Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
04 - ربيع الأول - 1441 هـ
01 - 11 - 2019 مـ
11:09 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
[ لمتابعة رابط المشاركة الأصلية للبيان ]
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=38592
_____________

Onyo Kwa Kila Mwislamu Kua Asifwate Fatwa Ya Ma Mul7hidina Kwa Kuita Adhabu Ya Allah Kua Ni Maafa ya asili, Na Nawabashiria Waislamu Na Makafiri Wanao Kanusha Kwa Ma Aya Za Adhabu Zinazo Fwatana..
تحذيرٌ إلى كل مسلمٍ أنْ لا يتبع فتوى الملحدين بتسمية عذاب الله بكوارث الطبيعة، وأبشّر المسلمين والكافرين المعرضين بآيات عذابٍ تترى..

Bismillah Al'Rahman Al'Rahim Na Sala Na Salam Ju Ya Muhammad Mtume Wa Allah Na Wote Mitume Kabla Yake Na Walio Wafwata Wakaigiza Njia Yao Katika Kila Zama Na Pahali Mpaka Siku Ya Dini, Ama Baada Ya Hapo..
Hakika mimi ni Al'Imam Al'Mahdi Khalifa wa Allah Ju ya ulimwngu Nasser Muhammad Al'Yamani Nakariri Onyo; Bali tumeifanya kwa inwani ya Bayana na nasema: Onyo Kwa Kila Mwislamu Kua Asifwate Fatwa Ya Ma Mul7hidina Kwa Kuita Adhabu Ya Allah Kua Ni Maafa ya asili, Na Nawabashiria Waislamu Na Makafiri Wanao Kanusha Kwa Ma Aya Za Adhabu Zinazo Fwatana katika zama za mazungumzo kabla ya kudhihiri, Basi kiyasi gani nimewaonya kutoka idadi ya miyaka kwa yote yatakao kutendeka kwa wakanushaji kabla halijatendeka, Lakini nyinyi mwataka niwandikie bayana mpya wakati wa tokeo ama bada lishatokea! Na je mwataka kuiondosha miujiza ya bayana ya haki ya Al'Quran ambao Ameiteremsha Allah ju ya ilimu ya ghaibu? Ametukuka Mjuzi Wa Ghaibu.


Na enye ma3ashara ya viongozi wa warabu na wanazuoni wao wale ambao wanamcha shetani mwenye shari zaidi wa kibinadamu Donald Tramp kumcha zaidi kuliko Mola Mlezi wao Al'Wahid Al'Qahar mukawa kama mfano wa kundi la wanafik katika zama za kuteremshwa hi Al'Quran Al3adim walikua wakiwaogopa waumini zaidi kuliko kumogopa Allah; Na hivo ni kua wao ni kaumu hawafkiri, Akasema Allah Ta3ala:
{لَأَنتُمْ أَشَدُّ رَهْبَةً فِي صُدُورِهِم مِّنَ اللَّـهِ ۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّهُمْ قَوْمٌ لَّا يَفْقَهُونَ ﴿١٣﴾} صدق الله العظيم [الحشر].
Allah Ta3ala Asema: { Hakika nyinyi ni kitisho zaidi katika vifua vyao kuliko Mwenyezi Mungu. Hayo ni kwa kuwa hao ni watu wasio fahamu kitu (13)} Sadaqa Allah Al3adim [ Alhashr].


Na je nyinyi ni kama wanyama hamufahamu haki kutokana na batili? Eee Wallahi haihitaji jambo ispokua kitu kimoja nayo ni kuifanyisha kazi akili kwa kutafakari katika utawala wa ilimu wa milinganizi; Na je hio ni kutoka kwa Allah akili inakbuli? Kisha afwate ile itakao mwambia akili yake. Na hio ni mawaidha kutoka kwa Allah kwa wale wakwanza na wa mwisho nayo ni mutumie akili yenu kwa kutafakari na kupeleleza wawili wawili na moja moja, Basi wakati mutakapo tumia maoni ya akili yenu basi Wallahi hakika haipofuki kutona haki kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{ Sema: Mimi nakunasihini kwa jambo moja tu - ya kwamba msimame kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, wawili-wawili na mmoja-mmoja; kisha mfikiri. Mwenzenu huyu hana wazimu. Yeye si chochote ila ni Mwonyaji kwenu kabla ya kufika adhabu kali (46)} Sadaqa Allah Al3adhim [Saba],
{قُلْ إِنَّمَا أَعِظُكُم بِوَاحِدَةٍ ۖ أَن تَقُومُوا لِلَّـهِ مَثْنَىٰ وَفُرَادَىٰ ثُمَّ تَتَفَكَّرُوا ۚ مَا بِصَاحِبِكُم مِّن جِنَّةٍ ۚ إِنْ هُوَ إِلَّا نَذِيرٌ لَّكُم بَيْنَ يَدَيْ عَذَابٍ شَدِيدٍ ﴿٤٦﴾} صدق الله العظيم
[سبأ],


Na hi ni ikiwa mutarudi kwa nafsi zenu kwa kutafakari katika utawala wa ilimu ya mlinganizi ilio fafanuliwa kutoka kwa jumla ya kitabu ufafanuzi, Na ikiwa nimewambia nyinyi utawala wa ilimu kutoka kwangu basi musinisadiki kwakua alio khitimisha ma Nabi na Mitume ni Muhammad Mtume Wa Allah Mwisho wa Ma Nabi Sala Za Mola Mlezi Wangu Ju Yake Na Ju Yao Wote, Na haijuzu muitakidi kuhusu jambo la Al'imam Al'Mahdi Al'Muntadhar kua Atamtumiliza Allah Ni Nabi mpya bali imamu shahidi ju yenu kwa haki Atampa Allah ilimu ya kitabu Al'Quran Al3adhim ili awajahidi na Al'Quran Al'Majid Jihadi Kuu, Ndio nismamishe ju yenu hoja kwa utawala wa ilimu ilio wazi maana yake Al'Quran anaifahamu mtu wa kawaida kwenu na wanazuoni wenu sharti ni kuitumia akili katika utawala wa ilimu wa mlinganizi.

Na eee maajabu Enyi ma3ashara ya ma ajami na katika warabu ajabu zaidi wale ambao hawajuwi vipi watamtambua Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad!! Na Wallahi Yule Ambae Hapana Mola ispokua Yeye hakika mimi niko katika kustajabu zaidi kutokana na wanazuoni wenu na umma wenu katika wale ambao nawaona wanawahakikishia watu kua sasa bila shaka wako katika zama za kutumilizwa Al'Mahdi Al'Muntadhar kutoka kwa Mola Mlezi Wa ulimwengu kulingana na matokeo mapya yanao tokea kwa kufwatana kwenye waki3, Basi tunaona katika ma youtube nyingi katika wanazuoni wanasema kua sasa hakika Al'Mahdi Al'Mumtadhar hatimai yuko baina yetu Amemtumiliza Allah, Kisha wanawambia watu:" Mtafuteni Al'Mahdi Al'Muntadhar hakika yeye hatimai yuko baina yetu kulingana na matokeo yanao endelea sasa". Alafu anajibu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Na Nasema: Basi Vipi mwakusudia kwa nasaha yenu kwa watafiti na je katika internet ya ulimwengu, Ama kumtafuta ma barbarani? Na je mutamtafuta kwenye ma barabara na mutakae kumona kipara pua ya kukunjika kisha mutasema tuoneshe mngongo wako kuna alama muinue mngongo wako? Basi wewe ndio Al'Mahdi! Ndio mumvuwe vazi lake mpaka pindi mutakapo ona alama kwenye mngongo wake na jina lake ni Muhammad basi mutasema: Allahu Akbar! Wewe ndio Al'Mahdi Al'Muntadhar, Na bahati yetu mzuri kua sisi tuko katika zama zako, Basi kiasi gani wamekungoja ma umma kabla yeti", Kisha asmame mwenye pua ya kukunjika mwenye nywele za kuzungukwa kwa kipara ameshtuka kutokana na akili zenu ikiwa yeye ni mtu mwenye akili, Basi awambie nyinyi: "Mimi jina langu ni Muhammad na ni kipara na niko na alama kwa mngongo wangu basi kitu gani chatakiwa kwangu?", Kisha mumwambie yeye: "Wewe ndio Al'Mahdi Al'Muntadhar Khalifa Wa Allah ju ya watu", Basi akiwa ni mwenye akili atawambia nyinyi: "Lakini mimi sijuwi kua Allah Ameniteuwa Khalifa ju ya watu", Na je Amewapa madaraka nyinyi Allah kumteua Khalifa Wake ju ya ulimwengu pasi na Yeye? Basi nifundisheni kwa yale Alio Wafundisha Allah", Kisha mutasema sisi tumetengana kwa madhehebu na ma viyama kwa sababu ya ikhitilafu zetu katika dini ya Allh; Bali imeendelea khitilafu zetu kutoka za kifikihi kwenda kumwagana damu, ikawa mwislamu amuwa mwislamu, Tukawa tumepotea kwa njia ya haki tunapiga shingo ya badhi yetu ju ya badhi sisi warabu, Mpaka imekurubia waislamu wa ki ajami wartadi kwa dini ya Allah ya kislamu kwa sababu yale wanayo yaona katika uhalifu wa kidamu haswa baina ya waislamu warabu; Bali tumikua ni kichekesho mbele ya makafiri na washirikina na mamulhidina, Na kumejawa katika ardhi ya warabu haswa dhulma na uwaduwi na wakawa ma aduwi wa kislamu wanatuzunguka mduwara - ju yao mduwara muovu- Wanataka kutuvamia baada kuvunjika mngongo wetu na ikabomoka uchumi wetu, Wakaiba kheri zetu, Na wanataka tulipe jizya ya kulindwa kwa hoja kua wao watatutetea kutokana na shari la mwislamu kutokana na mwislamu".

Alafu atawambia nyinyi mwenye uso mkubwa mwenye nywele za kuzunguka kichwa mwenye pua ya kukunjika; Tena hayo ikiwa ana akili basi atawambia; "Kwahivo enye ndugu zangu kwavile Al'Mahdi Al'Muntadhar Anamtumiliza Allah kwa hukumu baina yenu kwa kauli ya sawa na ufafanuzi wa mazungumzo kwa hukmu ya Allah kutoka kwa ilio wazi maana yake kitabu ili afanye safu yenu moja na awarudishe Al'Mahdi kwenye njia ya uongofu ya Allah kwa minhaj ya unabi ya mwanzo basi hapana budi Amzidishe Allah ju yenu zaidi ilimu ili awadhibiti ju yenu kwa hukumu ilio fafanuliwa kwa utawala wa ilimu inao kinaisha kwa akili zenu, Ndio aondoshe uwingi wa idadi ya mahizbu kwenye madhehebu zenu, Awarudishe katika minhaj ya sera ya unabi wa mwanzo, Na mimi sio ispokua ni kipara mwenye pua ya kukunjika na niko na kitone katika mgongo wangu! Na je hio ndio ushuhuda wa kuhukumu baina yenu kwa yale munao khitifiana na limeisha jambo? Allahu Akbar! Basi Mimi ni Al'Mahdi Al'Muntadhar kulingana na kuchagua kwenu kwa khalifa wa Allah katika ardhi", Kisha mutasema: " Haya hukumu baina yetu kwa yale tunao khitilifiana baina yetu katika dini yetu ndio unganishe utenganishi wetu uturudishe katika njia ya unabi ya kwanza", Alafu awambie


nyinyi ikiwa ni mwenye akili: "Lakini Allah hajanitayarisha kwa utawala wa ilimu ya bayana ya haki ya Al'Quran mpaka niweze niwanyamazishe kwa hukmu ya haki kwa utawala wa ilimu, kwa kua mimi sijuwi kua Allah Ameniteua Khalifa wake katika ardhi, Wala hakunizidisha zaidi katika ilimu, Wala Hakunifanya kwa watu imamu!" , Basi ikiwa mutamwambia yeye: " Sisi tutakufundisha utawala wa ilimu ya haki", Kisha Awamibie nyinyi aseme: " Lakini nyinyi mumekhitilifiana katika utawala wa ilimu ya haki na hivo ndio sababu ya kutengana kwenu kua majama na mahizbu na kila moja wenu anasema kua haki iko pamoja na yeye, Na mwaua badhi yenu ju ya baadhi kwa sababu ya ikhtilafu zenu katika dini yenu wala sio vita venu va mipaka wala wanyama wala mali; Bali vita venu za ki seketa za kimedhehebu kwa sababu ya kutengana kwenu kua majama na ma hizbu na kila hizbu kwa walio nayo wanafurahia, Basi yupi kati yenu mwataka nifwate? Na kwa yupi nijifundishe ilimu kati yenu? Na vipi nitahukumu baada kujifundisha ilimu kutoka kwa moja ya wanazuoni wa moja katika makundi yenu, Na je sababu ya kutengana kwenu sio ispokua ni khitilafu za wanazuoni wenu katika dini? Na hata kama nitajifunza ilimu kwa moja katika makundi yenu basi hivo hivo nitakua kama nyinyi nitashindwa kuwazidi ju yenu wote kwa utwala wa ilimu unao nyamazisha kwa haki kwa kauli ya sawa na ufafanuzi wa mazungumzo kutoka kwa utawala wa ilimu ya kitabu".


Na hilo ndio jibu la akili kuhusu mahdi wenu ambae mumemchagua munavo taka, Basi mcheni Allah enyi wenye akili, Basi ni vipara wangapi na kwa mngongo wake kuna alama! Fawallahi Thuma Wallahi Thuma Wallahi hapana wala hatotumiliza Allah mahdi kwenu ili nyinyi mumongoze kwenye njia ilio nyoka, Na eeee ajabu ya maajabu enye ma3ashara ya ma ajami na ajabu zaidi kwa warabu kwakua Al'Quran kwa ulimi wa kiarabu baini, Basi ikiwa nyinyi muko katika zama za Al'Imam Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad basi hapana budi atakua ana mizunguko na mapambano kwa ulinganizi ya kiulimwengu kupitia njia ya kiulimwengu katika zama za mazungumzo kabla ya kudhihiri kwajili ya beya kwa ujumla mpaka ajadiliane na wanazuoni wa umma kwa ilimu yake kisha asmamishe hoja ju yenu kwa utawala wa ilimu kwa hukmu ya Allah anaichunguza kwenu kutoka kwa ma aya baini kwa watu wa kawaida; Basi vipi kwa wanazuoni wenu! Basi hatomjadili yoyote katika wanazuoni wa umma na mtu wa kawaida kwenu ispokua atamshinda kwa utawala wa ilimu ya kitabu, Basi hapana budi Allh Ampe ufahamu ya kauli ya sawa ndio awalete nayo kutoka ilio wazi maana yake kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim, Na awajulishe nyinyi ma aya ambazo ziko wazi katika ma aya ya msingi wa kitabu na ma aya za mifano na afafanuwe kwenu kwa ma aya ambazo ziko baini na zinazo bainisha aya zingine katika kitabu cha Allah ufafanuzi, Na hapana na wala hamutopata bora kuliko yeye kwa kuitafsiri, Basi huyo ndie Al'Mahdi Al'Muntadhar Aliotarishwa na Allah Anamtumiliza ili awaongoze kwa njia ya sawa kwa utawala wa ilimu ya kitabu, Na Wala Hamtumilizi Allah ili mumongoze nyinyi na mumfundishe nyinyi, Na je kwani Allah Atamtumiliza ili awaongoze kwa njia ya haki ama Atamtumiliza Allah ili nyinyi mumongoze kwa njia ya sawa? Hivi Hamutafakari? Na natoa Qasam kiapo Kwa Allah Al3adhim Hakuongoza Allah katika waja wake ispokua mwenye akili wanao tumia akili yao kufikiria katika kauli ndio wafwate ilio bora ikiwa itakubali akili yao katika kila zama na pahali kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ Na wale wanao jiepusha na ibada potovu, na wakarejea kwa Mwenyezi Mungu, watapata bishara njema. Basi wabashirie waja wangu (17) Ambao husikiliza maneno, wakafuata lilio bora yao. Hao ndio alio waongoa Mwenyezi Mungu, na hao ndio wenye akili (18) Je! Yule mwenye kustahiki hukumu ya adhabu, je, wewe unaweza kumwokoa aliyomo katika Moto (19)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alzumur].
{وَالَّذِينَ اجْتَنَبُوا الطَّاغُوتَ أَن يَعْبُدُوهَا وَأَنَابُوا إِلَى اللَّـهِ لَهُمُ الْبُشْرَىٰ ۚ فَبَشِّرْ عِبَادِ ﴿١٧﴾ الَّذِينَ يَسْتَمِعُونَ الْقَوْلَ فَيَتَّبِعُونَ أَحْسَنَهُ ۚ أُولَـٰئِكَ الَّذِينَ هَدَاهُمُ اللَّـهُ ۖ وَأُولَـٰئِكَ هُمْ أُولُو الْأَلْبَابِ ﴿١٨﴾ أَفَمَنْ حَقَّ عَلَيْهِ كَلِمَةُ الْعَذَابِ أَفَأَنتَ تُنقِذُ مَن فِي النَّارِ ﴿١٩﴾} صدق الله العظيم [الزمر].


Na ama wale hawatumi akili zao kwa kutafakari katika utawala wa ilimu ya mlinganizi; Bali wenye kufwata ufwato upofu bila kutafakari wala kupeleleza yale walio yapata kutokana na salafi wao ikiwa wanao wafwata wako katika upotevu na wale baada yao waliwafwata ufwato upofu basi hatimai watawapoteza kama walivo wapoteza walio kabla yao, Alfu Anatumiliza Allah Mlinganizi kutoka kwake ili awaongoze kwenye njia ilio nyoka njia ya Al3aziz Al'Hamid hakika Mola Mlezi wangu yuko katika njia ilio nyoka ambayo sio kombo, Wakakata kutumia akili kwa kutafakari kwenye kauli ya mlinganizi wa Allah kwa Allah Pekeyake Hana Mshirika Nae, Na haikua hoja yao ispokua wamesema bali tutafwata yale tulio yapata kwa baba zetu na hakika sisi kwa athari zao tunalekea. Akasema Allah Ta3ala:
( Kwani tuliwapa Kitabu kabla ya hichi, na ikawa wao wanakishikilia hicho (21) Bali wanasema: Hakika sisi tuliwakuta baba zetu wanashika dini makhsusi, basi na sisi tunaongoza nyayo zao (22)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alzukhruf].
{أَمْ آتَيْنَاهُمْ كِتَابًا مِّن قَبْلِهِ فَهُم بِهِ مُسْتَمْسِكُونَ ﴿٢١﴾ بَلْ قَالُوا إِنَّا وَجَدْنَا آبَاءَنَا عَلَىٰ أُمَّةٍ وَإِنَّا عَلَىٰ آثَارِهِم مُّهْتَدُونَ ﴿٢٢﴾} صدق الله العظيم [الزخرف].


Akasema Allah Ta3ala:
{ Na wanapo ambiwa: Njooni kwenye yale aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu, na kwa Mtume, husema: Yanatutosha tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao walikuwa hawajui kitu wala hawakuongoka (104) Enyi mlio amini! Kilicho lazima juu yenu ni nafsi zenu. Hawakudhuruni walio potoka ikiwa nyinyi mmeongoka. Ni kwa Mwenyezi Mungu ndio marudio yenu nyote; basi atakwambieni yale mliyo kuwa mkiyatenda (105)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almaida].
{وَإِذَا قِيلَ لَهُمْ تَعَالَوْا إِلَىٰ مَا أَنزَلَ اللَّـهُ وَإِلَى الرَّسُولِ قَالُوا حَسْبُنَا مَا وَجَدْنَا عَلَيْهِ آبَاءَنَا ۚ أَوَلَوْ كَانَ آبَاؤُهُمْ لَا يَعْلَمُونَ شَيْئًا وَلَا يَهْتَدُونَ ﴿١٠٤﴾ يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا عَلَيْكُمْ أَنفُسَكُمْ ۖ لَا يَضُرُّكُم مَّن ضَلَّ إِذَا اهْتَدَيْتُمْ ۚ إِلَى اللَّـهِ مَرْجِعُكُمْ جَمِيعًا فَيُنَبِّئُكُم بِمَا كُنتُمْ تَعْمَلُونَ ﴿١٠٥﴾} صدق الله العظيم [المائدة].


Na Akasema Allah Ta3ala:
{ Na wanapo ambiwa: Fuateni aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu, husema: Bali tunafuata tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je! Ijapo kuwa Shet'ani anawaita kwenye adhabu ya Moto uwakao (21)} Sadaqa Allah Al3adhim [Luqman].
{وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ اتَّبِعُوا مَا أَنزَلَ اللَّـهُ قَالُوا بَلْ نَتَّبِعُ مَا وَجَدْنَا عَلَيْهِ آبَاءَنَا ۚ أَوَلَوْ كَانَ الشَّيْطَانُ يَدْعُوهُمْ إِلَىٰ عَذَابِ السَّعِيرِ ﴿٢١﴾} صدق الله العظيم [لقمان].

Wakakata Kutumia Akili zao, Na kwa sababu ya kutotumia akili njoni tuangalie natija yake nini, Akasema Allah Ta3ala:
{ Wakasema lau tulikua twasikia ama twatumia akili hatungekuwa pamoja na watu wa motoni (10)} Sadaqa Allah Al3adhim ] Almulk].
{وَقَالُوا لَوْ كُنَّا نَسْمَعُ أَوْ نَعْقِلُ مَا كُنَّا فِي أَصْحَابِ السَّعِيرِ ﴿١٠﴾} صدق الله العظيم [الملك].


Na enye ma3ashara ya wanazuoni wa waislamu na ummati wao, Na je nawalingania ispokua kwa kuhukumiwa kwa yale alio teremsha Allah ju ya Muhammad Sala Allahu Aleyhi na ju ya walio mfwata na akajahidi kwa maoni yake jihadi kuu? Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ Wala wewe huwaombi ujira kwa haya. Hayakuwa haya ila ni mawaidha kwa walimwengu wote (104) Na ishara ngapi katika mbingu na ardhi wanazo zipitia, na hali ya kuwa wanazipuuza (105) Na wengi katika wao hawamuamini Mwenyezi Mungu pasina kuwa ni washirikina (106) Je! Wanaaminisha kuwa haitowajia adhabu ya Mwenyezi Mungu ya kuwagubika, au haitawafikia Saa ya Kiyama kwa ghafla, na hali hawatambui (107) Sema: Hii ndiyo Njia yangu - ninalingania kwa Mwenyezi Mungu kwa kujua - mimi na wanao nifuata. Na ametakasika Mwenyezi Mungu! Wala mimi si katika washirikina (108)} Sadaqa Allah Al3adhim [ Yusuf].
{وَمَا تَسْأَلُهُمْ عَلَيْهِ مِنْ أَجْرٍ ۚ إِنْ هُوَ إِلَّا ذِكْرٌ لِّلْعَالَمِينَ ﴿١٠٤﴾ وَكَأَيِّن مِّنْ آيَةٍ فِي السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ يَمُرُّونَ عَلَيْهَا وَهُمْ عَنْهَا مُعْرِضُونَ ﴿١٠٥﴾ وَمَا يُؤْمِنُ أَكثرهم بِاللَّـهِ إِلَّا وَهُم مُّشْرِكُونَ ﴿١٠٦﴾ أَفَأَمِنُوا أَن تَأْتِيَهُمْ غَاشِيَةٌ مِّنْ عَذَابِ اللَّـهِ أَوْ تَأْتِيَهُمُ السَّاعَةُ بَغْتَةً وَهُمْ لَا يَشْعُرُونَ ﴿١٠٧﴾ قُلْ هَـٰذِهِ سَبِيلِي أَدْعُو إِلَى اللَّـهِ ۚ عَلَىٰ بَصِيرَةٍ أَنَا وَمَنِ اتَّبَعَنِي ۖ وَسُبْحَانَ اللَّـهِ وَمَا أَنَا مِنَ الْمُشْرِكِينَ ﴿١٠٨﴾} صدق الله العظيم [يوسف].


Na Nawabashiria wakanushaji kuhusu (Mlinganizi Wa Allah) Mja Wake Al'Imam Al'Mahdi Kwa Kuhukumu kwa kitabu chake kwa Ghadhabu Zake na Adhabu Yake angani na baharini na bara; Bali Aina ya adhabu huwenda mukarudi kwenye kauli ya sawa ndio mumwitikie mlinganizi wa kuhukumu kwa kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim, Na mukikata na mukafwata mabwana zenu na wakubwa wenu wenye kiburi basi nawabashiria nyinyi na wao kwa adhabu ya siku ya kivuli, Na nawabashiri kwa adhabu ya bahari inao fura kwa upepo mkali unao bomoa huku na kule kutoka sehemu tafauti, Na zilzala ya bara na bahari na mivua ya barafu ya mapande kama jabali ya baridi, Na kali zaidi kuliko zote upepo wa moshi ambao utawajieni kutoka kaskazini na kaskazini wa magharibi basi itafika Yemen kwenye nyakati ya siku fulani katika wakati wa Alasiri yani kabla kuzama jua baada kupita kwake kisiwa cha warabu kabla yake.

Na nambashiria shetani Tramp mwenye shari katika viumbe na yule kati mfano wake kwa bomu la kinezaki Meteorite kutoka mbinguni pahala pa kuanguka kwake kwenye ukuta wa kaskazini wa magharibi kutokana na sehemu Ya Al'Imam Al'Mahdi Kwakua mimi niko katika kusini mashariki na sehemu itakapo anguka bomu la kinezaki Meteori ambalo ni Smart kwa haki kwenye sehemu kavu nyuma ya bahari ya mashariki kwenye sehemu kavu katika Amerika, Na nawabashiria wahalifu miongoni mwao kwa bomu la kinezaki meteori litadunda katika ardhi nayo kwa haraka ya mwangaza yani kwa haraka ya alfu mia tatu kilo mitar kawa nukta moja; Inavuka kanuni zao za kifiziki kwa kudra ya Allah Kusadikisha kauli Ya Allah Ta3ala:
{ Na amri yetu haikuwa ila ni moja tu, kama kupepesa jicho (51)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alqamar].
{وَمَا أَمْرُنَا إِلَّا وَاحِدَةٌ كَلَمْحٍ بِالْبَصَرِ ﴿٥٠﴾ وَلَقَدْ أَهْلَكْنَا أَشْيَاعَكُمْ فَهَلْ مِن مُّدَّكِرٍ ﴿٥١﴾} صدق الله العظيم [القمر].


Na wakati wa kufanyika Mlipuko wa kijisayari cha adhabu kwa wakati wa Sanaa Na Mka katika wakati wa Swala ya alfajiri kabla kuchomoza jua, Na Allah ni shahidi na Wakili kwa nayo yasema.


Na ama sayari ya saqar basi itapita usiku ju ya kisiwa cha kiarabu inakuja kutoka kusini mwa ardhi kwakua nayo inazunguka ju ya ardhi kwa upande wa kaskazini kulekea kusini, Na bado mwazali muko katika zama za mazungumzo kabla ya kudhihirika, Na masiku za nuksi kwa ma aya baini basi kiasi gani nimewanasihi na nimewahadharisha kutoka idadi ya miyaka kwa umri ya ulinganizi wa kimahdi, Na imekurubia mwaka wa kumi na tano umalizike kutokana na umri wa kimahdi kwa hisabu ya 360 na najua kutoka kwa Allah yale hamuyajuwi, Na sio maana ya hivo kua mimi nahadidisha siku ya adhabu ya moshi kwenye siku adhimu basi sitokhalifu amri ya Allah katika ilio wazi maana yake Al'Quran Al3adhim Kwenye Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ Na ficheni kauli zenu, au zitangazeni; hakika Yeye ni Mjuzi wa yaliyomo vifuani (13) Asijue aliye umba, naye ndiye Mjua siri, Mwenye khabari (14) Yeye ndiye aliye idhalilisha ardhi kwa faida yenu, basi tembeeni katika pande zake, na kuleni katika riziki zake. Na kwake Yeye ndio kufufuliwa (15) Mnadhani mko salama kwa alioko juu kuwa hatakudidimizeni kwenye ardhi, na tahamaki hiyo inatikisika (16) Au mnadhani mko salama kwa alioko juu ya kuwa Yeye hakupelekeeni kimbunga chenye changarawe? Mtajua vipi maonyo yangu (17) Na bila ya shaka walikwisha kanusha walio kuwa kabla yao; basi kulikuwaje kukasirika kwangu (18) Kwani hawawaoni ndege walioko juu yao namna wanavyo zikunjua mbawa zao, na kuzikunja? Hawawashikilii ila Mwingi wa rehema. Hakika Yeye ni Mwenye kuona kila kitu (19) Au ni lipi hilo jeshi lenu la kukunusuruni badala ya Mwingi wa Rehema? Hakika makafiri hawamo ila katika udanganyifu (20) Au ni nani huyo ambaye atakupeni riziki kama Yeye akizuia riziki yake? Bali wao wanakakamia tu katika jeuri na chuki (21) Je! Anaye kwenda akisinukia juu ya uso wake ni mwongofu zaidi, au yule anaye kwenda sawasawa katika Njia Iliyo Nyooka (22) Sema: Yeye ndiye aliye kuumbeni tangu mwanzo, na akakupeni masikio na macho, na nyoyo. Ni kidogo kabisa shukrani zenu (23) Sema: Yeye ndiye aliye kutawanyeni katika ardhi, na kwake mtakusanywa (24) Na wanasema: Lini ahadi hii, ikiwa mnasema kweli (25) Sema: Hakika ujuzi wake uko kwa Mwenyezi Mungu; na hakika mimi ni mwonyaji tu mwenye kubainisha (26)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almulk].


{وَأَسِرُّوا قَوْلَكُمْ أَوِ اجْهَرُوا بِهِ ۖ إِنَّهُ عَلِيمٌ بِذَاتِ الصُّدُورِ ﴿١٣﴾ أَلَا يَعْلَمُ مَنْ خَلَقَ وَهُوَ اللَّطِيفُ الْخَبِيرُ ﴿١٤﴾ هُوَ الَّذِي جَعَلَ لَكُمُ الْأَرْضَ ذَلُولًا فَامْشُوا فِي مَنَاكِبِهَا وَكُلُوا مِن رِّزْقِهِ ۖ وَإِلَيْهِ النُّشُورُ ﴿١٥﴾ أَأَمِنتُم مَّن فِي السَّمَاءِ أَن يَخْسِفَ بِكُمُ الْأَرْضَ فَإِذَا هِيَ تَمُورُ ﴿١٦﴾ أَمْ أَمِنتُم مَّن فِي السَّمَاءِ أَن يُرْسِلَ عَلَيْكُمْ حَاصِبًا ۖ فَسَتَعْلَمُونَ كَيْفَ نَذِيرِ ﴿١٧﴾ وَلَقَدْ كَذَّبَ الَّذِينَ مِن قَبْلِهِمْ فَكَيْفَ كَانَ نَكِيرِ ﴿١٨﴾ أَوَلَمْ يَرَوْا إِلَى الطَّيْرِ فَوْقَهُمْ صَافَّاتٍ وَيَقْبِضْنَ ۚ مَا يُمْسِكُهُنَّ إِلَّا الرَّحْمَـٰنُ ۚ إِنَّهُ بِكُلِّ شَيْءٍ بَصِيرٌ ﴿١٩﴾ أَمَّنْ هَـٰذَا الَّذِي هُوَ جُندٌ لَّكُمْ يَنصُرُكُم مِّن دُونِ الرَّحْمَـٰنِ ۚ إِنِ الْكَافِرُونَ إِلَّا فِي غُرُورٍ ﴿٢٠﴾ أَمَّنْ هَـٰذَا الَّذِي يَرْزُقُكُمْ إِنْ أَمْسَكَ رِزْقَهُ ۚ بَل لَّجُّوا فِي عُتُوٍّ وَنُفُورٍ ﴿٢١﴾ أَفَمَن يَمْشِي مُكِبًّا عَلَىٰ وَجْهِهِ أَهْدَىٰ أَمَّن يَمْشِي سَوِيًّا عَلَىٰ صِرَاطٍ مُّسْتَقِيمٍ ﴿٢٢﴾ قُلْ هُوَ الَّذِي أَنشَأَكُمْ وَجَعَلَ لَكُمُ السَّمْعَ وَالْأَبْصَارَ وَالْأَفْئِدَةَ ۖ قَلِيلًا مَّا تَشْكُرُونَ ﴿٢٣﴾ قُلْ هُوَ الَّذِي ذَرَأَكُمْ فِي الْأَرْضِ وَإِلَيْهِ تُحْشَرُونَ ﴿٢٤﴾ وَيَقُولُونَ مَتَىٰ هَـٰذَا الْوَعْدُ إِن كُنتُمْ صَادِقِينَ ﴿٢٥﴾ قُلْ إِنَّمَا الْعِلْمُ عِندَ اللَّـهِ وَإِنَّمَا أَنَا نَذِيرٌ مُّبِينٌ ﴿٢٦﴾} صدق الله العظيم [الملك].


Na mlipuko wa juwa adhimu sana xxx large na jua na mwezi katika hali ya kukutana katika mwanzo wa mwezi fulani, Na namshuhudisha Allah kua mimi siwahadidishi tarehe ya siku ya adhabu kulingana na masiku zenu hata kama najua ni karibu; Bali nawajulisha kwa matokeo kabla hayajatokea basi haina kheri kwenu kuhadidisha, Kwakua wale hawatumi akili watachelewesha kusadiki na kufwata mpaka waone je itakuja katika hio siku ilio wekwa adhabu kuu? kisha pindi ikitokea watamini! hawo kama wanyama bali wao wapotea njia zaidi, Zimefanana nyoyo zao na makafiri kwa Al'Quran Al3adhim,
basi lau wao wangesema: Allahuma ikiwa huyu ndie Al'Imam Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad analingania haki na anaongoza kwa njia ilio nyoka Allahuma nioneshe bayana ya utawala wa ilimu ya bayana ya Al'Quran kwa Al'Quran kama navo ona jua katika mbingu, Allahuma usifanye utawala wa ilimu ya bayana ya Al'Quran kwa Al'Quran upofu kwa moyo wa mja wako, Subhanak umetukuka! Basi ambae hakumjalia Allah Nur atafautisha baina ya haki na batili basi hana pakupata Nur".

Na je anakua sawa kipofu na mwenye kuona na je inakua sawa ma kiza na mwangaza? Hasbia Allah La Ilaha ila Hua Aleyhi Tawakaltu Wa Huwa Rab Al3arsh Al3adhim, Na Laana Ya Allah Ju Ya Warongo, Na Salam Ju Ya Mitume Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin..

Khalifa Wa Allah Na Mja Wake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani .
خليفة الله وعبده الإمام المهدي ناصر محمد اليماني .
_________