْ يَأْتِ آبَاءهُمُ الْأَوَّلِينَ (68) أَمْ لَمْ يَعْرِفُوا رَسُولَهُمْ فَهُمْ لَهُ مُنكِرُونَ (69) أَمْ يَقُولُونَ بِهِ جِنَّةٌ بَلْ جَاءهُم بِالْحَقِّ وَأَكْثَرُهُمْ لِلْحَقِّ كَارِهُونَ (70)} صدق الله العظيم [المؤمنون]،
Allah Asema :{ kwani hawakutadabar kauli ama yamikuja kwao yale ambao hayajaja kwa baba zao wa mwanzo (68) ama hawakumtambuwa mtume wao ndio wao kwake wanamkanusha (69) ama waseme ana jinaa tume bali amikuja kwao kwa haki na wingi wao kwa haki ni wenye kuchukia (70)} sadaqa Allahu Al3adhi [Almuminin]
Ndio kutoka hapo mutafahamu kuwa hakika Allah anakusudia kuwa yeye amituma kwa umma wa babazao wa mwanzo kutokana na kizazi cha Isma3il Mtume, Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
:{أَفَلَمْ يَدَّبَّرُوا الْقَوْلَ أَمْ جَاءهُم مَّا لَمْ يَأْتِ آبَاءهُمُ الْأَوَّلِينَ (68) أَمْ لَمْ يَعْرِفُوا رَسُولَهُمْ فَهُمْ لَهُ مُنكِرُونَ (69)} صدق الله العظيم.
Allah Ta3ala Asema: {ama hawakutadabar kauli ama imikuja kwao yale ambao hayajaja kwa babazao wa mwanzo (68) ama hawakumtambuwa mtume wao ndio wao kwake wanamkanusha (69) sadaqa Allah Al3adhim.


Na Ama bayana ya haki katika kauli ya Allah Ta3ala:
{أَمْ لَمْ يَعْرِفُوا رَسُولَهُمْ فَهُمْ لَهُ مُنكِرُونَ (69)} صدق الله العظيم،
Allah Ta3ala Asema: {ama hawajamtambuwa mtume wao ndio wao kwake wanamkanusha (69) sadaqa Allah Al3adhim, Yani: Ama hawakujuwa maqureish Mtume wao ndio wao kwake wanamkanusha kuwa ni kutoka kwao kama walivo kanusha mababazao nabi wao na yeye anatokana na wao lakini wao wamimkanusha kuwa anatokana na wao kwakuwa hawakumjuwa kutoka mwanzo kabisa kwakuwa yeye amisafiri kutoka maka anakusudia Kwend


a sham kabla miyaka mia akapita katika kijiji kilo teremshiwa mvuwa ya mawe ya moto na hio ni Moja kati ya vijiji viya qaum Lut na walkuwa qureish ndio njia yao wanapita usiku na mchana kwakuwa kiko katika njia ya maka na sham: Na Akasema Allah Ta3ala:
{وَإِنَّ لُوطًا لَّمِنَ الْمُرْسَلِينَ (133) إِذْ نَجَّيْنَاهُ وَأَهْلَهُ أَجْمَعِينَ (134) إِلَّا عَجُوزًا فِي الْغَابِرِينَ (135) ثُمَّ دَمَّرْنَا الْآخَرِينَ (136) وَإِنَّكُمْ لَتَمُرُّونَ عَلَيْهِم مُّصْبِحِينَ (137) وَبِاللَّيْلِ ۗ أَفَلَا تَعْقِلُونَ (138)} صدق الله العظيم [الصافات].
Allah Ta3a:{hakika lut ni katika mitume(133)pindi tulipo waokuwa na ahli zake wote(134)ispokuwa kizere cha kike ni katika waliangamia(135)Alafi tukwabomwa walio bakia136)na hakika nyinyi munapita mukirauka(137)na usiku basi hata hamuti Akili(138)} sadaqa ALLAHU al3adhim[alsafat


{وَلَقَدْ أَتَوْا۟ عَلَى ٱلْقَرْيَةِ ٱلَّتِىٓ أُمْطِرَتْ مَطَرَ ٱلسَّوْءِ ۚ أَفَلَمْ يَكُونُوا۟ يَرَوْنَهَا ۚ بَلْ كَانُوا۟ لَا يَرْجُونَ نُشُورًۭا} صدق الله العظيم [الفرقان:40].
Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:{ na hakika wamikuja kwa kile kijiji kilo angamizwa na mvuwa ilio nyesha mvuwa mbaya je hawakua ni weny kuona bali walikuwa hawataraji ufufuo}sadaqa Aklahu Al3adhim[Alfurqan:40

Na hivo hivo walikuwa wanapita kwa kile kijiji wasafiri katika watu wa maka wanakiona kijiji wakipita katika njia yao kati ya maka na Alsham, Na katika watu wa maka mwanamume yule ambae alipita kutoka maka kwenda zake sham, Akasema Allah Ta3ala:
{أَوْ كَالَّذِي مَرَّ عَلَىٰ قَرْيَةٍ وَهِيَ خَاوِيَةٌ عَلَىٰ عُرُوشِهَا قَالَ أَنَّىٰ يُحْيِي هَٰذِهِ اللَّهُ بَعْدَ مَوْتِهَا ۖ فَأَمَاتَهُ اللَّهُ مِائَةَ عَامٍ ثُمَّ بَعَثَهُ ۖ قَالَ كَمْ لَبِثْتَ ۖ قَالَ لَبِثْتُ يَوْمًا أَوْ بَعْضَ يَوْمٍ ۖ قَالَ بَلْ لَبِثْتَ مِائَةَ عَامٍ فَانْظُرْ إِلَىٰ طَعَامِكَ وَشَرَابِكَ لَمْ يَتَسَنَّهْ ۖ وَانْظُرْ إِلَىٰ حِمَارِكَ وَلِنَجْعَلَكَ آيَةً لِلنَّاسِ ۖ وَانْظُرْ إِلَى الْعِظَامِ كَيْفَ نُنْشِزُهَا ثُمَّ نَكْسُوهَا لَحْمًا ۚ فَلَمَّا تَبَيَّنَ لَهُ قَالَ أَعْلَمُ أَنَّ اللَّهَ عَلَىٰ كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ} صدق الله العظيم [البقرة:259].
Asema Allah Ta3ala:{ ama kama yule alio pita katika kijiji na cho kiliangamizwa akasema Wapi Allah ataihuisha hiki bada kifo chake akamfisha Allah miyaka mia alafu akmfufuwa akasema siku ngapi nimika aksema siku ama masiku akasema bali umikufa miyaka mia basi angalia chakula chako na maji haijabadilika na mwangalie punda wako na ili tukfanye aya alama kwa watu na angalia mifupa tunavo ziunganisha alafu tunavo visha nyama na pindi alipo ona akasema najuwa kuwa Allah anauwezo wa kila kitu}[sadaqa Allahu Al3adhim [ Albaqara:259]


Allah Alimtuma baada kumalizika miyaka mia kutoka asafiri kutoka maka, Na tayari kulibadilika mambo mengi baada kuondoka kwake alipo eneza ufalme wake kwa kisiwa cha kiarabu mfalme tubi3 Al7himyri Alyamani, Akamtuma Allah Nabi wake Ibrahim mwana wa Isma3il mwanzo kwa qaum yake watu wa maka akawambia yeye ni katika qaum yao wakakata wakamkanusha kwakuwa walikuwa hawamjuwi kutoka mwanzo, Kwajili ya hivo Alisema Allah Ta3ala:
{أَفَلَمْ يَدَّبَّرُوا الْقَوْلَ أَمْ جَاءهُم مَّا لَمْ يَأْتِ آبَاءهُمُ الْأَوَّلِينَ (68) أَمْ لَمْ يَعْرِفُوا رَسُولَهُمْ فَهُمْ لَهُ مُنكِرُونَ (69)} صدق الله العظيم [المؤمنون].
Asema Allah Ta3ala:{ ama hawakutadabar kauli ama yamikuja yale hayajaja kwa ma baba zao (68) ama hawakumjuwa Mtume wao ndio wao kwake wanamkanusha (69)[sadaqa Allahu Al3adhim[Almuminun] kwakuwa mababazao
wamimkanusha Nabi alio tumwa kwao na yeye ni katika qaum yao, Na sababu ya kukanusha kwao nikuwa Allah amifisha miyaka miya mpaka alipo mfufuwa Allah hakuna moja alimjuwa katika watu wa maka, Ndio hivo utakuta wanakemewa makafiri wa kiqureshi wasifanye kama walivo fanya makafiri babazao kwajili ya hio amisema Allah:
{أَمْ جَاءهُم مَّا لَمْ يَأْتِ آبَاءهُمُ الْأَوَّلِينَ (68) أَمْ لَمْ يَعْرِفُوا رَسُولَهُمْ فَهُمْ لَهُ مُنكِرُونَ (69)} صدق الله العظيم
Asema Allah Ta3ala:{ ama imiwajia yale hayakuja kwa babazao wamwanzo (68) ama hawakumjuwa mtume wao ndio wao kwake wanamkanusha (69)} sadaqa Allahu Al3adjim ]. japo kuwa makafiri wa kiqureshi si kama babazao walikuwa hawamjuwi Mtume wao nd


io wakamkanusha; Bali wanamjuwa Mtume wao kwa kuwa amika muda mrefu kabla Allah hajamtuma kwao. Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{قُل لَّوْ شَاء اللَّهُ مَا تَلَوْتُهُ عَلَيْكُمْ وَلاَ أَدْرَاكُم بِهِ فَقَدْ لَبِثْتُ فِيكُمْ عُمُرًا مِّن قَبْلِهِ أَفَلاَ تَعْقِلُونَ} صدق الله العظيم [يونس:16].
Allah Ta3ala Asema: {sema akitaka Allah nisinge wasomea kwenu wala musigeijuwa nimika na nyinyi miyaka kabla kutumwa kwenu basi hamuwi na akili }sadaqa Allah Al3adhim [yunus:16


Lakini nabi aliotumwa kwa mababazao wamwanzo hawakumjuwa ndio wakamkanusha kwa kuwa hawakuweza kumtambuwa hata moja wao kwasababu Allah alimfisha miyaka mia alafu akamfufuwa ndio Allah akamwita "dhu Alqarneyin" yani mwenye umri mbili kwakuwa amishi mara mbili kwa maisha ya dunia, Na munajuwa kuwa anakusudia kusema qurun yani umri ya ma ummah katika kauli yake Allah Ta3ala:
{أَفَلَمْ يَهْدِ لَهُمْ كَمْ أَهْلَكْنَا قَبْلَهُم مِّنَ الْقُرُونِ يَمْشُونَ فِي مَسَاكِنِهِمْ ۗ إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَآيَاتٍ لِّأُولِي النُّهَىٰ (128)} صدق الله العظيم [طه].
Allah ta3ala asema: { Je! Haikuwabainikia tu; vizazi vingapi tuliviangamiza kabla yao, nao wanatembea katika maskani zao? Hakika katika hayo zimo ishara kwa wenye akili (128)} sadaqa Allahu Al3adhim [twaha]
Anakusudia mara ngapi amiwangamiza katika umri wa maumma, Alafu kutoka hapo mutajuwa kwa nini Allah Amimwita Nabi wake Ibrahim mwana wa Isma3il "dhi Alqrniyin" yani mwenye umri mbili kwakuwa amishi mara mbili kwakuwa alifishwa
miyaka miya akafufulowa, Na huyu ndio Alnabiyi Al3arabi Nabi wa kiarabu baba wa warabu watatu Ibrahim ibnu Ismai3il ibnu Ibrahim kwajili ya hio wanaitwa warabu katika kitabu al Ibrahim, Na walikuwa mahasidi katika wana wa israil ibnu Is'hak wanawahusudu al ibrahim ibnu ismail na wao ni Warabu, Kwajilo ya hio amisema Allah Ta3ala:
{أَلَمْ تَرَ إِلَى الَّذِينَ أُوتُوا نَصِيبًا مِنَ الْكِتَابِ يُؤْمِنُونَ بِالْجِبْتِ وَالطَّاغُوتِ وَيَقُولُونَ لِلَّذِينَ كَفَرُوا هَٰؤُلَاءِ أَهْدَىٰ مِنَ الَّذِينَ آمَنُوا سَبِيلًا (51) أُولَٰئِكَ الَّذِينَ لَعَنَهُمُ اللَّهُ ۖ وَمَنْ يَلْعَنِ اللَّهُ فَلَنْ تَجِدَ لَهُ نَصِيرًا (52)أَمْ لَهُمْ نَصِيبٌ مِنَ الْمُلْكِ فَإِذًا لَا يُؤْتُونَ النَّاسَ نَقِيرًا (53) أَمْ يَحْسُدُونَ النَّاسَ عَلَىٰ مَا آتَاهُمُ اللَّهُ مِنْ فَضْلِهِ ۖ فَقَدْ آتَيْنَا آلَ إِبْرَاهِيمَ الْكِتَابَ وَالْحِكْمَةَ وَآتَيْنَاهُمْ مُلْكًا عَظِيمًا (54)فَمِنْهُمْ مَنْ آمَنَ بِهِ وَمِنْهُمْ مَنْ صَدَّ عَنْهُ ۚ وَكَفَىٰ بِجَهَنَّمَ سَعِيرًا (55)} صدق الله العظيم [النساء].
Asema Allah Ta3ala: { Hukuwona wale walio pewa nasibu katika kitabu wanamini jubti na taghuti wanawambia wale walio kufuru hawa wamiongoka zaidi katika njia kuliko wale walio amini ((51) hawo ndio aliwalani Allah na mwenye kulaniwa na Allah hatopata mwenye kumnusuru(52)ama wana shirika katika ufalme basi wasingewapa watu tunda ya ukwoka wa tende (53)ama watahusudu watu kwa fadhla tulio wapa basi tumiwapa Al Ibrahim Alkitab na tumiwapa ufalme mkubwa(54) na kati yao waliamini kwake na katia yao walimpinga,na tosha kwa jahanam ni moto wa kuwateketeza (55) sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa].


Na amiwapa Allah Al Ibrahim "Al3arab" warabu ufalme ju ya ardhi katika zama za mfalme tubi3 yule ambae amipewa na Allah ufalme ndio akamhoji Ibrahim ju ya mola wake, Na akmweleza Nabi Wa Allah Ibrahim kuwa yeye Allah amifufuwa bada ya kumfisha hakika Allah Ana7uisha na anafisha, Akasema mfalme Tubi3 Alyamani; "mimi nahuosha na nafisha", Akaletea watu wawili akasema; "huyu nitamfisha na huyu mwingine nitamwacha aishi", Lakini Nabi wa Allah Ibrahim hakusudi hivo; Bali ana7huisha bada kufa kama vile alivo m7huisha Allah baada kufa, Na hakutaka Nabi wa Allah Ibrahim kujadiliana na mfalme tubi3 kuhofu asije akauwa moja kati ya wale wafungwa wawili walio letwa kutoka jela ya mfalme, Kwajili ya hivo akataka Nabi wa Allah Ibrahim kumsmamishia hoja kwa alama ingine, Akasema Allah Ta3ala katika kauli yake;
{قَالَ إِبْرَاهِيمُ فَإِنَّ اللَّهَ يَأْتِي بِالشَّمْسِ مِنْ الْمَشْرِقِ فَأْتِ بِهَا مِنْ الْمَغْرِبِ فَبُهِتَ الَّذِي كَفَرَ} صدق الله العظيم [البقرة:258].
Allah Asema ;{amisema ibrahim basi hakika Allah analifanya juwa litoke mashariki,
ww litowe kwa magharibi,akashindwa yule alie kufuru} sadaqa Allah Al3adhim[Albaqara:258].


Mpaka pindi walipo mfwata nabi wa Allah Ibrahim poti katika walio amini, Kutoka hapo aliamuwa mfaleme Tubi3 Alyamani kufukuwa khandaki na kuwasha ndani yake moto na alikuwa akimtupa yule anae kata kuwacha dini ya Ibrahim katika moto, Kwajili ya hivo amisema Allah TA3ala katika kauli yake:
{وَالسَّمَاءِ ذَاتِ الْبُرُوجِ ﴿١﴾وَالْيَوْمِ الْمَوْعُودِ ﴿٢﴾وَشَاهِدٍ وَمَشْهُودٍ﴿٣﴾قُتِلَ أَصْحَابُ الْأُخْدُودِ ﴿٤﴾النَّارِ ذَاتِ الْوَقُودِ ﴿٥﴾إِذْ هُمْ عَلَيْهَا قُعُودٌ ﴿٦﴾وَهُمْ عَلَىٰ مَا يَفْعَلُونَ بِالْمُؤْمِنِينَ شُهُودٌ ﴿٧﴾وَمَا نَقَمُوا مِنْهُمْ إِلَّا أَن يُؤْمِنُوا بِاللَّـهِ الْعَزِيزِ الْحَمِيدِ ﴿٨﴾الَّذِي لَهُ مُلْكُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ ۚ وَاللَّـهُ عَلَىٰ كُلِّ شَيْءٍ شَهِيدٌ ﴿٩﴾} صدق الله العظيم [البروج
Allah TA3ala Tesema:{naapa kwa mbingu ilio nayo buruj(1)na siku ilioahidiwa(2)na shahidi na alio shuhudiwa(3)wamiuwawa wenye makhandaki (4)moto wenye kuwaka(5)mara wao ju yake wamika(6)na wao kwa yale wanao yafanya kwa waumini mashahidi(7)na hawakuwafanya kitu ila kuwa wamiamini kwa Allah Al3aziz Al7hamid(8)yule ambae ni wake ufalme wa mbingu na Ardhi na Allah kwakila kitu shaidi(9)}[aadaqa Allah Al3adhim[Alburuj]




Ndio kutoka hapo Amiteremsha Allah mvuwa kubwa sana kwa wingi ikazima ule mote, ikambidi mfalme Tubi3 na jeshi lake na walikuwa Maelfu waingie manymba zao mpaka ipunguwe mvuwa kali, Alafu Allah Aliwajia kutoka kwa msingi wao ikangua sakafu ju yao; As7hab Alburuj wenye magorofa zilo jengwa imara, Na wingine wenye nyumba za dori moja waliweza kutoka katika manyumba zao haraka wakati wa mtingisho wa ardhi zilzala alafu alituma Allah swa3iqi wakati wa mvuwa akawauwa wote, Alafu akawafufuwa wote baada kuwauwa; Wanajeshi wa Tubi3 na walikuwa maelfu, Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala;
{أَلَمْ تَرَ إِلَى الَّذِينَ خَرَجُوا مِنْ دِيَارِهِمْ وَهُمْ أُلُوفٌ حَذَرَ الْمَوْتِ فَقَالَ لَهُمُ اللَّهُ مُوتُوا ثُمَّ أَحْيَاهُمْ إِنَّ اللَّهَ لَذُو فَضْلٍ عَلَى النَّاسِ وَلَكِنَّ أَكْثَرَ النَّاسِ لَا يَشْكُرُونَ}صدق الله العظيم [البقرة:243].
Allah Ta3ala Asema:{hivi hujaona wale walio toka katika nyumba zao na wao maelfu kuhadhari mauti akasema Allah ju yao kufeni kisha akawa7huisha hakika Allah mwenye fadhla nyigi kwa watu lakini wingi katika watu hawa shukuru}[sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara:[243


Na swali linalo jiuliza: Na nini sababu ya maelfu kutoroka katika manyumba zao hadhari na mauti? Wamihisi mtigisho wa ardhi zilzala ndio wakatoroka ili isianguke sakafu ju yao wafe, Miongoni mwao salafu iliwangukia wakafa na wengine waliwahi toroka Alafu akwauwa Allah kwa kuwatumia sawa3ika na mvuwa nyanyesha, Aka7huisha Alla ma Alfu; Jeshi la Tubi3, Akawaongoza baada kufa kwao wakawa wana jeshi wa Nabi wa Allah Ibrahim ibnu Isma3il Ibnu Ibrahim, Kwakuwa Ibrahim amimhoji Mola wake akasema; Ewe Mola wangu Mlezi, "hakika umiwangamiza na hajawaombe mja wako na Nabi wako" kisha Akawafufuwa Allah kwakuwa Amiwangamiza kwa dua ya qaum muminina katika wafwasi wa Nabi wa Allah Ibrahim, Huyo ndio Alnabi alio tumwa kwa ummah wa kiarabu wakawanza karni ya kati kabla ya qureiah, Akawangamiza Allah na zilzala na sawa3iki, kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{قَدْ مَكَرَ الَّذِينَ مِن قَبْلِهِمْ فَأَتَى اللَّهُ بُنْيَانَهُم مِّنَ الْقَوَاعِدِ فَخَرَّ عَلَيْهِمُ السَّقْفُ مِن فَوْقِهِمْ وَأَتَاهُمُ الْعَذَابُ مِنْ حَيْثُ لَا يَشْعُرُونَ (26)} صدق الله العظيم [النحل].
Allah Ta3al Asema:{tayari wali makiri wale walio tangulia kabla yao akawajia Allah mijengo yao kwa msingi ikawaporomokea sakafu ju yao ikwajia adhabu imiwajia kutokana bila ya kujuwa(26)} sasaqa Allahu Al3adhim [Alna7hl].


Basi ni nani wale kablayao wale aliwangamiza Allah kwa zilzala na sawa3iqi?wele ndio wao qaum Tubi3 Alyamani na wao ndio walio amirisha kujenga majengo kuliko walio yajenga umma wa kati katika zama za kutumilizwa Nabi Muhammad sala Allahu aleyhi wa alihi wasalam, Akawangamiza Allah sababu ya kumkadhibisha Nabi wao Ibrahim ibnu ismai3il ibnu Ibrahim ibnu Azar,al Akasema Allah Ta3ala:
{أَوَلَمْ يَسِيرُوا فِي الْأَرْضِ فَيَنظُرُوا كَيْفَ كَانَ عَاقِبَةُ الَّذِينَ مِن قَبْلِهِمْ ۚ كَانُوا أَشَدَّ مِنْهُمْ قُوَّةً وَأَثَارُوا الْأَرْضَ وَعَمَرُوهَا أَكْثَرَ مِمَّا عَمَرُوهَا وَجَاءَتْهُمْ رُسُلُهُم بِالْبَيِّنَاتِ ۖ فَمَا كَانَ اللَّهُ لِيَظْلِمَهُمْ وَلَٰكِن كَانُوا أَنفُسَهُمْ يَظْلِمُونَ (9)} صدق الله العظيم [الروم].
Asema Allah Ta3ala: {hivi hawaja tembea katika ardhi wakaona mwisho ya wale waliokuwa kabla yao walikuwa wana nguvu zaidi kuliko wao waka athari aradhi wakajenga kuliko walivo jenga wakawajia mitume yao kwa bayana zilo wazi na haikuwa Allah ni mwenye kuwadhulumu lakini wao kwa nafsi zao wajidhulumu(9)sadaqa Allah Al3adhim[alrum].


Na linajileta swali lenyewe: Na ninani hao wale waliokuwa na nguvu zaidi kuwaliko na wakajenga kisiwa cha kiyarabu kuliko walivo ijenga umma wa kiyarabu wa kati? Na jawabu mutalikuta katika muhakam Alkitab ilio wazi katika kauli ya Allah Ta3ala:
{إِنَّ هَٰؤُلَاءِ لَيَقُولُونَ (34) إِنْ هِيَ إِلَّا مَوْتَتُنَا الْأُولَىٰ وَمَا نَحْنُ بِمُنشَرِينَ (35) فَأْتُوا بِآبَائِنَا إِن كُنتُمْ صَادِقِينَ (36) أَهُمْ خَيْرٌ أَمْ قَوْمُ تُبَّعٍ وَالَّذِينَ مِن قَبْلِهِمْ ۚ أَهْلَكْنَاهُمْ ۖ إِنَّهُمْ كَانُوا مُجْرِمِينَ (37)} صدق الله العظيم [الدخان].
Allah Ta3ala Asrma:{hakika hawa wanasema(34)hakika hio mauti yetu ya kwanza na sisi hatutofufuliwa(36)kwani wao ni bora ama qaum ya Tubi3 na wale kabla yao tumiwangamiza hakika walikuwa qaum wahalifu (37)} sadaqa Allah Al3adhim[Aldukhan].


Na ala kuli hali Amimpa Allah Ibrahim ufalme wa tubi3 dhahiri ya ardhi alafu akampa ufalme mkubwa mno kwenye utumbo wa maisha ya dunia, Na hio ndio ufalme mkuba ambao amimpa Allah kwa dhi Alqarneyin Nabi wa Allah Ibrahim ibnu Isma3il, Na huo ufalme wa Al Ibrahi ndio huwo atampa Allah Alimam Almahdi katika Bustani ya babil, Na hio ni katika ufalme wa maisha ya dunia, Na watu wakati wa kutumilizwa Mtume Muhammad sala Allahu aleyhi wa ala alihi wa salam walikuwa wanajuwa dhahiri ya maisha ya duni pekeyake na wao kwa maisha ya dunia ingine wao wamighafilika hawajuwi, Ndio Akasema Allah Ta3al
{يَعْلَمُونَ ظَاهِرًا مِّنَ الْـحَيَاةِ الدُّنْيَا وَهُمْ عَنِ الآخِرَةِ هُمْ غَافِلُونَ} صدق الله العظيم [الروم:7].
Asema Allah Ta3ala:{wanajua dhahiri katik maisha ya dunia na wao kwa maisha mengine wamighaflika} sadaqa Allah Al3adhim[Alrum:7].


Angalia kauli ya Allah Ta3ala:
{ مِّنَ الْـحَيَاةِ الدُّنْيَا }
{Katika maisha ya dunia}
Kwamana kuwa kuna sehemu katika maisha ya dunia hawaja fikia kujuwa kwa hayo, Kwajili ya hivo Amosema Allah Ta3ala:
{ مِّنَ الْـحَيَاةِ الدُّنْيَا }
{Katika maisha ya dunia}
Kwakuwa inapatikana maisha ya dunia dhahiri ya ardhi na ingine kwa utumbo wa ardhi, kwajili ya hivo Amisema Allah Ta3ala:
{يَعْلَمُونَ ظَاهِرًا مِّنَ الْـحَيَاةِ الدُّنْيَا وَهُمْ عَنِ الآخِرَةِ هُمْ غَافِلُونَ} صدق الله العظيم.
Asema Allah Ta3ala:{wanajuwa dhahiri ya maisha ya dunia na wao kwa maisha ingine wao wamighafilika} sadaqa Allah Al3adhim. Na maisha ya utumbo ni maisha ndani ya utumbo wa ardhi chini ya thari utajiri katika utumbo wa ardhi nayo ina mulki kubwa, Kwajili ya hivo Amisema Allah Ta3ala:
{لَهُ مَا فِي السَّمَاوَاتِ وَمَا فِي الْأَرْضِ وَمَا بَيْنَهُمَا وَمَا تَحْتَ الثَّرَىٰ (6)} صدق الله العظيم [طه].
Amisema Allah Ta3ala:{ni yake kile kiliomo katka mbingu na kiliomo katika ardhi na yaliomo katiyake na yaliomo chini ya Althar utajiri(6i)} sadaqa Allah Al3adhim
[taha].


Akwapa Allah Al Ibrahim ufalme katika zama za Nabi Allah dhi Alqrnein Ibrahim ibnu Isma3il Akawapa Allah ufalme mkubwa wakamiliki ardhi hawajawahi moja katika kizazi cha Ibrahim katika ahdi ya Mtume Muhammad sala Allah Aleyhi wa alihi wa salam, Kwajili ya hivo Asema Allah Ta3ala:
{وَرَدَّ اللَّهُ الَّذِينَ كَفَرُوا بِغَيْظِهِمْ لَمْ يَنَالُوا خَيْرًا ۚ وَكَفَى اللَّهُ الْمُؤْمِنِينَ الْقِتَالَ ۚ وَكَانَ اللَّهُ قَوِيًّا عَزِيزًا (25) وَأَنزَلَ الَّذِينَ ظَاهَرُوهُم مِّنْ أَهْلِ الْكِتَابِ مِن صَيَاصِيهِمْ وَقَذَفَ فِي قُلُوبِهِمُ الرُّعْبَ فَرِيقًا تَقْتُلُونَ وَتَأْسِرُونَ فَرِيقًا (26) وَأَوْرَثَكُمْ أَرْضَهُمْ وَدِيَارَهُمْ وَأَمْوَالَهُمْ وَأَرْضًا لَّمْ تَطَئُوهَا ۚ وَكَانَ اللَّهُ عَلَىٰ كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرًا (27)} صدق الله العظيم [الأحزاب].
Asema Allah Ta3ala:{na Akawa rudisha Allah walio kufuru kwa chukizao hawakuchukuw kheri Akawatosha Allah waumini vita na Allah ni mwenye nguvu Azizi(25)Na akawateremsha wale walio wasaidia (maadui) katika Watu wa Kitabu kutoka katika ngome zao; na akatia khofu katika nyoyo zao. Baadhi yao mkawa mnawauwa, na wengine mnawateka (26)Na akakurithisheni ardhi zao na nyumba zao na mali zao, na ardhi msiyo pata kuikanyaga. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye uweza juu ya kila kitu (27)}sadaqa Allah Al3adhim [Ala7hzab].


Na linakuja swali lenyewe: Na ni ipi hio ardhi ambao amiwarithisha Allah kwa Al Ibeahim warabu ambao hawajaigusa umma wa kati miongoni mwa al Ibrahim? Na jawabu: Ni al Ibrahim warabu katika mauma wa kwanza amiwapa Allah nusu ya ufalme wa malakut ya babil kwenye utumbo wa ardhi yenu hi wakahama na wakasafiri na wao katika kizazi cha watu kwa ile pepo kusini mwa "sadi" kizibo alio ijenga baba yao dhi Alqarneyin Ibrahim ibnu Isma3il, Na wakaridhika makabila katika majini kuwawacha wawe wafalme ju yao kwakuwa wamiwaokowa na fasadi ya juj wama juj na kujenga "Asad A3adhim" kizibo kuu, Wakawafundisha makabila ya majini lugha ya kiyarabu fus'ha, Ndipo Allah alipowalekeza badhi ya majini kusikiza Alqurani wamifahamu lugha ya Alquran Al3adhim kwakuwa lugha yao ni hio hio lugha ya Alquran Al3adhim kwakuwa wafalme wakiarabu waliwafundisha lugha ya kiyarabu ikawa ndio lugha yao rasmi ikawa wanaongea lugha hio kizazi hadi kizazi katika maumma wa kusini mwa Alsad kizibo cha dhi Alqrneyin na wanao kizazi kutokana na binadamu na miongoni mwao kizazi cha Al Ibrahim warabu, Alipo kufa dhi Alqarneyin bada kumalizika umri wake wa pili ikanza dini kupotea taratibu katika umma ule ilaendelea umma bada ya umma na kizazi hadi kizazi mpaka wakati wa kutumilizwa Mtume Muhammad sala Allahu Aleyhi wa alihi wa salam na wao katika zama hizo mpaka ikawa hawamini kuwa kuna kufufuliwa bada kufa, Kwajili ya hivo wamisema majini:
وَأَنَّهُمْ ظَنُّوا كَمَا ظَنَنتُمْ أَن لَّن يَبْعَثَ اللَّهُ أَحَدًا} صدق الله العظيم [الجن:7].
Asema Allah vile walivo sema majini: {hakika wao wamidhani kama mulivo dhani kuwa hatofufuwa Allah mtu}sadaqa Allahu Al3adhim [Aljin:7]
wakwaeleza nyinyi akida ya umma wa kibinadamu wale wanao ishi na wao katika utumbo wa ardhi kuwa wao walidhani kama mulivo dhani nyinyi umma munao ishi dhahiri ya maisha ya dunia kuwa hatofufuwa Allah mtu yoyote, Lakini hao majini walipeleka ujumbe wa Alquran Al3adhim kwa umma wao kwakuwa wamifahamu lugha ya Alquran ni lugha yao wakaifahamu wakajifundisha wakapata fiqhi wakaifundisha umma wao kizazi hadi kizazi,


Ala kuli hali nani ambae ananijadili kuhusu baba wa warabu wa tatu Ibrahim ibnu Isma3il ibnu Ibrahim ibnu Azar ila nitamshinda kwa utawala wa ilimu itakao wazidi, Huyo ndio dhu Alqarneyin ambae alihama ardhi ya babil bada kupita sayari ya adhabu ambao amiangamiza Allah vijiji va qaum ya Lut na Ibrahim ambae babu re7hma na amani ziwashukie, ikabaki pembezoni mwa ardhi imidauka na barafu kwa bahari yake mamia ya miyaka kwakuwa sayari ya adhabu ikipita kwa ardhi inapunguwa mwendo wake ndio ikasababisha kuganda barafu kwa pande zote kwake kwa utaratibu bada kupita kwake kwa mamia ya miaka,


Ala kuli hali na nawakimbusha enye ma3ashara ya wanazuoni wa umma kwa kauli ya Allah Ta3ala:
{أُولَٰئِكَ الَّذِينَ أَنْعَمَ اللَّهُ عَلَيْهِم مِّنَ النَّبِيِّينَ مِن ذُرِّيَّةِ آدَمَ وَمِمَّنْ حَمَلْنَا مَعَ نُوحٍ وَمِن ذُرِّيَّةِ إِبْرَاهِيمَ وَإِسْرَائِيلَ} صدق الله العظيم [مريم:58].
Allah Ta3ala Asema:
{hakika wale ndio amiwapa ne3ma Allah ju yao katika manabi katika kizazi cha Adam na wale tulio wabeba pamoja na Nu7h na katika kizazi cha ibrahim na Israil}[sadaqa Allah Al3adhim[Maryam:58


Na swali linalo jitokeza; Hivi ni nani hao wanao kusudiwa katika kauli ya Allah Ta3ala:
{وَمِن ذُرِّيَّةِ إِبْرَاهِيمَ وَإِسْرَائِيلَ} صدق الله العظيم
Allah Ta3ala Asema:{na katika kizazi cha Ibrahim na Israil}sadaqa Allah Al3adhim?
Najawabu kwa Haki; Ama hakika kizazi cha Ibrahim hawo ni Al Ibrahim ibnu Isma3il, Ama kizazi cha Israil wao ni banu Israil, Na huwenda kutaka kunikatizia moja kati ya wale wanao jiropokea wasio kijuwa na kusema: "bali anakusu


dia kizazi cha Ibrahim ibnu Azar" Na kisha hapo anampa jibu kwa haki na nasema: Kwani israil si ni katika kizazi cha Ibrahim ibnu Azar basi vipi utadhania kuwa anae kusudiwa ni Ibrahim babu wakwanza? Kwani israil si ni kizazi chake?lakini Amisema Allah Ta3ala:
{وَمِن ذُرِّيَّةِ إِبْرَاهِيمَ وَإِسْرَائِيلَ}
صدق الله العظيم
Allah Ta3ala Asema:{na katika kizazi cha Ibrahim na Israil}sadaqa Allah Al3adhim, Akusudia kizazi cha Ibrahim ibnu Isma3il na Israil ibnu is7haq na nyote munajuwa israil ndio Ya3qub,


Na namshuhudisha Allah na tosha kwa Allah ushahidi hakika mimi ni Alimam Almahdi Nasser Muhammad Alyamani na tangaza changamoto kwa wanazuoni wote wa waislamu katika mashariki na magharibi ya ardhi hatonijadili kwa uhakika wa Nabi Allah IBRAHIM IBNU ISMA3IL IBNU IBRAHIM IBNU AZAR ispokuwa nitamsimamihisha hoja ju yake kutokana ukumbusho ulo muhakama ulio wazi,
Na hatofata Alimam Almahdi hawa zao kutoka leo kwa kituchochote, Na sitoamini fatwa zao kwa kitu kwakuwa nimiamini fAtwa zao kutoka mwanzo kuwa 3uzeir ndiye aliofishwa miyaka mia alafu akafufuliwa na Allah! heyihat heyihata: Bali nimigunduwa kuwa fatwa zao nimakosa, Lakini bada ya kufwata fatwa zenu enye ma3ashara wana zuoni wa umma na nikaogopa kufitinishwa badhi ya ma Alansar kwakuaa badhi yao watasema; "si amisema Alimam Almahdi Nasser Muhammad katika bayana kuwa 3uzer ndio alio mfisha Allah miyaka mia Alfu akamfufuwa!", Alfu kutoka hapo anampa jibu Alimam Almahdi Nasser Muhammad Alyamani na nasema: Nakuchalinj ulete bayana kuwa mimi ni me towa fatwa kwa hayo; Bali nimiwakuta nyinyi na wanazuoni wenu hivo hivo pia munaitakidi kua yule aliomfisha Allah miyaka mia alafu akamfufuwa ni Nabi wa Allah 3uZer, Na mimi na kiri kuwa nimifwata akida yenu nilio wapata ju yake kuhusu kufishwa na kufufuliwa Nabi Allah 3uzer sala na salamu ju yake, Wala si kanushi Nabi wa Allah 3uzer Nabi katik manabi wa bani israil; Lakini mm nakanusha kuwa yeye ndio alio fishwa aka fufuliwa bada ya miyaka mia, Huyo sio 3uzer Nabi wa bani israil aleyhi asalat wasalam, Bali huyo ni dhul qarnein yani mwenye umri mbili
Karni mbili alnabi Alarabi Ibrahim Ibnu Ismail


Na mshuhudisha Allah na tosha kwa Allah kuwa shahidi hakika mimi natangaza chalenji kwa bayana ya haki Alquran Al3adhim, Na yule anionae niko kwa batil kuhusu fatwa ya Nabi Alarabi Nabi wa Allah Ibrahim ibnu Ismail yule ambae hamuna ilimu nae basi awe shuja ateremshe jina lake na aweke pic yake kwa haki, La kama sihivo basi asinizungumzisha kuhusu Nabi Allah Ibrahim Ibnu Isma3il ni muoga hasubutui kuweka pic yake wala jina sitomfanyia mizani kama hatoweka jina lake na pic yake kwa haki,


Na enye vipenzi vangu Alansar Alsabiqina Alakhyar, Na mubalighishe hi bayana kwa mitandao ya wana zuoni wa umma na anae towa fatwa kwa miji yao kwa kila hila na njia, Na hakika mimi ni Alimam Almahdi anwaita kuendeleza mazungumzo katika kuthibitsha uhakika wa Alnambi Alarabi Nabi wa kiarabu baba wa Al Ibrahim, Na huyo ni Ibrahim Ibnu Isma3il ibnu Ibrahim aleyhim asalat wasalam na mumijuwa katika kitabu nani dhulqarneyn na ndio haki mwenye umri mbili karni mbili Ibrahim ibnu Isma3il ibnu Ibrahim, Ama sayari ya adhabu ilipita wakati wa nabi Allah Ibrahim ibnu Azar na nabi wa Allah Lut na vijiji vao katika uso wa dunia, Bali tumikanusha kupatikana kwa mfalme Alnamrud ibnu kan3an katika wakati wa Nabi Allah Ibrahim ibnu Azar; Bali nimimpata ni mfalme Tubi3 Alyamani na alikuwa yuko katika zama za Nabi Allah Ibrahim Ibnu Isma3il na yeye ndio as'hab Alukhdud anari dhati alwaqud


Na enye vipenzi vangu alansar haijuzu kwenu fitna nyunyi kwa nyinyi ikiwa moja wenu ana shaka na masala aniandikie baruwa kwa privies mpaka tunamwahidi kuifafanuwa swali lake nimwandalie na kumwandalia bayana ilio timia ilio fafanuliwa kwa wazi na ukamilufu inapaswa kuteremshwa kwa watu wote haogopi kitu yule ambae hatamki ila haki, Na nachelenj kwa haki, Na haki sisemi kwa Mola wangu ispokuwa haki kwa yule mwenye kutaka kufwata haki, Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamdulullah Rabi Al3alamin..


Ndugu yenu Alimam Almahdi Nasser Muhammad Alyamani..
وسلامٌ على المرسلين والحمد لله ربّ العالمين..
‎أخوكم الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.

اقتباس المشاركة 169067 من موضوع