Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
22 - محرم - 1441 هـ
21 - 09 - 2019 مـ
11:26 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=38314

ــــــــــــــــــــــــ


إلى كل مؤمنٍ بالله يعتقد أنه من أنصار الله ومحمدٍ عبده ورسوله ..
Kwa Kila Anae Mwamini Allah Anaitakidi Kua Yeye Ni Miongoni Mwa Wanao Mnusuru Allah Na Muhammad Mja Wake Na Mjube Wake ..


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim Na Sala Na Salam Ju Ya Muhammad Mtume Wa Allah Na Wote Mitume Kabla Yake Na Ju Ya Wanao Wanusuru Na Wakafwata Njia Yao Hatutafautishi Baina Ya Yoyote Kati Ya Yoyote Baina Yao Na Sisi Kwake Ni Waislamu, Ama Baada Ya Hapo ..


Enye Ma3ashara Ya Wanazuoni Waku Wa Waislamu Kila mufti kwa taifa lake katika kila taifa la kislamu la kiarabu ama la kiajemi, Hakika mimi ni Al'Imam Al'Mahdi Khalifa Wa Allah Katika Ardhi nataka kwa kila mufti wa kila taifa la kiarabu ama la kiajami wateremshe kiburi chao na kujighuri kwao ili kuzungumza na Al'Imam Al'Mahdi katika meza ya mazungumzo ya ulimwengu tuvoti yangu hi Kikao cha bishara ya uwislamu muntadayat Albushra alislamia ili kuzungumza na Al'Imam Al'Mahdi katika zama za mazungumzo kabla ya kudhihiri, Na kila mufti ajibu bayana yangu hi kwenye sehemu ilio hususishwa kwake kwa jina na sura kufunga macho iwe mimi ni Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad ama ni mrongo mwenye shari basi ju yenu muitete dini ya kislamu, Basi mukikuta kua mimi nawalingania kwenye haki na nawafundisha kwa kitabu cha Allah na nimejifunga nayo na naongoza kwa muhakam ilio wazi maana yake Al'Quran Almajid kwenye njia ya Al3aziz Al'Hamid Basi nisaidieni na muninusuru na munitangaze nijulikane kwa haki kwa mataifa yote ya waislamu, Na mukinikuta nimepotea kwa njia ilio nyoka basi nitangazeni kuwatambulisha mataifa yote ya kislamu kua mimi niko kwenye upotevu ulio wazi na muniongoze kwenye njia yenye uongofu zaidi kuliko Al'Quran Al3adhim na Sunna Al'Nabawia za kweli ambazo hazikhalifu kwa muhakam ilio wazi maana yake kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim.


Na sina mimi ju yenu ispokua sharti moja tu nayo kua mukubali Allah Mola Mlezi Wangu Na Mola Mlezi Wenu ndio Hakimu baina yenu kwa yale munao khitilifiana ndani yake kwenye dini yenu, Na hakuna ju ya Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad ispokua awachunguzie kwenu hukumu ya Allah baina yenu nawalete nayo kutoka ilio wazi maana yake Al'Quran Al3adhim, Sharti ju yangu sio ya kudangaya kua iwe hukmu anaifahamu mtu wa kawaida kwenu kwa uwazi wa kuonekana kwake wazi basi je wanazuoni wenu katika Dini!


Na enye wapendwa wangu kwa Allah wote wanazuoni wa waislamu na Mataifa yao, Wallahi Ambae Hapana Mola ispokua Yeye Hapana na wala hatonifwata ispokua ambae anaamini Kitabu Cha Allah Al'Quran Al3adhim na Sunna za Muhammad Mtume wa Allah ambazo hazikhalifu ilio wazi maana yake Al'Quran Al3adhim na hivo baina yangu na baina ya kila mufti wa taifa lake kwenye kila taifa la kislamu la kiarabu ama la kiajami, Na vile mimi najua kua mimi ni Khalifa wa Allah Al'Mahdi Anaeongoza sijamzulia Allah basi kwa Akili na mantik kua nitangaze matokeo natija ya mazungumzo baina yangu na baina yenu kua hakika mimi nitawazidi ju yenu kwa utawala wa ilimu ilio wazi maana yake Al'Quran Al3adhim mpaka nitawafanya baina khiyari mbili haina ya tatu ndani yake ama muamini kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim ama muikufuru Al'Quran Al3adhim ndio Awadhibu Allah pamoja na makafiri katika ulimwengu kwa hi Al'Quran Al3adhim na wala hamutopata pasi na Allah rafiki wala mnusura, Ni Sunna ya Allah kwa wale walio pita kabla yenu na wala hamutopata kwa Sunna Ya Allah kubadilika, Basi tahadharini na ghadhabu za Allah kwa sababu ya kukufuru kwa Al'Quran Al3adhim ama kuipa mngongo, Hivi kuipa mngongo kwa wale wano iyamini basi dhambi lake ni kubwa zaidi kwa Allah kuliko kwa wale wanaoikufuru kwakua walio ikufuru hawajuwi kua ni haki kutoka kwa Mola Mlezi wao kwajili ya hivo hawaisadiki Al'Quran Al3adhim, Na je wanakua sawa katika dhambi mbele ya Allah? Bali ghadhabu za Allah kwa waumini kwa Al'Quran Al3adhim alafu wakaikanusha na waka


kata kushikamana nayo na kukufuru kwa yale yanao khalifu ilio wazi maana yake kitabu Cha Allah Al'Quran Al3adhim hawo mfano wao ni kama mfano wanao ficha kwa watu haki kutoka kwa Mola Mlezi wao na wao wajua kua ni haki kutoka kwa Mola Mlezi wao, Basi hakuna tafauti baina yao na baina ya wanaoikanusha katika mashetani binadamu kwakua pande zote mbili wajua kua ni haki kutoka kwa Mola Mlezi wao na wanazuwia watu kuifwata, Hawo Anawalani Allah Na wanalaniwa na wenye kulani kwakua wao wanajua kua ni haki kutoka Kwa Mola Mlezi wao na wanazuia watu kuifwata na kufungamana nayo, Kwajili ya hivo Anaghadhibika Allah Ju Yao kisha Awalani na Akahalilisha ju yao lana za watu wote, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{إِنَّ الَّذِينَ يَكْتُمُونَ مَا أَنزَلْنَا مِنَ الْبَيِّنَاتِ وَالْهُدَىٰ مِن بَعْدِ مَا بَيَّنَّاهُ لِلنَّاسِ فِي الْكِتَابِ ۙ أُولَـٰئِكَ يَلْعَنُهُمُ اللَّـهُ وَيَلْعَنُهُمُ اللَّاعِنُونَ ﴿١٥٩﴾ إِلَّا الَّذِينَ تَابُوا وَأَصْلَحُوا وَبَيَّنُوا فَأُولَـٰئِكَ أَتُوبُ عَلَيْهِمْ ۚ وَأَنَا التَّوَّابُ الرَّحِيمُ ﴿١٦٠﴾} صدق الله العظيم [البقرة].
Allah Ta3ala Asema: { Hakika wale wanao ficha tuliyo yateremsha -- nazo ni hoja zilizo wazi na uwongofu baada ya Sisi kuzibainisha kwa watu Kitabuni -- hao anawalaani Mwenyezi Mungu, na wanawalaani kila wenye kulaani (159) Ila wale walio tubu na wakatengeneza na wakabainisha, basi hao nitapokea toba yao, na Mimi ni Mwenye kupokea toba na Mwenye kurehemu (160)} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara].


Na Washuhudie kiapo changu hiki waislamu wote na watafiti wa haki katika ulimwengu katika wale Alio Wadhihirisha Allah kwa ulinganizi wa Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Katika Zama za mazungumzo kabla ya kudhihiri, Na washuhudie ju yangu kua mimi nimetoa kiapo Qasam Kwa Allah Al3adhim Mwenye kuhuyisha mifupa yakiwa yamemumunyuka Mola Mlezi wa mbingu na ardhi na viliomo baina yao na Mola Mlezi Wa Arshi Kuu kwamba ma mufti wote wa kislamu kwenye inchi za kiarabu na za kiajami hawawezi kumzidi kwa utawala wa ilimu katika Al'Quran Al3adhim ju ya Nasser Muhammad Al'Yamani hata kama watakua wanasaidiana baadhi yao ju ya baadhi.


Na hio hapo mimi nimefanya kwa kila moja wao sehemu kwenye uso wa tuvoti yangu; Tuvoti ya Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani kikao cha bishara ya waislamu Muntadayat Albushra alislamia, Na nasema: Jikusanyeni Kwa mazungumzo na musaidiane badhi yenu ju ya badhi na munusuriane kumjibu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani kwa utawala wa ilimu kutoka kwa ilio wazi maaana yake Al'Quran Al3adhim, Na wala hamuna hoja ju yangu mpaka musmamishe ju yangu hoja kutoka kwa Al'Quran Al3adhim, Basi pindi mukifanya na wala hamutofanya basi imshukie Nasser Muhammad Al'Yamani laana ya Allah na Malaika na watu wote, Na ikibainika kwenu nyinyi na mukajua kua Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani kweli analingania kwenye haki na anaongoza kwa Al'Quran Al'Majid Kwenye njia ya Al3aziz Al'Hamid kisha mukaficha ushuhuda wa kweli katika nafsi zenu na mukazuia kumfwata Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani baada ilipo bainika kwenu kua yeye Ndio Al'Imam Al'Mahdi Anae Ongoza kwa Al'Quran Al3adhim kwenye njia ilio nyoka kisha mukamgeuka mukazuwia ulinganizi wake basi hakika ju yenu nyinyi lana ya Allah na Malaika wake na watu wote, Kwakua mataifa yenu yangojea fatwa yenu kuhusu ulinganizi wa Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani na nyinyi kwa kuwapa fatwa wao mumenyamaza ama mwazuwia pamoja yakwamba imebainika kwa wanazuoni wa waislamu na mashetani wa kijini na wa kibinadamu kua Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani kweli anaongoza kwa Al'Quran Al3adhim kwenye njia ilio nyoka Kwa Mola Mlezi Wenu, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{إِنِّي تَوَكَّلْتُ عَلَى اللَّـهِ رَبِّي وَرَبِّكُم ۚ مَّا مِن دَابَّةٍ إِلَّا هُوَ آخِذٌ بِنَاصِيَتِهَا ۚ إِنَّ رَبِّي عَلَىٰ صِرَاطٍ مُّسْتَقِيمٍ ﴿٥٦﴾} صدق الله العظيم [هود].
Allah Ta3ala Asema: { Hakika mimi nimemtegemea Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wangu na Mola Mlezi wenu. Hapana kiumbe yeyote ila Yeye anamwendesha atakavyo. Hakika Mola wangu Mlezi yuko juu ya Njia Iliyo Nyooka (56)} Sadaqa Allah Al3adhim [Hud].


Na huwenda kutaka wanazuoni wote wakuu wanao toa fatwa kwenye miji katika kila taifa la kislamu kua waseme kwa ulimi moja kwa pamoja:" Ewe Nasser Muhammad Al'Yamani Taratibu Taratibu, Ama uwe wewe ni mwandazimu na wazimu ina sampuli zake! Ama wewe ni Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad wa kweli Khalifa wa Allah Mola Mlezi wa ulimwengu, Basi umefungua ma sehemu kwenye uso wa tuvoti yako ukafanya kila mufti ana sehemu yake hususi katika ma mufti wa ma taifa za kislamu za kiarabu na za kiejemi ili uzungumze nao pekeyako, Na unawakataza ma ansari wako wote kua asingilie moja wao kwenye sehemu ilio hususishwa ya mazungumzo baina yetu na baina yako; Bali twakuona kua ushahukumu kwa natija ya matokeo ya mazungumzo kutangulia kua wewe ndio utakae zidi ju yetu wote kwa utawala wa ilimu ulio wazi kutoka kwa Al'Quran Al3adhim; Bali unahukumu ju ya nafsi yako kutangulia kua ikiwa tumekushinda kwenye suali moja kwenye nyumba yako kutoka kwa Al'Quran Al3adhim basi hakika ju yako laana ya Allah na Malaika na watu wote".
Kisha anawajibu ju yenu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani na nasema: Na hivo ni kwakua mimi najua kua mimi sijamzulia Allah kua mimi ni Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Khalifa wa Allah ju ya ulimwengu kusadikisha kwa yale Alio Waahidi Allah na Mtume wake Muhammad Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam Amesema:
[أبشركم بالمهدي يبعثه الله على اختلافٍ فيملأ الأرض عدلاً كما ملئت جوراً وظلماً]
صدق رسول الله.
[ Nawabashiria kwa Al'Mahdi Atamtumiliza Allah kwenye khitilafu basi ataeneza ardhi uwadilofu kama vile kulivo jawa na maonevu na udhalimu ] Sadaqa Rasul Allah,
Basi njoni tuangalie hi bishara kutoka kwa Allah kutoka kwa ulimi wa Mtume Wake kwenye sunna anabawia za kweli je ni kweli ni kutoka kwa Allah na Mtume Wake? Na kabla kuipitisha hi hadithi ya kweli ju ya Al'Quran Al3adhim nalikeza suali kwa waislamu wote: Je hivi hamuoni kua kweli mumekhitilifiana kwenye dini munauwana baina yenu na wamaga baadhi yenu damu ya badhi yenu ma jama na maviyama wanauwana baadhi yao kwa baadhi? Na jibu kwenye waki ya uhakika katika zama za kutumilizwa Al'Imam Al'Mahdi Kwenu na kungana ma aduwi wa kuu kwenu kungana kwajili ya kuwamaliza nyinyi na kumaliza dini yenu na kubomoa sehemu zenu takatifu,
Kwahivo Al'Imam Al'Mahdi AlMuntadhar Atamtumiliza Allah kwa waislamu waumini mahizbu wanao uwana baina yao kisha anawalingania ma hizbu waumini wanao uwana kuingia katika uwislamu wote kwa yale baina yao wote ili kunganisha umoja wa safu yao baada ya kukhitilifiana kwao na kuwana kwao, Akawamuru Allah kuitikia ulinganizi wa Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani ambae anawalinganie kusmamisha vita baina ya ma hizbu zote waumini kisha waingie kwenye uwislamu kikamilifu kutekeleza Amri Ya Allah kwa waumini wanao uwana kua wasmamishe vita baina yao na waingie kwenye uwislamu kikamilofu, Na Akawahadhirisha Allah pindi mukateleza na mukaasi Amri ya Allah na Khalifa wake Al'Mahdi baada ya kumtumiliza Allah kwenu katila zama za khitilafu zenu kuu basi mukiteleza na mukaasi baada kutumilizwa Al'Imam Al'Mahdi kwenu basi mujuwe kua Allah ni Mwenye Nguvu Mwenye Hikma Atamdhihirisha Khalifa Wake ju yenu na ju ya aduwi wenu kwa aya ya adhabu kutoka kwake kwa uwezo Wake na nguvu Zake na Utukufu Wake, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَمِنَ النَّاسِ مَن يَشْرِي نَفْسَهُ ابْتِغَاءَ مَرْضَاتِ اللَّـهِ ۗ وَاللَّـهُ رَءُوفٌ بِالْعِبَادِ ﴿٢٠٧﴾ يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا ادْخُلُوا فِي السِّلْمِ كَافَّةً وَلَا تَتَّبِعُوا خُطُوَاتِ الشَّيْطَانِ ۚ إِنَّهُ لَكُمْ عَدُوٌّ مُّبِينٌ ﴿٢٠٨﴾ فَإِن زَلَلْتُم مِّن بَعْدِ مَا جَاءَتْكُمُ الْبَيِّنَاتُ فَاعْلَمُوا أَنَّ اللَّـهَ عَزِيزٌ حَكِيمٌ ﴿٢٠٩﴾}صدق الله العظيم [البقرة].
Allah Ta3ala Asema: { Na katika watu yupo ambaye huiuza nafsi yake kwa kutaka radhi za Mwenyezi Mungu; na Mwenyezi Mungu ni Mpole kwa waja wake (207) Enyi mlio amini! Ingieni katika Uislamu kwa ukamilifu, wala msifuate nyayo za She'tani; hakika yeye kwenu ni adui aliye wazi (208) Na ikiwa mkateleza baada ya kukufikieni hoja zilizo wazi, basi jueni kuwa Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na Mwenye hikima (209)} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara].


Pamo ja ya kua Allah Alipo Nitumiliza kwenu ilikua khitilafu zenu ni za kifikihi bado, Kisha nikawalingania kuhukumiana kwa kitabu cha Allah ili nihukumu baina yenu kwa yale munao khitilifiana ndani yake, Basi mukikata nikawahadharisha kutokana na adhabu daraja ya tatu nayo nikua kuendelea khitilafu zenu za kimadhehebu kwenda kwa vita va umwagaji damu ndio aonjeshe baadhi yenu nguvu za baadhi, Na nika'wahadharisha kabla ya tokeo pindi ikiendelea ukanushaji wa kufwata ulinganizi wa Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani kua Allah Atazidisha Khitilafu zenu awavishe fujo la mfarakano ndio muonjane badhi yenu jeuri ju ya baadhi yenu, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{قُلْ هُوَ الْقَادِرُ عَلَىٰ أَن يَبْعَثَ عَلَيْكُمْ عَذَابًا مِّن فَوْقِكُمْ أَوْ مِن تَحْتِ أَرْجُلِكُمْ أَوْ يَلْبِسَكُمْ شِيَعًا وَيُذِيقَ بَعْضَكُم بَأْسَ بَعْضٍ ۗ انظُرْ كَيْفَ نُصَرِّفُ الْآيَاتِ لَعَلَّهُمْ يَفْقَهُونَ ﴿٦٥﴾} صدق الله العظيم [الأنعام]
Allah Ta3ala Asema: { Sema: Yeye ndiye Muweza wa kukuleteeni adhabu kutoka juu yenu au kutoka chini ya miguu yenu, au kukuleteeni fujo la mfarakano, na kuwaonjesha baadhi yenu jeuri ya wenzao. Tazama vipi tunavyo zieleza Aya ili wapate kufahamu (65)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanaam],
Kwakua ulinganizi wangu kwenu kutoka miyaka kumi na tano na mimi nawalingania kuhukumiana kwa kitabu cha Allah na nawahadharisha kutokana na ghadhabu ya Allah kwajili ya kitabu chake kwa sababu kuikanusha ulinganizi wa kuhukumu kwenye kitabu chake na nyinyi munaiamini basi vipi muwe wakwanza wanao kataa kuhusu ulinganizi wa kuhukumu kwa kitabu cha Allah na nyinyi munakiamini enye ma3ashara ya waislamu! Hivi hamuti akili?


Na nawahadharisha kufwata khatua za shetani Tramp ambae anataka kuendele vita baina ya waislamu ili awadhufishe baadhi yao kwa baadhi ili ipatikane kutimu njama ya taifa la kizayuni kuu, Na nyinyi mwajua enye ma3ashara ya waislamu wote kua aduwi wa Allah shetani Donald Tramp kwenu ni aduwi wa wazi baini hakufinikika na vumbi kwa uwaduwi wake ju ya uwislamu na waislamu, Kwajili ya hivo Amewahadharisha Allah Kufwata khatua za shetani Tramp kwa kuendeleza vita baina yenu na Akawapa fatwa Allah kua yeye hana haja ya kupeta usalama na amani baina yenu bali yeye kwenu adui baini wazi hana vumbi ju yake, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا ادْخُلُوا فِي السِّلْمِ كَافَّةً وَلَا تَتَّبِعُوا خُطُوَاتِ الشَّيْطَانِ ۚ إِنَّهُ لَكُمْ عَدُوٌّ مُّبِينٌ ﴿٢٠٨﴾ فَإِن زَلَلْتُم مِّن بَعْدِ مَا جَاءَتْكُمُ الْبَيِّنَاتُ فَاعْلَمُوا أَنَّ اللَّـهَ عَزِيزٌ حَكِيمٌ ﴿٢٠٩﴾} صدق الله العظيم [البقرة].
Allah Ta3ala Asema: { Enyi mlio amini! Ingieni katika Uislamu kwa ukamilifu, wala msifuate nyayo za She'tani; hakika yeye kwenu ni adui aliye wazi (208) Na ikiwa mkateleza baada ya kukufikieni hoja zilizo wazi, basi jueni kuwa Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na Mwenye hikima (209)} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara].


Ama kua nyinyi hamujuwi onyo ni la waumini kwa Allah na Mtume Wake pindi mukateleza baada kutumilizwa Al'Imam Al'Mahdi kwenu ili atatuwe khitilafu zenu basi mukatae ispokua kuendeleza vita baina yenu na mukakakata kuingia kwenye uwislamu kikamilifu baina yenu basi Amwahidi Allah Atalipiza kwa aduwi Wake na Atawaadhibu nyinyi adhabu chungu na Atamdhihirisha Khalifa Wake ju yenu kwa aya ya adhabu kutoka kwake Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا ادْخُلُوا فِي السِّلْمِ كَافَّةً وَلَا تَتَّبِعُوا خُطُوَاتِ الشَّيْطَانِ ۚ إِنَّهُ لَكُمْ عَدُوٌّ مُّبِينٌ ﴿٢٠٨﴾ فَإِن زَلَلْتُم مِّن بَعْدِ مَا جَاءَتْكُمُ الْبَيِّنَاتُ فَاعْلَمُوا أَنَّ اللَّـهَ عَزِيزٌ حَكِيمٌ ﴿٢٠٩﴾} صدق الله العظيم
{ Enyi mlio amini! Ingieni katika Uislamu kwa ukamilifu, wala msifuate nyayo za She'tani; hakika yeye kwenu ni adui aliye wazi (208) Na ikiwa mkateleza baada ya kukufikieni hoja zilizo wazi, basi jueni kuwa Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na Mwenye hikima (209)} Sadaqa Allah Al3adhim ?
Ama mwadhani kua haya maelezo inawahusu kaumu wale ambao alimtumiluza kwao Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam? Lakini mwajua kua Allah Amemtumiliza khatimu wa Manabi na Mitume kw


a Al'Quran Al3adhim kwa kaumu makafiri wanabudu masanamu lakini hi aya mazungumzo yake ni kazi ya Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani katika zama za mwisho Anamtumiliza Allah kwa kaumu waumini kwa Allah na Mtume Wake na kwa Al'Quran Al3adhim ndio awalinganie waumini waingie kwa uwislamu kikamilifu baada ya kukhitilifiana kwao, Na je hi Aya anawazungumzia makafiri kwa Allah na Mtume Wake na Al'Quran Al3adhim Ama Anawazungumzia Allah nayo kwenye ilimu ya ghaibu kwa kaumu waumini kwa Allah na Mtume Wake na Al'Quran Al3adhim? Ndio awalinganie Al'Imam Al'Mahdi ambae Amemtumiliza Allah na wao wako kweny kina cha khitilafu zao ndio awalinganie waingie kwenye uwislamu kikamilifu na awatahadharishe wasifwate nyao za shetani Tramp ambae anadai kua anachunga amaini baina ya waislamu, Na wao wajua kwa yakini kua yeye ni aduwi wao baini wazi hana vumbi ju yake na anaenda mbio ili itimu kusmaisha taifa la kizayuni kuu, Na wataanza kutimiza sasa baada kuwadhufisha warabu kwa fitna ya kuwana baadhi yao ju ya baadhi, Na yuwataka kuwaingiza vita wapigane na iran sasa ili awashughulishe na vita va iran na wakati huo ataanza kuipanua uzayuni, Basi awachukuwe ma falastina awauwe kuwauwa na abomoe manyumbs zao kubomoa kisha achukuwe ilio baki katika ardhi ya falastin na kuwa na kufukuza walio balia katika raia wa falastin, Na wailipuwe msikiti wa alaqsaa kuilipoa, kama kwamba mimi naona kuba la msikiti wa alaqsa lapeperuka kwa mlipuko mkuu basi iynguke baharini ama mtoni.


Na enyi ma3ashara ya ma falastina ambao mujahidina pindi Akiwanusuru Allah ju ya jeshi la kizayuni basi wakarudi kwa kuvunijika ama kwa mbinu basi musisubutu kisha musisubutu kuswali swala ya ushindi katika msikiti wa alaqsa wala karibu nao kwakua mbinu yao kwa kuweka milipuko ya mabomo chini ya msikiti wa alaqsa kuanzia muda mrefu ulio pita - Na hivo ni pindi mukapata ushindi ju yao - Basi wao wajua kua nyinyi mutalekea kuswali swala ya ushindi kwenye msikiti wa alaqsa kisha wailipuwe kwa ma denamiti ya milipuko chini yake kulipua basi iwafanye miyili yenu pande pande wote walio swali ndani yake swala ya ushindi baada ya kurudi kwa kuvunjika kwao ama kurudi nyuma kwao kwa mbinu basi chungeni mpaka mutowe ma tani ya milipuko chini ya msikiti wa alaqsa ili isigeuke ushindi - ikiwa Allah Atawanusuru - ikageuka kushindwa, Basi musikhalifu amri.


Na bado nazali nawalingania mataifa yote ya waislamu wanao uwana kuingia katika uwislamu kwa yale baina yao ili kupambana na aduwi wa Allah na aduwi wao wote ili kufelisha mipango la kutimu kusmamisha taifa la kizayuni kuu ambalo ndio ndoto zao, Na imekurubia muhla wa shetani Donald Tramp kumalizika na hawana tena kwao fursa na nyinyi mwajua, Na ishakua mipango yao iko wazi kwa wote wenye akili, Na hawatakumbuka ispokua wenye akili. Allahuma nimebalighisha, Allahuma Shuhudia.


Na itimu kuteremshwa Bayana hi katika sehemu zilio hususishwa kwetu kwa ma mufti wa taifa za kislamu na hivo hivo kuitangaza kwa ulimwengu, Na mwisho ni kwa wacha'Mungu, Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin.


Mja Wa Allah Na Khalifa Wake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
عبد الله وخليفته الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني .
_________