النتائج 1 إلى 1 من 1

الموضوع: Hakika Jua Litafikilia Mwezi Pakuba Na Pakubwa Sana Kwenye Mwandamo Wa Ramadhani Ya Mwaka Wenu Huu 1439 Kusadikisha Sharti Katika Masharti Makuu Ya Saa Na Alama Ya Kusadikisha Al'Mahdi

هذا أحد المواقع الثانوية الخاصة بتبليغ دعوة الإمام المهدي المنتظر ناصر محمد اليماني والتي لا تتضمن أية أقسام خاصة ولا رسائل ولا عضويات وبالتالي لا يمكن المشاركة فيها ولا استرجاع الحسابات المفقودة عبرها، يوجد هنا فقط موسوعة البيانات مع الترجمة لبعضها إلى مختلف اللغات، ولا يتواجد الإمام المهدي إلا في الموقع الرسمي الوحيد منتديات البشرى الإسلامية والنبإ العظيم، وهناك يمكنكم التسجيل والمشاركة والمراسلة الخاصة وأهلاً وسهلاً بكم.

مصدر الموضوع
 1. Hakika Jua Litafikilia Mwezi Pakuba Na Pakubwa Sana Kwenye Mwandamo Wa Ramadhani Ya Mwaka Wenu Huu 1439 Kusadikisha Sharti Katika Masharti Makuu Ya Saa Na Alama Ya Kusadikisha Al'Mahdi

  مصدر المشاركة

  Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
  الإمام ناصر محمد اليماني
  20 - شعبان - 1439 هـ
  06 - 05 - 2018 مـ
  09:20 صباحاً
  ( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )

  [ لمتابعة رابط المشاركـة الأصليّة للبيان ]
  https://mahdi-alumma.com/showthread.php?t=34769
  ــــــــــــــــــــــــ
  سوف تدرك الشمس القمر أكبر وأكبر في هلال رمضان لعامكم هذا 1439 تصديق شرطٍ من أشراط الساعة الكُبر وآية التصديق للمهديّ المنتظَر ناصر محمد اليماني ..
  Hakika Jua Litafikilia Mwezi Pakuba Na Pakubwa Sana Kwenye Mwandamo Wa Ramadhani Ya Mwaka Wenu Huu 1439 Kusadikisha Sharti Katika Masharti Makuu Ya Saa Na Alama Ya Kusadikisha Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani

  Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Yule Ambae Ameteremsha Al'Quran Al3adhim Juu Ya Alio Khitimisha Ma Nabi Na Mitume Wa Allah Wote Kabla Yake Na Ju Ya Walio Wafwata Kwa Ihsan Mpaka Siku Ya Mwisho, Ama Baada Ya Hapo..

  Enyi ma3ashara ya wanadamu, Hakika Ametuma Allah kwenu Ujumbe wake ulio timia na ulio tosheleza na uliokusanya Vitabu vote va Mitume kwa Majini na watu hio kwenu ni Kitabu Cha Allah Al'Quran Al3adhim ambyo baina ya mikono yenu kabla ya Miyaka Alfu na mia inne na arbaini; Kitabu Kimebarikiwa Kutoka Kwa Mola Mlezi Wa Ulimwengu Kilio'hifadhiwa kuto'badilishwa, Haiji batele mbeleyake ili ibadilishe maherufu katika zama za kuteremka kwake juu ya Aliokhitimisha Mitume Wa Allah Muhammad mja Wa Allah Na Mtume Wake Kwa Al'Quran Al3adhim kwa watu wote, Wala haiji batili kuibadilisha Maherufu Nyuma yake mpaka siku ya dini, Na akaifanya Allah ni kitabu kiliokusanya Vitabu vote aya zake ziko wazi maana yake muhakamat alafu zikafafanuliwa Na Yeye Mwenyewe Mjuzi Mwenye Hikma kwa Ma Aya baini ziko wazi hazikufuru nazo ila mafsiki madhalimu. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
  {وَلَنُذِيقَنَّهُم مِّنَ الْعَذَابِ الْأَدْنَىٰ دُونَ الْعَذَابِ الْأَكْبَرِ لَعَلَّهُمْ يَرْجِعُونَ﴿٢١﴾ وَمَنْ أَظْلَمُ مِمَّن ذُكِّرَ بِآيَاتِ رَبِّهِ ثُمَّ أَعْرَضَ عَنْهَا ۚ إِنَّا مِنَ الْمُجْرِمِينَ مُنتَقِمُونَ ﴿٢٢﴾} صدق الله العظيم [السجدة].
  Allah Ta3ala Asema:
  {Na tutawaonjesha kutokana na adhabu ndogo mbali na adhabu kuu huwenda wakarudi (21) Na nani mhalifu kuliko yule ambae anakumbushwa kwa aya za Mola Mlezi wake alafu akzikanusha hakika Sisi kwa wahalifu Tutalipiza kisasi (22)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alsajida].

  Basi hakika hakuna tena Nabi Mpya wala kitabu kingine kipya baada ya kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim, Wala hakumtumiliza
  Allah Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani ispokua ni "Nasseran" Mnusura kwa yale alio'kuja nayo kwenu Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Na namsalimia Salamu, Eeee hakika kwamb Mimi ni Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Basi nisadikini na lana ya Allah juu ya Nasser Muhammad Al'Yamani ikiwa ni katika warongo ama lana ya Allah juu ya yule amemkadhibu Khalifa Wa Allah Al'Mahdi, Basi sikizeni na muelewe na mutie akili yale ntakao kuyasema kwenu kwa haki basi yule atakae kuni'kadhibu basi amekdhibu kauli Ya Allah Mola Mlezi Wa Ulimwengu, Na atakae kata kunifwata basi amemkata kumfwata Muhammad Mtume Wa Allah kwa Al'Quran Al3adhim ambao ameifanya Allah ni panga kutokana na Nuru katika Moyo na ulimi wa Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani, Na amenifanya "Al'insan" Mtu Ambae Amemfundisha Allah Bayana iliokusanya kamili Al'Quran Al3adhim kwa Wa7hyu wa Kufahamishwa Kutoka Kwa Mola Mlezi moja kwa moja mpaka moyoni; Lau watakusanyika wote waja wa Allah katika ufalme wote moja moja ili wamjadili Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani kutoka kwa Al'Quran Al3adhim hawangeweza wamzidi juu yake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani hata japo kua katika mas'ala moja pekeyake hata wange'kua wasaidiana badhi yao juu ya badhi na kuinuana mngongo.

  Na mpaka sasa anazali Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani yeye ndio anae'wazidi juu ya wote wanazuoni wa waislamu na ma nasara na mayahudi kwakua mimi Al'Imam Al'Mahdi ndio "Swahib Ilmulkitab" Mwenye ilimu ya kitabu chote Al'Quran Al3adhim basi hamutoweza kunishinda kitu kwa idhini ya Allah sio katika mas'ala ya kidini ki fiqhi wala katika mas'ala ya hisabu ilio tajwa katika muhakam ilio wazi maana yake kwenye Kitabu kulingana na mizunguko ya ma sayari jua na mwezi na ardhi, Wala sina mimi kauli kwa dhana ambao haisaidi mbele ya haki kitu kama munayo yasema juu Ya Allah yale musio'yajua kwamba ni haki, Fa'Wallahi hamujuwe kile kinacho kusudiwa kutokana Kauli Ya Allah Ta3ala:
  {إِنَّا أَنزَلْنَاهُ فِي لَيْلَةِ الْقَدْرِ ﴿١﴾ وَمَا أَدْرَاكَ مَا لَيْلَةُ الْقَدْرِ ﴿٢﴾ لَيْلَةُ الْقَدْرِ خَيْرٌ مِّنْ أَلْفِ شَهْرٍ ﴿٣﴾} صدق الله العظيم [القدر].
  Allah Ta3ala Asema:
  {Hakika Sisi Tumeiteremsha kwenye usiku wa kadara (1) Na nini kitakacho kujulishe nini hio usiku wa kadara (2)Usiku wa kadara ni bora kuliko miyezi alfu (3)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alqadr].

  Lakini mimi Al'Imam Al'Mahdi Najua Hisabu kwenye kitabu kwa usawa kabisa inakata kosa hata kwa nukta moja, Eeee Wallahi lau atakosea Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani kwenye nukta moja basi ingeharibika yote idadi ya miyaka na hisabu kwenye ma Bayana za Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani; Kwahivo angekua Nasser Muhammad Al'Yamani anasema juu ya Allah yale asoyajuwa, Lakini mimi Al'Imam Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Mwenye ilimu ya kitabu chote na najilinda kwa Allah niwe katika majahili wale wanao'sema juu ya Allah katika kubaini aya zake yale hawayajuwi na wanaona kwamba wao wameongoka, Ala'Wallah lau sichelei kwa ma ansari wangu fitna nigeweka kwa wakuu wa wanazuoni amabo ni waoga ma jabani nigewawekea ma mia ya mitego huwenda wakashindana kukimbilia kuja kwa tuvoti yangu ili kusajili ndani yake kwa jina la mwanachuoni mkuu tena kwa majina yake yote ma'inne na picha yake ya kweli kudhani kwake kwamba hakika ame'anguka Nasser Muhammad Al'Yamani kwenye mas'ala fulani basi adhani kwamba atasmamisha hoja juu ya Nasser Muhammad Al'Yamani, Mpaka atakapo kuja amjadili Nasser Muhammad Al'Yamani kwa jina lake la kweli na picha yake ya kweli mara yeye anakuta Nasser Muhammad Al'Yamani anayo ilimu ya Bayana ya kweli ya Al'Quran yale ambao haikua katika hisabu zake, Alafu anamfanya Al'Imam Al'Mahdi katika hiyari mbili haina ya tatu yake ama afwate kitabu Cha Allah Al'Quran Al3adhim na asadiki Maneno Ya Allah katika muhakam ilio wazi kitabu chake, Ama hivo hivo ibainike kwake kwamba ni haki basi imchukuwe utukufu kwa dhambi ndio Amlani Allah kama vile aliwalani kila shetani rajim katika wale wanao zuwia ma aya za Allah bada kuzifahamu, Hwo wamechukia yale Alio'yateremsha Allah na wakachukia Radhi Zake Akaziangusha Matendo yao, Basi wakitubia Atawatubia Allah juu yao baada kulaniwa ndio watapata Allah ni Mwenye Kughufuru Mrahimu kwa yule atakae kutubu na kutaka kwake ili Amhidishe Moyo wake, Basi hakika watapata kwamba Rahma Za Allah kweli Zimetosheleza kila kitu na kwamba kweli Yeye ni Mwenye Kusamehe Mrahimu.
  Na ikiwa watabaki kujizatiti na kiburi chao basi nawabashiri kwa adhabu ambao ni chungu katika usiku wa kadara baada kumalizika miyezi minane katika mwezi wa safar kwa mwaka (Fulani), Basi sitaki kuhadid siku ya adhabu hata kama naijua siku hio kwakua wale ambao hawati akili hatimai watasema:" Hakika ya miadi hayo ni karibu basi tutangalia amekua mkweli Nasser Muhammad Al'Yamani ndio itabainika kwetu kwamba yeye ndio Al'Mahdi Al'Muntadhar pindi Akituadhibu Allah Adhabu Chungu, Ama hatotuadhibu Allah ndio itabainika kwetu kwamba Nasser Muhammad Al'Yamani ni mrongo ikiwa hakutupa adhabu kutoka kwake".

  Na alfu anarudisha jibu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani juu ya Ma Dawab ambo ni Mazuzu Na niseme: Na jee nisiwajulishe kwa kauli bora kwenu kuliko shari ya adhabu? Nayo ni museme: Allahuma ikiwa hi ndio haki kutoka kwako basi sisi tuko kwenye dhima yako twataraji Rahma yako kwamba utughufurie na uturehemu na ujalie katika nyoyo zetu Nuru ili utuoneshe kwamba hi ni haki, Allahuma ikiwa Nasser Muhammad Al'Yamani yeye kweli ni Al'Imam Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad basi Allahu usifanye bayana zake upofu katika nyoyo zetu kwa Rahma Yako Ewe Mwenye Huruma Kuliko Wenye Huruma Wote, Allahuma ikiwa Nasser Muhammad Al'Yamani yeye ndio Al'Mahdi Al'Muntadhar Khalifa Wa Allah katika Ardhi basi hakika umenineemesha ju yangu pindi umenijalia katika umma wake kwenye zama za kutumilizwa kwake.

  Na baada kutaka kwa dua kwa Mola Mlezi Al'Ghafur Al'Rahim alafu angalie katika Bayana yoyote ndio mara yeye anahisi uhai unatembea katika roho yake ambao ilikua maiti basi isusumuke ngozi yake alafu inalainika moyo wake kwa ukumbusho wa Allah, Alafu Anamhimidi Allah kwamba amemokoa na adhabu ya siku ya moshi na akamongoza katika njia ilio nyoka, Basi hivo si ni bora kwenu kuliko kwamba mucheleweshe kusadiki kwenu kwa Bayana ya kweli kutoka Kwa Mola Mlezi Wenu mpaka muone Adhabu ambae ni chungu?

  Na ni hoja adhimu kiasi gani haswa ju ya waislamu ma umiyin na ma nasara na ma yahudi na baadhi ya ma yahudi katika ma shetani watu, Kwakua mimi siwahoji watu kwa kitabu kipya; Bali kwa kitabu kiko mbele yao baina ya mikono yao kutoka kabla hajamtumiliza Allah Mja Wake na Khalifa Wake Nasser Muhammad Al'Yamani, Basi atakae kunikadhibu Hakika amekadhibu Maneno Ya Allah Katika muhakam ilio wazi kitabu Al'Quran Al3adhim.

  Na labda huwenda idadi katika ma Ansar walio Tangulia walio Bora kutaka kusema:" Ewe imamu wetu ewe mpendwa kwa moyo zetu, Sisi ma Ansar wako hakika huwenda tukaingia katika mitego yako ambao unaiweka katika baadhi ya ma Bayana zako ili waweze kusubutu kuzungumza na wewe kudhani kwao kwamba wao watasmamisha hoja juu yako, Lakini ukweli twakwambia wewe kwamba lau sio kua sisi twakumbuka katika nafsi zetu kwamba sisi hatutoridhika mpaka Aridhike Mola Mlezi wetu mpendwa zaidi kuliko kila kitu ndani ya nafsi zetu alafu Anatuthibitisha Allah, Na wengine wanabaki wamedangana katika ma'sala mengi kama mfano kwamba sisi wakati mwengine tunakupata unakataza kuhisabu miadi ya adhabu kwenye mwezi wa Ramadhani katika mwaka pamoja yakwamba wewe umesmamisha hoja kwa haki kwamba hisabu ina'anza kutoka mwandamo wa "safar" sufuri wa masufuri na inamalizikia kwa kumalizikia mwezi wa muharam mwezi wa inne katika miyezi ya alhurum na ni wa mwisho katika mwaka wa "Alqamaria" wa kimwezi, Na tatizo hapa ewe imamu wetu ni kwamba vipi tutazijumlisha baina ya hisabu ya mwaka wa ki mwezi na baina ya hisabu ya mwezi wa usiku wa kadara kwenye Ramadhani pamoja yakwamba mwezi wa Ramadhani hivo hivo ni mwezi wa 'Alqamaria' kimwezi?".

  Alfu anarudisha jibu Al'Imam Al'Mahdi kwa waulizaji wote kwa wote ma Ansar katika ulimwengu na nawambia wao wote: Juweni kujuwa kwa yakini kwamba Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani hasemi kitu fulani ispokua yeye anajua anacho sema, Na enyi wapendwa wangu kwa Allah hakika ya akili ni adhwi kwa yale asiokijua, Lakini wakati ikitimu kufafanuliwa jambo kwa akili kutoka kwa Maneno ya Allah basi haraka inalekea kunyenyekea akili kwa Maneno Ya Mola Mlezi wake na anasalimu kusalimu, Basi tahadharini muje muingie katika mitego nayo yaweka kwa wenye kiburi huwenda wakahudhuria kuja katika tuvoti yangu meza ya mazungumzo ya ulimwengu kwa sababu kudhani kwao kwamba wamepata pakuingilia kwa Al'Imam Al'Mahdi katika ma'sala fulani basi wamshinde kwa hio ma'sala ndio li'ishe jambo lake kwakua yeye Nasser Muhammad Al'Yamani tayari ametangulia kujihukumu nafsi yake kwamba hakuna wala hapana hatomjadili mwanachuoni yohote kutoka kwa Al'Quran ispokua atamshinda na ametangulia kujihukumu juu ya nafsi yake kwamba hata kama Ameshinda Nasser Muhammad kwa asili 999 kwa alfu ispokua wao wamemshinda kwa ma'sala moja pekeyake katika Al'Quran Al3adhim basi hakika yeye sio Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad.

  -"Hakika sisi twajua hikma yako katika mitego ni kwamba unataka wasubutu moja wao katika wanazuoni wa umma wakuu awe ataweka picha yake na jina lake la kweli basi ndio akujadili kwenye meza ya mazungumzo ya Al'Mahdi Al'Muntadhar ya ulimwengu katika zama za mazungumzo kabla ya kudhihiri na kumakinishwa, Lakini hisabu ya mwezi wa usiku wa kadara ni vigumu kuitabikisha kwa hisabu ya "Alqamari" ya kimwezi kwakua wewe unakataza kuhisabu siku ya adhabu ndani yake, Hivi si mwanzo wa hisabu ni kuanzia Safar mpaka mwisho wa muharam miyezi kumi na mbili alafu inaanza mwaka wa kimwezi kuanzia "Safar" Sufuri? Basi tuzidishe ilimu ewe ambae ni Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani ukitaka na usipotaka mpaka wakati mwengine basi hakuna haraj kwako ewe Mpendwa wa Allah na mpendwa wa moyo wetu, Basi hakika sisi tumekupa beyaa na tumekita kwenye beyaa mpaka siku ya dini kwa idhini ya Allah Mola Mlezi Wa Ulimwengu".

  Na alafu anarudisha jibu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Ju ya ma Ansar wake na nasema: Hakika ya Mwezi wa Usiku wa kadara inazunguka, Na lau ingekua sio ya kuzunguka mungepata Mwezi wa Ramadhani imekita katika majira ya joto kwa ma mia ya miyaka Lakini nyinyi munapata Mwezi wa Ramadhani inazunguka kupitia majira za sura zote katika kila thalathini, Basi myaka ya kufwatana inakuja kwenye majira ya joto, Na miyaka ya kufwatana inakuja katika majira ya kati, Na miyaka mingine inakuja kwenye baridi, Alafu inarudi tena kwenye majira ya joto na joto sana.

  Na labda anataka moja ya wakanushaji kusema:" Usizunguke zunguke na ujibu ju ya suali la iftiradhi nalo ni suali la ukweli katika nafsi za ma Ansar wako na watafiti wa haki na wanao'dangana na wakanushaji".

  Na alafu anarudisha jibu Al'Imam Al'Mahdi ju ya waulizaji na nasema: Amesema Allah Ta3ala:
  {وَيَسْتَعْجِلُونَكَ بِالْعَذَابِ وَلَن يُخْلِفَ اللَّـهُ وَعْدَهُ ۚ وَإِنَّ يَوْمًا عِندَ رَبِّكَ كَأَلْفِ سَنَةٍ مِّمَّا تَعُدُّونَ ﴿٤٧﴾ وَكَأَيِّن مِّن قَرْيَةٍ أَمْلَيْتُ لَهَا وَهِيَ ظَالِمَةٌ ثُمَّ أَخَذْتُهَا وَإِلَيَّ الْمَصِيرُ ﴿٤٨﴾ قُلْ يَا أَيُّهَا النَّاسُ إِنَّمَا أَنَا لَكُمْ نَذِيرٌ مُّبِينٌ ﴿٤٩﴾ فَالَّذِينَ آمَنُوا وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ لَهُم مَّغْفِرَةٌ وَرِزْقٌ كَرِيمٌ ﴿٥٠﴾ وَالَّذِينَ سَعَوْا فِي آيَاتِنَا مُعَاجِزِينَ أُولَـٰئِكَ أَصْحَابُ الْجَحِيمِ ﴿٥١﴾} صدق الله العظيم [الحج].
  Allah Ta3ala Asema:
  {Na wanakuhimiza ulete adhabu, lakini Mwenyezi Mungu hatakwenda kinyume na ahadi yake kabisa. Na hakika siku moja kwa Mola wako Mlezi ni kama miaka elfu mnavyo hisabu nyinyi (47) Na miji mingapi niliipa muda na hali ilikuwa imedhulumu, na kisha nikaitia mkononi? Na kwangu Mimi ndio marudio yote (48) Sema: Enyi watu! Hakika mimi ni mwonyaji kwenu niliye dhaahiri (49) Basi walio amini na wakatenda mema watapata maghfira na riziki za ukarimu (50) Na wanao jitahidi kuzipinga Aya zetu hao ndio watu wa Motoni (51)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alhajj].

  Basi hio kwenu hisabu ya Allah katika muhakam ilio wazi katika kitabu enyi ulil'albab wenye akili, Basi sidhani kwamba hi aya inahitaji kutafsiriwa kwa uwazi wake katila muhaka ilio wazi mana yake katika kitabu chake kwenye Kauli Ya Allah Ta3ala:
  {وَيَسْتَعْجِلُونَكَ بِالْعَذَابِ وَلَن يُخْلِفَ اللَّـهُ وَعْدَهُ ۚ وَإِنَّ يَوْمًا عِندَ رَبِّكَ كَأَلْفِ سَنَةٍ مِّمَّا تَعُدُّونَ ﴿٤٧﴾} صدق الله العظيم.
  Allah Ta3ala Asema:
  {Na wanakuhimiza ulete adhabu, lakini Mwenyezi Mungu hatakwenda kinyume na ahadi yake kabisa. Na hakika siku moja kwa Mola wako Mlezi ni kama miaka elfu mnavyo hisabu nyinyi (47)} Sadaqa Allah Al3adhim,

  Kwahivo enyi wapendwa wangu kwa Allah kwavile Allah Amewafundisha kwamba hakika ya siku moja pekeyake kama miyaka alfu munavo hisabu nyinyi kwahivo hatimai hapana shaka wala utetanishi inakua mwezi katika siku za Allah kwenye hisabu inakua sawa na miyaka alfu thalathini kwa vile munavo hisabu nyinyi, Na hivo hivo mwaka wa Allah katika hisabu kwenye kitabu hatimai hapana shaka wala utetanishi miyaka alfh mia tatu na sitini, Alafu turudi kwa hisabu ya saa moja pekeyake katika siku za Allah basi tutazihisabu kwa hisabu ya siku zetu sisi basi tutazipata sawa na miyaka arbaini na moja na miyezi minane, Kwa hivo hatimai hapana shaka wala utetanishi lau mutapiga miyaka arbaini na moja na miyezi minane kwa mara shirini na inne basi itatoka natija = Miyaka 1000 kwavile munavo hisabu kwa timamu na usawa kabisa hapana shaka wala utetanishi, Basi miyaka Arbaini na moja basi inamalizika mwisho wa muharam na ama miyezi minane ina'anzia Safar na inamalizikia katika mwezi wa usiku wa kadara mwezi wa Ramadhani ambao iliteremshwa Ndani yake Al'Quran, Na kiaysi gani nyinyi na ma nasara na mayahudi muko mbali ubali mno kwa hisabu ya kweli katika kitabu, Lakini hisabu ya miyezi na dahari haikubali khalal Faulty nukta moja kwakua nukta moja pekeyake inafanya khalal Faulty katika hisabu ya Allah kwajili ya hivo Hakubali Allah khalal Faulty nukta moja, Ukweli sisemi Juu ya Allah ispokua hakii,

  Na ala kuli hali basi bado nazali naziweka nyingi katika ilimu ya hisabu na fiqhi na mahisabu ya kifiziki ya kifalaki ya kiulimwengu na nawafundisha yale hamukuwa mukiyajuwa, Na kwa kila hali ile natakalo kumalizia kukhitimisha Bayana Yangu hi ni inwani ya hi Bayana kwamba litaenda kufikilia juwa mwezi katika mwandamo wa Ramadhani ya mwaka wenu hu 1439 Basi ndio izaliwe mwandamo usiku wa jumatatu baada kumalizika masa sita nae, Kwajili ya hivo mutapata mwezi wa mwezi wa Ramadhani inazaliwa kabla ya kusuf Eclipse ndio ikutane nae jua nae ni mwandamo, Alafu mutapata mwezi wa mwezi wa Ramadhani kutimu nusu wa mwezi inafika kukamilika kuwa kamili Albadr kwenye usiku wa jumatatu, Lakini kulingana na ilimu yangu kwa nidhamu ya kufikilia pakubwa Basi hamotona mwandamo wa mwezi wa Ramadhani baada kuzama jua sio usiku wa jumatatu baada kuzama juwa la jumapili wala usiku wa jumainne baada kuzama jua la jumatatu wala siku ya jumatano baada kuzama juwa la jumainne, Na pindi Akitaka Allah kwamba musione bada kuzama juwa la jumatano usiku wa Alhamisi ii iwe mwanzo wa kuanzia Ramadhani siku ya jumma basi sisi hatutaki tukhalifu amri ya Allah Subhanahu.
  {شَهْرُ رَمَضَانَ الَّذِي أُنزِلَ فِيهِ الْقُرْآنُ هُدًى لِّلنَّاسِ وَبَيِّنَاتٍ مِّنَ الْهُدَىٰ وَالْفُرْقَانِ ۚ فَمَن شَهِدَ مِنكُمُ الشَّهْرَ فَلْيَصُمْهُ ۖوَمَن كَانَ مَرِيضًا أَوْ عَلَىٰ سَفَرٍ فَعِدَّةٌ مِّنْ أَيَّامٍ أُخَرَ ۗ يُرِيدُ اللَّـهُ بِكُمُ الْيُسْرَ وَلَا يُرِيدُ بِكُمُ الْعُسْرَ وَلِتُكْمِلُوا الْعِدَّةَ وَلِتُكَبِّرُوا اللَّـهَ عَلَىٰ مَا هَدَاكُمْ وَلَعَلَّكُمْ تَشْكُرُونَ ﴿١٨٥﴾} صدق الله العظيم [البقرة].
  Allah Ta3ala Asema:
  {Mwezi wa Ramadhani ambao imeteremshwa humo Qur'ani kuwa ni uwongofu kwa watu, na hoja zilizo wazi za uwongofu na upambanuzi. Basi ataye kuwa mjini katika mwezi huu naafunge. Na mwenye kuwa mgonjwa au safarini, basi atimize hisabu katika siku nyengine. Mwenyezi Mungu anakutakieni yaliyo mepesi wala hakutakieni yaliyo mazito, na mtimize hiyo hisabu, na mumtukuze Mwenyezi Mungu kwa kuwa amekuongoeni ili mpate kushukuru (185)} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara].

  Na kadhalika hatutaki kwamba tukhalifu Amri Ya Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Amisema:
  [ لا تصوموا حتى تروا الهلال ولا تفطروا حتى تروه ].
  [ Musifunge mpaka muone Mwandamo na wala musifunguwe mpaka muwone ],

  Na hukmu ni ya Allah Pekeyake hashiriki katika hukmu yake yotote, Na Salam Ju ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabi Al3alamin, Allahuma Haika nimefikisha Allahuma Shuhudia, Na tosha kwa Allah kua Shahidi,,

  Khalifa wa Allah na Mja Wake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.

  خليفة الله وعبده الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
  ___________المواضيع المتشابهه

 1. مشاركات: 0
  آخر مشاركة: 18-07-2020, 03:05 PM
 2. مشاركات: 0
  آخر مشاركة: 25-04-2020, 12:14 AM
 3. مشاركات: 0
  آخر مشاركة: 16-09-2019, 09:58 AM
 4. مشاركات: 0
  آخر مشاركة: 18-03-2018, 12:03 PM

ضوابط المشاركة

 • لا تستطيع إضافة مواضيع جديدة
 • لا تستطيع الرد على المواضيع
 • لا تستطيع إرفاق ملفات
 • لا تستطيع تعديل مشاركاتك
 •