النتائج 1 إلى 1 من 1

الموضوع: Fatwa Ya Al’Imam Al’Mahdi Kuhusu Zaidi Wanaopatikana Kurepiwa katika wanawake

هذا أحد المواقع الثانوية الخاصة بتبليغ دعوة الإمام المهدي المنتظر ناصر محمد اليماني والتي لا تتضمن أية أقسام خاصة ولا رسائل ولا عضويات وبالتالي لا يمكن المشاركة فيها ولا استرجاع الحسابات المفقودة عبرها، يوجد هنا فقط موسوعة البيانات مع الترجمة لبعضها إلى مختلف اللغات، ولا يتواجد الإمام المهدي إلا في الموقع الرسمي الوحيد منتديات البشرى الإسلامية والنبإ العظيم، وهناك يمكنكم التسجيل والمشاركة والمراسلة الخاصة وأهلاً وسهلاً بكم.

مصدر الموضوع
 1. Fatwa Ya Al’Imam Al’Mahdi Kuhusu Zaidi Wanaopatikana Kurepiwa katika wanawake

  مصدر المشاركة

  Fatwa Ya Al’Imam Al’Mahdi Kuhusu Zaidi Wanaopatikana Kurepiwa katika wanawake

  - 11 -
  Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani
  الإمام ناصر محمد اليماني
  09 - 09 - 1431 هـ
  19 - 08 - 2010 مـ
  01:31 صباحاً
  ــــــــــــــــــــــ
  فتوى الإمام المهديّ عن أكثر النساء تعرضاً للإغتصاب ..
  Fatwa Ya Al’Imam Al’Mahdi Kuhusu Zaidi Wanaopatikana Kurepiwa katika wanawake

  Bismillah Al’Rahman Al’Rahim, Na Salam Juu Ya Mitume Na Al’Hamdulillah Rabil3alamin..
  Salam Za Allah Juu Yenu Wapendwa Wangu Ma Anssar Na Wapendwa Wangu Waislamu Wote, Na Hio Kwenu Fatwa Ya Al’Imam Al’Mahdi Kwa Waislamu Wote:

  Hakika ya wanawake wengi kupatikana na kurepiwa wao ni wano’jiachiloa wazi na wanao fwata ni wanao jifunga hijabu wenye macho, Na wenye macho ni wale wanao jifinika hijabu kamili ispokua macho yao, Na hata kama sio mzuri alafu akashifu macho yake yalio pakwa wanja na kidogo kutokana na uso wake basi hakika ya hijabu nyeusi inamfanya mwenye kuangalia kwenye macho yake na na inshi zake kama kwamba mwenye uzuri ulio kamilika, Na hata kama hakua mzuri na akakashifu macho yake basi hakika yeye anawaghuri wanao mwangalie yeye, Na kwajili ya hivo anatowa fatwa Al’Imam Al’Mahdi kuharamisha kwa haki kwamba anae jifunga hijab kuachilia macho yake wazi kwa wanao mwangalia, Na hayo imeharimisho kwake Bali yeye kwa kitendo hiko fitna yake ni kubwa hata kama si mzuri, Basi pindi ikidhiri kutokana na uso wake macho yake na inshi zake basi yeye anafurahisha wanao’mwangalia macho yake na wanamfikiria ni mzuri hata lau si mzuri, Na haswa wale wanao weka wanja kwa macho yao alafu anadhihirika kwa uzuri zaidi ndio anakua mwenye kupatikana na hatari.

  Kwahivo Suluhisho ni kutekeleza hijabu kamili mbele ya ma ajnabi kutekeleza amri ya Allah juu yao kutoka kwa Muhakam ilio wazi mana yake Kitabu Chake:

  {يُدْنِينَ عَلَيْهِنَّ مِن جَلَابِيبِهِنَّ ذَلِكَ أَدْنَى أَن يُعْرَفْنَ فَلَا يُؤْذَيْنَ} صدق الله العظيم [الأحزاب:59].
  Allah Ta3ala Asema: { wajiteremshie jilbabu zao. Hivyo ni karibu zaidi kuweza kutotambulikana wasiudhiwe } Sadaqa Allah Al3adhim [Al’ahzab:59].

  Allahuma nimebalighisha Allahuma Shuhudia, Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..

  Ndugu Yenu Al’imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.

  اللهم قد بلغت اللهم فاشهد، وسلامٌ على المُرسلين، والحمدُ لله ربّ العالمين..

  أخوكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
  ـــــــــــــــــــــ


  Amerudisha Jibu Al’Imam Al’Mahdi Kwa (Abuyazna) Kushusu Hijabu Ya Mwanamke Baina Ya Wakuruba Wake


  - 12 -
  [ لمتابعة رابط المشاركــة الأصلية للبيــــان ]
  Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani
  الإمام ناصر محمد اليماني
  03 - 09 - 1433 هـ
  22 - 07 - 2012 مـ
  07:27 صباحاً
  ـــــــــــــــــــــ
  ( ردّ الإمام المهدي إلى (أبو يزن) عن حجاب المرأة بين أقاربها )

  Amerudisha Jibu Al’Imam Al’Mahdi Kwa (Abuyazna) Kushusu Hijabu Ya Mwanamke Baina Ya
  Wakuruba Wake

  “ Kushiriki asili imeandikwa na Abuyazna
  Ndugu Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani Awahifdhi Allah, Mamkuzi mazuri Na baada ya hapo, Nataraji ukarimu wako kwa kulekeza nasaha na maoni kwa yale yatakao fwata: Niko Na Dada Ameolewa ameokoka na ako na watoto, Na Mimi nampenda na namhishimu sana na nasikiza nasaha zake daima, Katika hivi karibuni amekua moja katika ma Anssar wenu na sana anasoma na kutwali Bayana zenu na hivo hivo ani’ita niangalie na kusoma kwa upelelezi na umakinifu katika Bayana zenu, Mpaka hapa hakuna tatizo, Lakini tatizo amesoma Bayana Ya Swala Na Hijab, Na alafu akanza kujifinika hijab daima kwetu (Nduguyake) Na kwa watoto wake kwenye nyumba na wala havui hijab kabisa kiasi ya kua sasa hatumoni ispokua uso wake na vibapa va mkono, Na kadhalika yuwaswali swala zake zote raka mbili mbili kama mulivo ifafanua kwenye Bayana yenu ya Swala, Na Kila tukiongea nae kuhusu hayo asema yeye ana raha wala hataki kumsikia mtu, Naomba Nasaha Na Mwelekeo, Na Jazakum Allah Kher, Ndugu Yenu /Abu Yazna.

  Bismillah Al’Rahman Al’Rahim, Na Sala Na Salam Juu Ya Babu Yangu Muhammad Mtume Wa Allah Na Ahli Yake Walio Tahirika Na Wote Ma Anssar Wa Allah Katika Wa Mwanzo Na Wa Mwisho Na Katika Anga Ya Juu Mpaka Siku Ya Dini, Al’Salam Juu Yetu Na Juu Ya Waja Wa Allah Wema, Na Salam Juu Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabil3alamin Na Ewe Mpendwa Wangu Kwa Allah Abu Yazna Ahlan wa Sahlan Na Marhaba kwako kwenye Meza Ya Mazungumzo Ya Ulimwengu ambao ni Huru kwa Kila Mulizaji Na Watafiti Wa Haki Kwenye Ulimwengu, Na Ewe Mpendwa Wangu Kwa Allah Hakika Mimi Nakuona Umepokea Kuifahamu Bayana ya Haki Na Umetia Akilini Na Umeifahamu Na Umejua Kwamba Jilbab Sio Nguo Mbali Na Nguo Kwa Kua Nguo Ni Ile Inao Stiri Kuona Uchi Wa Mwili Wa Mwanamke Moja Kwa Moja iwe sawa Ni Nguo Za Harusi Ama Nguo Yoyote Mzuri Anaiva Mwanamke Mbele Ya Wakuruba Wake Na Anajidhihiri Na Mapambo Yake Kuva Akitaka Basi Aweke Taji Lake Kwa Kichwa Na Ateremshe Cheni zake Kwa Shingo Yake Na Kifua Chake Na Anaweka Ukanda Wake Kwenye Kiuno Chake Na Anaweka Pete Zake Na Pambo Ya Kuva Kwa Bapa Ya Mkono Basi Atadhihiri Kwa Pambo Lake Kamili Mbele Ya Wakuruba Wake Na Mumewake.

  Ispokua Mumewake Anawazidi wakuruba kwamba Yeye ni halali kwa mwanamke avuwe nguo zake ambazo zinazo mstiri uchi wake pindi anapo taka basi yeye ni vazi kwake, Na hivo ni peke kwa mumewake kwamba amwangalie mwili wake bila ya nguo, Pekeyake pasi na wakuruba wake wote na imeharamishwa juu yake kuva nguo ambazo shfafu yaonesha mwili wake ndani na kuonesha mwili wake kwa nyuma mbele ya wakuruba wake.

  Na ewe burudisho la jicho langu Abu Yazna, Mfikishie Dadako kutoka kwa Al’Imam Al’Mahdi Salam Na Aridhike Allah Juu Yake Na Amridhishe Na Hatuku’mwamuru Kwamba avae jilbab mbele ya mahram zake ispokua avae nguo ambayo inastiri uchi wa mwili, Na Akusia Al’Imam Al’Mahdi Kwa Dadako Kheri Hakika Ndani Yake Dadako Ana Kheri Kwako, Na Huyo hapo amekua sababu kuhudhuria kwako kwetu huwenda Allah Akakuonesha Kwa Bayana ya Haki ya ukumbusho na akujalie ni katika ma Anssar Wa Al’Mahdi Al’Muntadhar Katika Zama za mazungumzo kabla ya kudhihiri kaumu Anawapenda Allah Na Wanampenda, Basi ni kiasi gani kadara yao ni kuu mbele ya Mfalme alio na uwezo kwakua wao wamemqadiria Mola Mlezi Wao Haki Ya Kumkadiria basi wakafanya Radhi za Allah ndio malengo na ni kwajili ya hivo aliwaumba basi hawa’toridhika Mpaka Aridhike, Hao wamejua uhakika wa jina la Allah Kuu; Hakika ni Sifa ya Radhi Za Allah Juu Ya Waja Wake.

  Na Labda anataka mpendwa wangu kwa Allah Abu Yazna kutaka kusema: ” Ewe Nasser Muhammad lakini nini hio hakika ya jina La Allah Kuu? Jee Nalo Ni Jina Kuu Kuliko Majina Yake Mengine?”. Na Alafu Anarudisha Jibu Kwake Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Na Nasema: Ewe Mpendwa Wangu Kwa Allah Hakika Allah Ni Moja Pekeyake na Majina Yake haina tafauti baina ya jina na lingine. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

  {قُلِ ادْعُواْ اللّهَ أَوِ ادْعُواْ الرَّحْمَـنَ أَيّاً مَّا تَدْعُواْ فَلَهُ الأَسْمَاء الْحُسْنَى} صدق الله العظيم [الإسراء:110].

  Allah Ta3ala Asema:

  { Sema iteni Allah Ama Iteni Al’Rahman Yoyote mutakayo ita Basi Yeye Anao Majina Mazuri} Sadaqa Allah Al3adhim [Al’Israa:110].


  Ispokua linasifika Jina La Allah Kuu kwamba Ni Kuu Kwakua Allah Amelifanya Sifa Ya Radhi Zake Juu Ya Waja Wake, Basi hakika wao watalipata ni Neema Kuu Kuliko Neema Ya Pepo Yake. Kusadikisha Kwa Kauli Yake Allah Ta3ala:


  {وَعَدَ اللّهُ الْمُؤْمِنِينَ وَالْمُؤْمِنَاتِ جَنَّاتٍ تَجْرِي مِن تَحْتِهَا الأَنْهَارُ خَالِدِينَ فِيهَا وَمَسَاكِنَ طَيِّبَةً فِي جَنَّاتِ عَدْنٍ وَرِضْوَانٌ مِّنَ اللّهِ أَكْبَرُ ذَلِكَ هُوَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ (72)} صدق الله العظيم [التوبة].

  Allah Ta3ala Asema:

  {
  Mwenyezi Mungu amewaahidi Waumini wanaume na Waumini wanawake Bustani zipitazo mito kati yake, wadumu humo. Na makaazi mema katika Bustani za kudumu, na Radhi za Mwenyezi Mungu ndio kubwa kuliko yote. Huko ndiko kufuzu kukubwa (72)} Sadaqa Allah Al3adhim [Altawuba].

  Na Mujarad hapo ukiwa ni katika kaumu WANAO PENDWA NA ALLAH NA WANAMPENDA Basi utajua kwa yakini kwamba hakika Ya Radhi Za Allah Juu Ya Waja Wake Ndio Neema Kuu Kuliko Pepo Yake Na Wewe Bado Wazali uko Katika Maisha Ya Dunia Utapata Uhakika Wa Ridhwan Allah.


  Na Salam Juu Ya Mitume, Na Al’Hamdulullah Rabil3alamin..
  Nduguyako Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.

  وسلام ٌعلى المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
  أخوكم الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.

  ـــــــــــــــــــ


المواضيع المتشابهه

 1. مشاركات: 0
  آخر مشاركة: 01-03-2018, 05:29 PM
 2. مشاركات: 0
  آخر مشاركة: 13-02-2018, 08:11 PM
 3. Fatwa Ya Al’imam Al’Mahdi Kuhusu Mimba Ya Al’sidiqa Maryam
  بواسطة Admin في المنتدى Kiswahili
  مشاركات: 0
  آخر مشاركة: 04-02-2018, 10:55 PM

ضوابط المشاركة

 • لا تستطيع إضافة مواضيع جديدة
 • لا تستطيع الرد على المواضيع
 • لا تستطيع إرفاق ملفات
 • لا تستطيع تعديل مشاركاتك
 •