Fatwa ya haki kutoka kwa mwenye ilimu ya Kitabu kwa yale anayo yasema anae swali wakati anapo inuka kumaliza kuruku kwenye Swala


الفتوى الحقّ من صاحب علم الكتاب عمَّا يقوله المُصلّي عند الرفع من الركوع في الصلاة ..







[ لمتابعة رابط المشاركــة الأصلية للبيـــان ]



الإمام ناصر محمد اليماني

29 - 07 - 1435 هـ


28 - 05 - 2014 مـ

04:00 صباحاً


ــــــــــــــــــ


Fatwa ya haki kutoka kwa mwenye ilimu ya Kitabu kwa yale anayo yasema anae swali wakati anapo inuka kumaliza kuruku kwenye Swala





Bismillah Al’Rahman Al’Rahim, Na Swala na Salam juu ya wote ma Nabi wa Allah na Mitume wake kutoka wa kwanza wao mpaka wa mwisho wao Muhammad Mtume wa Allah, Enyi Mulio Amini waswalieni wote na muwa’Salimu tasliman, Ama Baada ya hapo


Na ewe unae uliza kwa yale anayo yasema anae swali wakati akinuka kumaliza kuruku; Basi anasema Allah Akbar, Alafu atasimama sawa sawa Aseme yale alio tuamuru Allah Tuseme:
{{{ وَقُلِ الْحَمْدُ لِلَّهِ الَّذِي لَمْ يَتَّخِذْ وَلَدًا وَلَمْ يَكُن لَّهُ شَرِيكٌ فِي الْمُلْكِ وَلَمْ يَكُن لَّهُ وَلِيٌّ مِّنَ الذُّلِّ ۖ وَكَبِّرْهُ تَكْبِيرًا }}} [الإسراء:111].




Allah Ta3ala Asema:{
Na sema: Alhamdulillah, Himdi zote ni za Mwenyezi Mungu ambaye hana mwana, wala hana mshirika katika ufalme, wala hana rafiki wa kumsaidia kwa sababu ya udhaifu wake. Na mtukuze kwa utukufu mkubwa }

Sadaqa Allah Al3adhim [Alisra:111].


Alafu atoa takbiri ateremke chini kusujudu, Na Salam Juu ya Mitume na Al’hamdulillah Rabil3alamin


Na tunachunguza tasbihi kautokana na Kauli ya Allah Ta3ala:


{قُلِ ادْعُوا اللَّـهَ أَوِ ادْعُوا الرَّ‌حْمَـٰنَ ۖ أَيًّا مَّا تَدْعُوا فَلَهُ الْأَسْمَاءُ الْحُسْنَىٰ ۚ وَلَا تَجْهَرْ‌ بِصَلَاتِكَ وَلَا تُخَافِتْ بِهَا وَابْتَغِ بَيْنَ ذَٰلِكَ سَبِيلًا ﴿١١٠﴾وَقُلِ الْحَمْدُ لِلَّـهِ الَّذِي لَمْ يَتَّخِذْ وَلَدًا وَلَمْ يَكُن لَّهُ شَرِ‌يكٌ فِي الْمُلْكِ وَلَمْ يَكُن لَّهُ وَلِيٌّ مِّنَ الذُّلِّ ۖ وَكَبِّرْ‌هُ تَكْبِيرً‌ا﴿١١١﴾} صدق الله العظيم [الإسراء].

Allah Ta3ala Asema: { Sema: Mwombeni Allah (Mwenyezi Mungu), au mwombeni Rahman (Mwingi wa Rehema), kwa jina lolote mnalo mwita. Kwani Yeye ana majina mazuri mazuri. Wala usitangaze Sala yako kwa sauti kubwa, wala usiifiche kwa sauti ndogo, bali shika njia ya kati na kati ya hizo (110) Na sema: Alhamdulillah, Himdi zote ni za Mwenyezi Mungu ambaye hana mwana, wala hana mshirika katika ufalme, wala hana rafiki wa kumsaidia kwa sababu ya udhaifu wake. Na mtukuze kwa utukufu mkubwa (111) }
Sadaqa Allah Al3adhim [Alisra].



Ndugu Yenu: Al’imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.


أخوكم؛ الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
_________________







Mulahadha Muhimu Sana


[ لمتابعة رابط المشاركـــــــــة الأصلية للبيـــــــــــان ]



الإمام ناصر محمد اليماني


01 - 08 - 1435 هـ
30 - 05 - 2014 مـ
04:17 صباحاً
ــــــــــــــــــ



Mulahadha Muhimu Sana



Lakini haijatimu kufutwa

(سمع الله لمن حمده) ( Samia Allahu liman hamidahu ) kwakua ni hususi kwa imamu anae swalisha; Anasema wakati anapo inuka kumaliza kuruku: Samia Allahu liman hamidahu, Ama wanao swali nyuma ya imam basi wanasema:
{الْحَمْدُ لِلَّـهِ الَّذِي لَمْ يَتَّخِذْ وَلَدًا وَلَمْ يَكُن لَّهُ شَرِ‌يكٌ فِي الْمُلْكِ وَلَمْ يَكُن لَّهُ وَلِيٌّ مِّنَ الذُّلِّ وَكَبِّرْ‌هُ تَكْبِيرً‌ا} [الإسراء:111]
Allah Ta3ala Asema:
{
Na sema: Alhamdulillah, Himdi zote ni za Mwenyezi Mungu ambaye hana mwana, wala hana mshirika katika ufalme, wala hana rafiki wa kumsaidia kwa sababu ya udhaifu wake. Na mtukuze kwa utukufu mkubwa }

Sadaqa Allah Al3adhim [Alisra:111],
Na anasema hivo baada ya takbira ya kuinuka kusmama sawa sawa bada kumaliza kuruku.
Na hivo hivo imamu anasema anapo inuka kusmama kutoka kumaliza kuruku:
{الْحَمْدُ لِلَّـهِ الَّذِي لَمْ يَتَّخِذْ وَلَدًا وَلَمْ يَكُن لَّهُ شَرِ‌يكٌ فِي الْمُلْكِ وَلَمْ يَكُن لَّهُ وَلِيٌّ مِّنَ الذُّلِّ وَكَبِّرْ‌هُ تَكْبِيرً‌ا}
{
Na sema: Alhamdulillah, Himdi zote ni za Mwenyezi Mungu ambaye hana mwana, wala hana mshirika katika ufalme, wala hana rafiki wa kumsaidia kwa sababu ya udhaifu wake. Na mtukuze kwa utukufu mkubwa }, Alafu anatoa takbira alafu anateremka kusujudu.



Na kinacho semwa kwenye Swala ya Jamaa nyuma ya imamu yatakiwa iwe sauti baina ya kutoa na kuficha ispokua imamu yatakiwa sauti yake iwe iko juu ili kunabahisha kujulisha wanao Swali wakati wa kuruku na kuinuka na kusujudu; Na nakusudia iwe juu kiyasi ambacho wanaweza kuisikia wanao Swali Nyuma yake kwa takibira na Kusoma Al’Quran ispokua Al’Fati7ha ya kitabu basi imamu ataisoma baina ya kujihiri na kuficha, Ili waweze wanao Swali Nyuma Yake Kuisoma Fati7hatu Al’Kitab Baina Ya Kujihiri Na Kuificha.

Kusadikisha Hadithi Ya Muhammad Mtume Wa Allah Swala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam.

[لا صلاة لمن لم يقرأ فاتحة الكتاب] صدق عليه الصلاة والسلام.



[ Hamna Swala Kwa Yule Hakusoma Fati7hatul Kitab ]

Sadaqa Aleyhi Al’Salat Wa Al’Salam.





Na Lakini Yule Alio patiliza wanao Swali Wakati Wa Kuruku Na imempita Kusoma Fatihatul Kitab. Basi aruku na wanao ruku nafli kwa Mola Wake, Wala haihisabiwi hio Ruku Na kusujudu kwenye Swala ilio Faridhiwa; Bali akamilishe Swala yake baada kutoa salamu imamu basi asmame ili akamilishe kiliompita; Yani Akamilishe ile raka ambao iliompita ndani yake kuisoma Fatihatu Alkitab.



Na enyi wapendwa wangu kwa Allah hivi si nimisema kwamba yatakiwa kuakhirisha kufafanua Bayana ya Swala Zote ili mpaka wasilazimike ma Anssar wa Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani Wajijenge wao msikiti alafu watakua kundi jipya? Jee sikusema kwamba muswali kama wanavo swali ahlu’Sunna wal Jamaa? Mpaka wakati ikiwa uko pekeyako Basi hamna neno ju yenu kutekeleza yale tulio wafundisha, Lakini nashuhudia kwamba ujira ni mkubwa munapo Swali pamoja na jama kama wanavo Swali ili kuhifadhi umoja wa waislamu na ili isitimu kupatikane kudhihiri kundi jipa lingine katika wasilamu ili musiwe katika wale walio tenganisha dini yao kwa ujama, Na kila chama kwa walionayo wanafurahia, Basi kumbukeni kauli ya Allah Ta3ala:

{إِنَّ الَّذِينَ فَرَّقُوا دِينَهُمْ وَكَانُوا شِيَعاً لَسْتَ مِنْهُمْ فِي شَيْءٍ} صدق الله العظيم [الأنعام:159]
Allah Ta3ala Asema: { Hakika walio igawa Dini yao na wakawa makundi makundi, huna ukhusiano nao wowote } Sadaqa Allah Al3adhim [ Al’anaam:159],
Basi hapana budi kuhifadhi umoja wa safu yal waislamu.

Hivo hamujuwi kwamba Al’Imam Al’Mahdi Anafunga mikono pamoja na wale wanao funga kwenye Swala Zao Na Anawachilia mikono pamoja na wale wanao wachilia kwenye Swala Zao? Na nazidisha juu ya Raka zilio Faradhishwa, Na Anani’takabli Allah Swala Yangu, Na Anadika juu ya Raka zilio zidi ni nafli kwake, Na ananizidisha ujira mkubwa kuliko mimi nikiswali kama vile nilivo bainisha kwakua kuhifadhi umoja wa safu ya waislamu ndio ni muhimu kwa Allah ikiwa munajua, Vile kutengana inaleta kudhufisha kufeli waislamu na kuondoka nguvu yao alfu yaondoka duni ya kislamu yote, Basi Swalini pamoja na jamaa kama wanavo Swali wakati munapo kuwa kwenye Swala Ya Jamaa, Na kitu muhimu kabisa ni kwamba iwe hakuna Mchanga wa Al’Husein na kutokana na kumshirikisha Allah kwajili atakabali Allah Swala Zenu, Basi hapana budi muondoshe shirki kwa Allah na kutokana na Rii’aa na kuemeza bapa ya kichwa kwa kusudia kwa lengo isemekane ( Kwa wingi wa kusujudu )! Basi anamshirikisha Allah, Na Natowa Fatwa Kwa Haki na kwa haki nasema kwa idhini Ya Allah:

Hakika yule atakae kuemeza bapa la kichwa chake kwa kukusudia ili idhihirike alama ya Sujda kwajili aoneshe kwa ile alama basi hakika yeye anaingia kwenye upande wa shirki ilio fichika na yeye hajuwi kwamba amingia kwa shrki ya Riiaa ila yule ambae imetokezea alama kwa bapa ya uso wake bila kukusudia kutoka kwake basi Mola wao kwao ndio anae wajuwa na anatakabali Allah Swala zao.

Allahuma nimebalighisha Allahuma shuhudia.

Na Slam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu Yenu; Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.

وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..


أخوكم؛ الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
______________












Imamu Wangu Ambae ni Ghali nipe fatwa Jee kuna tafauti baina ya Adhana na Iqama?



إمامي الغالي أفتني هل هناك فرقٌ بين الأذان والإقامــــة ؟




- 43 -


الإمام ناصر محمد اليماني

17 - 10 - 1434 هــ


24 - 08 - 2013 مـ
04:37 صبــــاحاً
ـــــــــــــــــــــ


Imamu Wangu Ambae ni Ghali nipe fatwa Jee kuna tafauti baina ya Adhana na Iqama?





Bismillah Al’Rahman Al’Rahim, Na Sala Na Salam Juu Ya Wote Ma Nabi Wa Allah Na Mitume Wake Na Ahli Yao walio wazuri Na wote waislamu katika kila zama na Mahali mpaka siku ya dini..


Na ewe mpendwa wangu kwa Allah Alie uliza kuhusu tafauti baina ya adhana na iqama na unasema: Na nini Tafauti baina yao? Na alafu nakupa fatwa kwa haki:
Hakika mwito wa iqama kama mwito wa swala ispokua unaongeza ndani yake ( Qad qamat Al’swala .. Qad Qamat Al’swal) Kabla- Allahu Akbar Allahu Akbar La ilaha Ila Allah.



Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu Yenu Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.

وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
أخوكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
______________