Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ
10 - رمضان - 1444 هـ
01 - 04 - 2023 مـ
10:57 صباحًا
(Kulingana Na Taqwimu Rasmi Ya Umul Qura)
(بحسب التّقويم الرّسميّ لأم القُرى)

[لقراءة البيان من الموسوعة]
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=411353
______


Mtume wa Mwenyezi Mungu, Musa na ukoo wa Imran ni katika kizazi cha Mtume wa Mwenyezi Mungu, Yusuf.
رَسولُ الله موسى وآل عِمران مِن ذُرِّيَّةِ رَسولِ الله يوسف ..

Salam Za Mwenyezi Mungu, na rehema na baraka zake ziwe juu yenu enyi wapenzi wangu, na ansari wangu wema na wa mbele kabisa, na Waislamu wote kwa Mola wa walimwengu wote, na Ramadhani Mubarak kwetu sisi, na nyinyi na Waislamu wote, na Mungu azikubali Saumu zenu na matendo yenu mema.

Na nakupeni fatwa kwa haki ya kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu Musa na Nabii wa Mwenyezi Mungu Harun, swala na salamu ziwashukie, wao wako Ju Ya ndugu wawili ambao wanasibika kwa baba yao wa kwanza (baba wa wazazi wao) naye ana nasbika katika “alasbat” mandugu makabila. Kulekea mpaka kizazi cha Mtume wa Mwenyezi Mungu Yusuf, rehema na amani ziwe juu yake. Ukweli kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu Musa na Nabii wa Mwenyezi Mungu Harun ni binami - kutoka katika kizazi cha ndugu kamili.- Na wao ni ndugu kutoka kwa mama; Ukweli kwamba kaka yake mkubwa ni baba wa Mtume wa Mwenyezi Mungu, Harun, alioa mwanamke mwema, naye akamzaa Harun na dada yake mkubwa kutoka kwa Harun, kisha akafa wakiwa bado wadogo. Kisha ndugu yake akamwoa ili kulea watoto wa kaka yake. Kizazi cha kaka yake (Harun na dada yake), na kwa hiyo alimuoa kwa kujali malezi ya watoto wa kaka yake. Na ili wasiwe mayatima kutoka kwa baba yao na kutengana na mama yao.Kwa hiyo ndugu akamwoa, na akamzalia Nabii wa Mwenyezi Mungu, Musa, rehema na amani ziwe juu yake; Kwa maana ya kwamba nabii wa Mungu Haruni na dada yake ni binami wa Nabi wa Allah Musa, Lakini wao ni ndugu zake kutoka kwa mama yake, kwa hivyo wao ni wakubwa zaidi ya Musa, rehema na amani ziwe juu yao.” Dada yake Harun aliolwa mmoja wa wana wa Israili na akajifungua mtoto, naye ni miongoni mwa watoto ambao. Firauni aliua katika irika na Musa katika wana wa Israili - watoto wachanga - waliozaliwa katika mwaka huo aliozaliwa Nabii wa Mwenyezi Mungu, Musa, rehema na amani ziwe juu yake. Ndiyo maana mama yake Musa akamwambia dada yake wa kambo: “Kwa kuwa wewe ni mnyonyeshaji na unyonyeshao maziwa, nenda katika jumba la kifalme la Farao kama mnyonyeshaji uniletee habari za ndugu yako; La sivo Isipokuwa ... nitakwenda kuwaambia kuwa ni mwanangu, na nitamnyonyesha bure. Akasema Allah Ta3ala:
{وَأَصْبَحَ فُؤَادُ أُمِّ مُوسَىٰ فَارِغًا ۖ إِن كَادَتْ لَتُبْدِي بِهِ لَوْلَا أَن رَّبَطْنَا عَلَىٰ قَلْبِهَا لِتَكُونَ مِنَ الْمُؤْمِنِينَ ‎﴿١٠﴾‏ وَقَالَتْ لِأُخْتِهِ قُصِّيهِ ۖ فَبَصُرَتْ بِهِ عَن جُنُبٍ وَهُمْ لَا يَشْعُرُونَ ‎﴿١١﴾‏ ۞ وَحَرَّمْنَا عَلَيْهِ الْمَرَاضِعَ مِن قَبْلُ فَقَالَتْ هَلْ أَدُلُّكُمْ عَلَىٰ أَهْلِ بَيْتٍ يَكْفُلُونَهُ لَكُمْ وَهُمْ لَهُ نَاصِحُونَ ‎﴿١٢﴾‏ فَرَدَدْنَاهُ إِلَىٰ أُمِّهِ كَيْ تَقَرَّ عَيْنُهَا وَلَا تَحْزَنَ وَلِتَعْلَمَ أَنَّ وَعْدَ اللَّهِ حَقٌّ وَلَٰكِنَّ أَكْثَرَهُمْ لَا يَعْلَمُونَ ‎﴿١٣﴾‏
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Sura:Al-Qasas 10-13].

Kwa maana ya kwamba Harun na dada yake ni wakubwa kuliko Musa; Badala yake, msichana ninayemwona ni mkubwa kuliko Harun na Haruni ni mdogo kwake, lakini Harun ni mkubwa kuliko Musa.

Isipokuwa mwenye kunyonyesha na Harun ni binami za Musa (kaka ya baba yake) na ndugu zake Musa kutoka kwa mama yake, rehema na amani ziwe juu yao.


Ama familia ya Yakubu Ibn Imran, wao wamefungamana na kizazi cha Nabii wa Mwenyezi Mungu Yusuf kama vile anavyofungamana na kizazi cha Mtume wa Mwenyezi Mungu Yusuf, Nabii wa Mungu Musa na binamu yake, Nabii wa Mwenyezi Mungu Harun. Na hiyo ndiyo sababu ya kufanya fitna kwa kizazi cha “alasbat” makabila kumi ya Wana wa Israili; Na sababu ya fitna yao ni kuwa Mwenyezi Mungu hakutuma katika dhuria wa”alasbat” kaumu kumi, si Nabii wala Mtume, na wote wanatoka katika kizazi cha Yusuf, rehema na amani ziwe juu yake.

Hilo ndilo lililowakasirisha mataifa ya kizazi cha makabila kumi, na kwa ajili hiyo walikuwa wakiwauwa manabii waliotumwa ambao walikuwa wamefungamana na kizazi cha Yusufu, kwa ajili ya kijicho kutoka kwao wenyewe. Na Akasema Allah Ta3ala:
{الَّذِينَ قَالُوا إِنَّ اللَّهَ عَهِدَ إِلَيْنَا أَلَّا نُؤْمِنَ لِرَسُولٍ حَتَّىٰ يَأْتِيَنَا بِقُرْبَانٍ تَأْكُلُهُ النَّارُ ۗ قُلْ قَدْ جَاءَكُمْ رُسُلٌ مِّن قَبْلِي بِالْبَيِّنَاتِ وَبِالَّذِي قُلْتُمْ فَلِمَ قَتَلْتُمُوهُمْ إِن كُنتُمْ صَادِقِينَ ‎﴿١٨٣﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Sura:Al-imran 183].

Kadhalika Wali wafanyia hilal Mitume wa familia ya Imran kwa sababu wao ni wa kizazi cha Yusuf, rehema na amani ziwe juu yao, na wa mwisho katika waliouawa (Mtume wa Mwenyezi Mungu Yahya). Na kwa ajili ya hivo imetimu kufichwa mazungumzo ya Nabii wa Mwenyezi Mungu Isa kwa kaumu wa Maryamu alipokuwa mtoto mchanga kitandani, kwa kuogopa wasije wakamuua - Wana wa Israili - kwa sababu walimuuwa Yahya Nabii wa Mwenyezi Mungu kabla yake. Na wanajua ya kuwa yeye ni nabii aliye beba memba yake mama yake akiwa tasa. Nabii wa Mwenyezi Mungu, Zakaria, aliwafunulia Wana wa Israili kwamba mke wake atamzaa mtoto wa kiume hali ya kuwa ni tasa na mwanamke ameingia katika miyaka ya kukata tama na hedhi kwa sababu ya kutokupata hedhi miaka mengi iliyopita. Na kwamba huu ni muujiza kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwao kuamini utume wa Nabii wa Mwenyezi Mungu Yahya; Muujiza utokao kwa Mwenyezi Mungu, na kwamba Mwenyezi Mungu amemjaalia kuwa Nabii wao baada yake, na Mwenyezi Mungu akampa Kitabu, na hikima na Unabii kama mvulana baada ya baba yake, na wakamuua - Wana wa Israili kwa husuda wenyewe, kwa sababu Mwenyezi Mungu alimtuma kutoka katika kizazi cha ukoo wa Yakubu Ibn Imran, ambaye anajulikana kuwa na uhusiano na Mtume wa Mungu, Yusufu, amani iwe juu yake;

Wanawachukia manabii wa familia ya Imran kwa sababu wao ni kizazi cha Mtume wa Mwenyezi Mungu, Yusuf, swalah na salamu za Mwenyezi Mungu zimshukie, na sababu ya fitna zao (kwa nini Mwenyezi Mungu hakumtuma nabii kutoka kizazi cha “alasbat” makabila kumi ?), kwa hivyo ilikuwa kana kwamba walikuwa na hiyari ni yao! Ametakasika Mwenyezi Mungu. Anaumba Amtakae na anachagua; Hakika yeye anawatuma katika kizazi cha Nabii Yusuf, na hiyo ndiyo ilikuwa sababu ya fitna katika mataifa ya “alasbat kabila kumi, na kwa ajili hiyo wanawauwa Manabii katika kizazi cha Yusuf. Akasema Allah Ta3ala:
{وَلَقَدْ آتَيْنَا مُوسَى الْكِتَابَ وَقَفَّيْنَا مِن بَعْدِهِ بِالرُّسُلِ ۖ وَآتَيْنَا عِيسَى ابْنَ مَرْيَمَ الْبَيِّنَاتِ وَأَيَّدْنَاهُ بِرُوحِ الْقُدُسِ ۗ أَفَكُلَّمَا جَاءَكُمْ رَسُولٌ بِمَا لَا تَهْوَىٰ أَنفُسُكُمُ اسْتَكْبَرْتُمْ فَفَرِيقًا كَذَّبْتُمْ وَفَرِيقًا تَقْتُلُونَ ‎﴿٨٧﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Sura:Albaqara:87].

Na maana ya Kauli ya Allah Ta3ala:
{أَفَكُلَّمَا جَاءَكُمْ رَسُولٌ بِمَا لَا تَهْوَىٰ أَنفُسُكُمُ اسْتَكْبَرْتُمْ فَفَرِيقًا كَذَّبْتُمْ وَفَرِيقًا تَقْتُلُونَ ‎﴿٨٧﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim, Na yanayokusudiwa mahali hapa ni yale ambayo nafsi zao hazitamani: hali ya kuwa Mwenyezi Mungu amewatuma kutoka katika kizazi cha Nabii wa Mwenyezi Mungu Yusuf, hivyo ndivyo nafsi zao hazitamani kwa sababu wanataka Mwenyezi Mungu amtume kutoka katika kizazi. ya makabila kumi. Hii ndiyo ilikuwa sababu ya fitna zao, hivyo Mungu aliwakasirika na kuwalaani. Akasema Allah Ta3ala:
{فَبِمَا نَقْضِهِم مِّيثَاقَهُمْ وَكُفْرِهِم بِآيَاتِ اللَّهِ وَقَتْلِهِمُ الْأَنبِيَاءَ بِغَيْرِ حَقٍّ وَقَوْلِهِمْ قُلُوبُنَا غُلْفٌ ۚ بَلْ طَبَعَ اللَّهُ عَلَيْهَا بِكُفْرِهِمْ فَلَا يُؤْمِنُونَ إِلَّا قَلِيلًا ‎﴿١٥٥﴾‏ وَبِكُفْرِهِمْ وَقَوْلِهِمْ عَلَىٰ مَرْيَمَ بُهْتَانًا عَظِيمًا ‎﴿١٥٦﴾‏ وَقَوْلِهِمْ إِنَّا قَتَلْنَا الْمَسِيحَ عِيسَى ابْنَ مَرْيَمَ رَسُولَ اللَّهِ وَمَا قَتَلُوهُ وَمَا صَلَبُوهُ وَلَٰكِن شُبِّهَ لَهُمْ ۚ وَإِنَّ الَّذِينَ اخْتَلَفُوا فِيهِ لَفِي شَكٍّ مِّنْهُ ۚ مَا لَهُم بِهِ مِنْ عِلْمٍ إِلَّا اتِّبَاعَ الظَّنِّ ۚ وَمَا قَتَلُوهُ يَقِينًا ‎﴿١٥٧﴾‏ بَل رَّفَعَهُ اللَّهُ إِلَيْهِ ۚ وَكَانَ اللَّهُ عَزِيزًا حَكِيمًا ‎﴿١٥٨﴾‏ وَإِن مِّنْ أَهْلِ الْكِتَابِ إِلَّا لَيُؤْمِنَنَّ بِهِ قَبْلَ مَوْتِهِ ۖ وَيَوْمَ الْقِيَامَةِ يَكُونُ عَلَيْهِمْ شَهِيدًا ‎﴿١٥٩﴾‏ فَبِظُلْمٍ مِّنَ الَّذِينَ هَادُوا حَرَّمْنَا عَلَيْهِمْ طَيِّبَاتٍ أُحِلَّتْ لَهُمْ وَبِصَدِّهِمْ عَن سَبِيلِ اللَّهِ كَثِيرًا ‎﴿١٦٠﴾‏ وَأَخْذِهِمُ الرِّبَا وَقَدْ نُهُوا عَنْهُ وَأَكْلِهِمْ أَمْوَالَ النَّاسِ بِالْبَاطِلِ ۚ وَأَعْتَدْنَا لِلْكَافِرِينَ مِنْهُمْ عَذَابًا أَلِيمًا ‎﴿١٦١﴾‏ لَّٰكِنِ الرَّاسِخُونَ فِي الْعِلْمِ مِنْهُمْ وَالْمُؤْمِنُونَ يُؤْمِنُونَ بِمَا أُنزِلَ إِلَيْكَ وَمَا أُنزِلَ مِن قَبْلِكَ ۚ وَالْمُقِيمِينَ الصَّلَاةَ ۚ وَالْمُؤْتُونَ الزَّكَاةَ وَالْمُؤْمِنُونَ بِاللَّهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ أُولَٰئِكَ سَنُؤْتِيهِمْ أَجْرًا عَظِيمًا ‎﴿١٦٢﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Sura:Al-nissaa 155-162].

Labda mmoja wa waulizaji angependa kusema: “Ewe Nasser Muhammad Al-Yamani, ni upi ushahidi wa uhakika kwamba familia ya Imran na watu wao wamewaficha wana wa Israili kule kutumwa kwa Nabii wa Mwenyezi Mungu Isa ambaye alisema nao nae ni mtoto mchanga?”

Kisha nawajibu waulizaji wote na nasema: Amesema Allah Ta3ala:
{فَأَتَتْ بِهِ قَوْمَهَا تَحْمِلُهُ ۖ قَالُوا يَا مَرْيَمُ لَقَدْ جِئْتِ شَيْئًا فَرِيًّا ‎﴿٢٧﴾‏ يَا أُخْتَ هَارُونَ مَا كَانَ أَبُوكِ امْرَأَ سَوْءٍ وَمَا كَانَتْ أُمُّكِ بَغِيًّا ‎﴿٢٨﴾‏ فَأَشَارَتْ إِلَيْهِ ۖ قَالُوا كَيْفَ نُكَلِّمُ مَن كَانَ فِي الْمَهْدِ صَبِيًّا ‎﴿٢٩﴾‏ قَالَ إِنِّي عَبْدُ اللَّهِ آتَانِيَ الْكِتَابَ وَجَعَلَنِي نَبِيًّا ‎﴿٣٠﴾‏ وَجَعَلَنِي مُبَارَكًا أَيْنَ مَا كُنتُ وَأَوْصَانِي بِالصَّلَاةِ وَالزَّكَاةِ مَا دُمْتُ حَيًّا ‎﴿٣١﴾‏ وَبَرًّا بِوَالِدَتِي وَلَمْ يَجْعَلْنِي جَبَّارًا شَقِيًّا ‎﴿٣٢﴾‏ وَالسَّلَامُ عَلَيَّ يَوْمَ وُلِدتُّ وَيَوْمَ أَمُوتُ وَيَوْمَ أُبْعَثُ حَيًّا ‎﴿٣٣﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Sura:Maryam 27-33].

Basi ulizeni akili zenu; Je! Nabii wa Mungu Isa anahitaji miujiza ya ishara za Kusadikisha wakati Mungu alimtuma baada ya kufikia fahamu zake, hivyo Mungu alimtuma na kitabu cha Injili kwa wana wa Israeli? Basi vipi, baada ya muujiza wa mtoto mchanga katika utoto, mvulana mdogo ambaye alijitambulisha kwao siku ambayo mama yake alimzaa, hivyo akazungumza na familia ya Imran na watu wema wa binamu zao kutoka kwa kizazi. katika kabila za nduguye Yusuf, basi wao ni baba za wanafunzi wema miongoni mwao?

Ili tusiondoke kwenye mada tunarejea kwa Nabii wa Mwenyezi Mungu Isa bin Maryam, swalah ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake na mama yake, na ninamtolea salamu. ambaye alijitambulisha mwenywe siku ile ile aliyoshika mimba mama yake. kwa neno litokalo kwa Mwenyezi Mungu (kuwa, naye likawa). Kwa hiyo alimzaa siku ileile ya Ijumaa, kwa sababu alijitenga na familia yake katika sehemu ya mashariki siku ya Ijumaa asubuhi. sehemu ya mashariki, basi akaweka pazia pasi na wao ili kufanya ibada na kumdhukuru Mola wake Mlezi.

Na wakati huo huo, malaika na roho walishuka juu yake, na Roho Mtakatifu - Gabrieli - alistawi mwanadamu mzima ili kumpa neno la habari njema kutoka kwa Mungu kwamba Mungu ana mbashirie Masihi, Isa mwana. Wa Maryamu kwa neno litokalo kwa Mwenyezi Mungu (kuwa, naye atakuwa).
{إِذْ قَالَتِ الْمَلَائِكَةُ يَا مَرْيَمُ إِنَّ اللَّهَ يُبَشِّرُكِ بِكَلِمَةٍ مِّنْهُ اسْمُهُ الْمَسِيحُ عِيسَى ابْنُ مَرْيَمَ وَجِيهًا فِي الدُّنْيَا وَالْآخِرَةِ وَمِنَ الْمُقَرَّبِينَ ‎﴿٤٥﴾‏ وَيُكَلِّمُ النَّاسَ فِي الْمَهْدِ وَكَهْلًا وَمِنَ الصَّالِحِينَ ‎﴿٤٦﴾‏ قَالَتْ رَبِّ أَنَّىٰ يَكُونُ لِي وَلَدٌ وَلَمْ يَمْسَسْنِي بَشَرٌ ۖ قَالَ كَذَٰلِكِ اللَّهُ يَخْلُقُ مَا يَشَاءُ ۚ إِذَا قَضَىٰ أَمْرًا فَإِنَّمَا يَقُولُ لَهُ كُن فَيَكُونُ ‎﴿٤٧﴾‏ وَيُعَلِّمُهُ الْكِتَابَ وَالْحِكْمَةَ وَالتَّوْرَاةَ وَالْإِنجِيلَ ‎﴿٤٨﴾‏ وَرَسُولًا إِلَىٰ بَنِي إِسْرَائِيلَ أَنِّي قَدْ جِئْتُكُم بِآيَةٍ مِّن رَّبِّكُمْ ۖ أَنِّي أَخْلُقُ لَكُم مِّنَ الطِّينِ كَهَيْئَةِ الطَّيْرِ فَأَنفُخُ فِيهِ فَيَكُونُ طَيْرًا بِإِذْنِ اللَّهِ ۖ وَأُبْرِئُ الْأَكْمَهَ وَالْأَبْرَصَ وَأُحْيِي الْمَوْتَىٰ بِإِذْنِ اللَّهِ ۖ وَأُنَبِّئُكُم بِمَا تَأْكُلُونَ وَمَا تَدَّخِرُونَ فِي بُيُوتِكُمْ ۚ إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَآيَةً لَّكُمْ إِن كُنتُم مُّؤْمِنِينَ ‎﴿٤٩﴾‏ وَمُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيَّ مِنَ التَّوْرَاةِ وَلِأُحِلَّ لَكُم بَعْضَ الَّذِي حُرِّمَ عَلَيْكُمْ ۚ وَجِئْتُكُم بِآيَةٍ مِّن رَّبِّكُمْ فَاتَّقُوا اللَّهَ وَأَطِيعُونِ ‎﴿٥٠﴾‏ إِنَّ اللَّهَ رَبِّي وَرَبُّكُمْ فَاعْبُدُوهُ ۗ هَٰذَا صِرَاطٌ مُّسْتَقِيمٌ ‎﴿٥١﴾‏ ۞ فَلَمَّا أَحَسَّ عِيسَىٰ مِنْهُمُ الْكُفْرَ قَالَ مَنْ أَنصَارِي إِلَى اللَّهِ ۖ قَالَ الْحَوَارِيُّونَ نَحْنُ أَنصَارُ اللَّهِ آمَنَّا بِاللَّهِ وَاشْهَدْ بِأَنَّا مُسْلِمُونَ ‎﴿٥٢﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Sura:Al-imran 45-52].

Na swali linalojitokeza: Je! Haiwi kuwa wao - Wana wa Israili - wanamgojea yeye kukua na hali wao wana hamu ju yake zaidi Kuliko moto wa makaa, wanaharakisha kumkabidhi ujumbe wa Mola wake Mlezi, kwa kuwa amewajulisha kwa jambo lake alipokuwa mchanga kitandani?! Akasema Allah Ta3ala:
{فَأَتَتْ بِهِ قَوْمَهَا تَحْمِلُهُ ۖ قَالُوا يَا مَرْيَمُ لَقَدْ جِئْتِ شَيْئًا فَرِيًّا ‎﴿٢٧﴾‏ يَا أُخْتَ هَارُونَ مَا كَانَ أَبُوكِ امْرَأَ سَوْءٍ وَمَا كَانَتْ أُمُّكِ بَغِيًّا ‎﴿٢٨﴾‏ فَأَشَارَتْ إِلَيْهِ ۖ قَالُوا كَيْفَ نُكَلِّمُ مَن كَانَ فِي الْمَهْدِ صَبِيًّا ‎﴿٢٩﴾‏ قَالَ إِنِّي عَبْدُ اللَّهِ آتَانِيَ الْكِتَابَ وَجَعَلَنِي نَبِيًّا ‎﴿٣٠﴾‏ وَجَعَلَنِي مُبَارَكًا أَيْنَ مَا كُنتُ وَأَوْصَانِي بِالصَّلَاةِ وَالزَّكَاةِ مَا دُمْتُ حَيًّا ‎﴿٣١﴾‏ وَبَرًّا بِوَالِدَتِي وَلَمْ يَجْعَلْنِي جَبَّارًا شَقِيًّا ‎﴿٣٢﴾‏ وَالسَّلَامُ عَلَيَّ يَوْمَ وُلِدتُّ وَيَوْمَ أَمُوتُ وَيَوْمَ أُبْعَثُ حَيًّا ‎﴿٣٣﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Sura:Maryam 27-33].

Kwa hiyo, hakuna haja tena ya muujiza wa ishara za kuthibitishwa kwa ujumbe wake kwa wana wa Israeli wakati yeye akiwa mtu mzima, kwani alizungumza nao kwa unabii wake alipokuwa mchanga akiwa kitandani. Kwa hiyo tunachunguza kwa undani kuwa familia ya Imran na wanafunzi wa mwanzo walilazimika kuficha muujiza wa kuzungumza na Mtume wa Mwenyezi Mungu Isa akiwa mchanga kitandani, ili kuyalinda maisha yake na shari ya wale kumi. makabila ya Wana wa Israili, kwa sababu Wana wa Israili walimuua Nabii wa Mwenyezi Mungu, Yahya, kabla ya kumtuma Nabii wa Mwenyezi Mungu, Isa, Licha ya kuwa Nabii wa Mwenyezi Mungu Yahya alikuwa muujiza kutoka kwa Mwenyezi Mungu katika ujauzito wake na wanaijua kisa cha ujauzito wake na mama yake aliyekuwa tasa katika ukomo wa hedhi. Na Nabii wa Mwenyezi Mungu Zakariya akawaambia kwamba Malaika walimpa bishara ya kijana jina lake Yahya, na wakalileta jina lake kutoka kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote, na Mwenyezi Mungu hakumtaja kabla, basi Mwenyezi Mungu akamuamini bishara njema, na mke wa Zakariya alie kua tasa amefika Ukomo wa hedhi akamchukua na kumzaa, na Mungu akampa hukumu akiwa kijana mdogo. Pamoja na hayo, walimuua - waovu miongoni mwa Wana wa Israili - kwa ajili ya kijicho kutoka kwao wenyewe, na kwa ajili hiyo kauli ya Nabii wa Mwenyezi Mungu Isa ilifichwa akiwa mchanga kitandani. Hivyo alizungumza na familia ya Imran. Na watu wao katika binamu zao (baba za Wanafunzi) ni mashahidi wa hayo. Na walitengwa walikuwa kando na makabila kumi “alasbat” (wakiishi peke yao kwa kujitenga kwao) mbali na vijiji vya makabila kumi yaliyowadhuru kutokana na vizazi vya “alasbat” makabila kumi ya Wana wa Israili; Kwa hiyo waliitenga familia ya Imran na wanafunzi pamoja nao kwa kutengwa kwao, kisha wakapata fursa ya kuficha usemi wa Masihi Isa Alipo kua mchanga kitandani mpaka pale Mwenyezi Mungu atakapomtuma kwa kuogopa wasije wakmua. yeye - waovu miongoni mwa wana wa Israeli - kama walivyomuua Nabii wa Mungu Yahya kabla yake. Kwa hiyo, mjadala baina ya Wana wa Israili haukufanyika kwa kuzungumza kwa mtoto mchanga katika utoto, kwa sababu wao walikuwa hawajui. Na baada ya Isa bin Maryam, alipokua na kuanza kuhamahama miongoni mwa watu wa kaumu za Bani Israil, wakauliza juu yake, na wakaambiwa kuwa yeye ni mwana wa Maryamu binti Imran, aliongea akiwa mchanga kitandani. Ni mtumishi wa Mungu aliyempa kitabu na kumfanya nabii. Na Wakasema makabila ya Al-Asbat: “Je, mnazidharau akili zetu? Bali Mariamu alifanya uchafu ulio wazi.” Hawakuamini kwamba kijana huyu - Masihi isa bin Maryam - alikuwa ni muujiza kutoka kwa Mwenyezi Mungu, bali walisema: "Bila shaka Mariamu alifanya uchafu na akamzaa kijana huyu Alie baleghe".

Hawakujali jambo hilo wala kulipa umuhimu wowote au hata kufikiria kulipanga kwa sababu waliamini kabisa kwamba Mariamu alizini, na Mungu akamtakasa kutokana na yale waliyosema. Na Akasema Allah Ta3ala:
{فَبِمَا نَقْضِهِم مِّيثَاقَهُمْ وَكُفْرِهِم بِآيَاتِ اللَّهِ وَقَتْلِهِمُ الْأَنبِيَاءَ بِغَيْرِ حَقٍّ وَقَوْلِهِمْ قُلُوبُنَا غُلْفٌ ۚ بَلْ طَبَعَ اللَّهُ عَلَيْهَا بِكُفْرِهِمْ فَلَا يُؤْمِنُونَ إِلَّا قَلِيلًا ‎﴿١٥٥﴾‏ وَبِكُفْرِهِمْ وَقَوْلِهِمْ عَلَىٰ مَرْيَمَ بُهْتَانًا عَظِيمًا ‎﴿١٥٦﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Sura:Al-Nisaa 155-156].

Kwa hiyo wakamsingizia mama yake kwa kashfa, basi Mwenyezi Mungu akamwachilia yale waliyoyasema pale Mwenyezi Mungu alipompa Injili, na Mungu akamuunga mkono kwa miujiza ya kuthibitisha unabii wake ili wauamini wito wake. Ndipo wakajua kwamba kweli alisema akiwa mchanga kitandani baada ya Mungu kumtuma kwa wana wa Israeli na kumuunga mkono kwa miujiza mikuu ya ajabu. Kisha wakajua kwamba hakika yeye ni Mtume kutoka kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote, basi wakajua kwamba khabari za kusema katika utoto ni kweli. Na ikawabainikia kuwa yeye ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, na kwa hiyo Mwenyezi Mungu akamuunga mkono kwa miujiza ya kuridhia, hivyo akajiepusha na mama yake tuhuma ya uzushi wao dhidi ya Maryamu - swala na salamu zimshukie. walijua kwamba hakika yeye ni Mtume wa Mwenyezi Mungu; kwa hakika walijua kwamba ni heshima kubwa kwa familia ya Imran kubwa kuliko heshima ya Nabii wa Mwenyezi Mungu Yahya, hivyo wakajua kwamba Masihi Isa bin Maryam ni Mtume wa Mwenyezi Mungu na kwa ajili hiyo walitaka kumfanya hila na mbinu Mtume wa Mwenyezi Mungu. Kwajili ya hivo Amesema Allah Ta3ala:
{وَقَوْلِهِمْ إِنَّا قَتَلْنَا الْمَسِيحَ عِيسَى ابْنَ مَرْيَمَ رَسُولَ اللَّهِ وَمَا قَتَلُوهُ وَمَا صَلَبُوهُ وَلَٰكِن شُبِّهَ لَهُمْ ۚ وَإِنَّ الَّذِينَ اخْتَلَفُوا فِيهِ لَفِي شَكٍّ مِّنْهُ ۚ مَا لَهُم بِهِ مِنْ عِلْمٍ إِلَّا اتِّبَاعَ الظَّنِّ ۚ وَمَا قَتَلُوهُ يَقِينًا ‎﴿١٥٧﴾‏}
[ 157 Sura:Al-Nisaa]. [سورة النساء].

Na tunachunguza kwa undani kuwa yalibainika kwa kaumu makabila kumi za Wana wa Israili kwamba Maryamu hakumzaa kwa sababu ya uchafu wa uzinifu, kama walivyoamini kabisa.
Kwa hiyo walijua baada ya mgawo wake na kutegemeza kwake miujiza, kama vile kufufua wafu; Basi wakajua kuwa yeye ni Mtume wa Mwenyezi Mungu na kwamba kisa cha kuzungumza katika utoto kilichodhihirika hadharani hivi karibuni baada ya kuwa kijana akizungukazunguka miongoni mwa Wana wa Israili; Basi ikawabainikia kwamba hakika hiyo ni hadithi ya kweli iliyofichika kwao tangu alipozaliwa na mama yake, na hilo liliwadhihirikia pale Mwenyezi Mungu alipomtuma, na akamuunga mkono kwa dalili za miujiza mikubwa ya kushuhudia. Basi wakajua kuwa hiyo ni haki itokayo kwa Mola wao Mlezi, na ikawazidishia uchafu kwenye uchafu wao kwa sababu ya husuda ya nafsi zao kwa familia ya Imran. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَرَسُولًا إِلَىٰ بَنِي إِسْرَائِيلَ أَنِّي قَدْ جِئْتُكُم بِآيَةٍ مِّن رَّبِّكُمْ ۖ أَنِّي أَخْلُقُ لَكُم مِّنَ الطِّينِ كَهَيْئَةِ الطَّيْرِ فَأَنفُخُ فِيهِ فَيَكُونُ طَيْرًا بِإِذْنِ اللَّهِ ۖ وَأُبْرِئُ الْأَكْمَهَ وَالْأَبْرَصَ وَأُحْيِي الْمَوْتَىٰ بِإِذْنِ اللَّهِ ۖ وَأُنَبِّئُكُم بِمَا تَأْكُلُونَ وَمَا تَدَّخِرُونَ فِي بُيُوتِكُمْ ۚ إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَآيَةً لَّكُمْ إِن كُنتُم مُّؤْمِنِينَ ‎﴿٤٩﴾‏ وَمُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيَّ مِنَ التَّوْرَاةِ وَلِأُحِلَّ لَكُم بَعْضَ الَّذِي حُرِّمَ عَلَيْكُمْ ۚ وَجِئْتُكُم بِآيَةٍ مِّن رَّبِّكُمْ فَاتَّقُوا اللَّهَ وَأَطِيعُونِ ‎﴿٥٠﴾‏ إِنَّ اللَّهَ رَبِّي وَرَبُّكُمْ فَاعْبُدُوهُ ۗ هَٰذَا صِرَاطٌ مُّسْتَقِيمٌ ‎﴿٥١﴾‏ ۞ فَلَمَّا أَحَسَّ عِيسَىٰ مِنْهُمُ الْكُفْرَ قَالَ مَنْ أَنصَارِي إِلَى اللَّهِ ۖ قَالَ الْحَوَارِيُّونَ نَحْنُ أَنصَارُ اللَّهِ آمَنَّا بِاللَّهِ وَاشْهَدْ بِأَنَّا مُسْلِمُونَ ‎﴿٥٢﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Sura:Al-Imran 49-52].
Na Ramadhani Mubarak kwetu na Waislamu wote
Na tunaendelea kuwathibitishia walimwengu kwamba yale tuliyoyaandika juu ya maelezo ya Kweli ya Al’Quran Al3adhim, wataona dalili za uthibitisho wa ukweli Kwenye waqi ya uhakika, hakuna shaka wala utetanishi, wakati wowote Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa walimwengu,anapo taka, na kwa Mungu mambo hurudishwa.

Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَإِنَّهُ لَهُدًى وَرَحْمَةٌ لِّلْمُؤْمِنِينَ ‎﴿٧٧﴾‏ إِنَّ رَبَّكَ يَقْضِي بَيْنَهُم بِحُكْمِهِ ۚ وَهُوَ الْعَزِيزُ الْعَلِيمُ ‎﴿٧٨﴾‏ فَتَوَكَّلْ عَلَى اللَّهِ ۖ إِنَّكَ عَلَى الْحَقِّ الْمُبِينِ ‎﴿٧٩﴾‏ إِنَّكَ لَا تُسْمِعُ الْمَوْتَىٰ وَلَا تُسْمِعُ الصُّمَّ الدُّعَاءَ إِذَا وَلَّوْا مُدْبِرِينَ ‎﴿٨٠﴾‏ وَمَا أَنتَ بِهَادِي الْعُمْيِ عَن ضَلَالَتِهِمْ ۖ إِن تُسْمِعُ إِلَّا مَن يُؤْمِنُ بِآيَاتِنَا فَهُم مُّسْلِمُونَ ‎﴿٨١﴾‏ ۞ وَإِذَا وَقَعَ الْقَوْلُ عَلَيْهِمْ أَخْرَجْنَا لَهُمْ دَابَّةً مِّنَ الْأَرْضِ تُكَلِّمُهُمْ أَنَّ النَّاسَ كَانُوا بِآيَاتِنَا لَا يُوقِنُونَ ‎﴿٨٢﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Sura:Al-Namli 77-82].

Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu Yenu Khalifa Wa Allah Ju Ya Ulimwengu Wote; Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.
أخوكم خليفة الله على العالم بأسرِه؛ الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
______

======== اقتباس =========