( Jibu ju ya mkusanyiko ya maswali ju ya mwanachama Alkatib Alazraq)
Alaa Wallah enyi ma3ashara ya alsunna wa Aljamaa na ma shia Al’ithnaashar hatoamini porojo zenu mtu yoyote ana akili..

Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
10 - 12 - 1430 هـ
28 - 11 - 2009 مـ
ـــــــــــــــــــ
( Jibu ju ya mkusanyiko ya maswali ju ya mwanachama Alkatib Alazraq)
Alaa Wallah enyi ma3ashara ya alsunna wa Aljamaa na ma shia Al’ithnaashar hatoamini porojo zenu mtu yoyote ana akili



Alkatib Alazraq
11-12-2009, 07:52 PM
Asalam Alekom Wa Rahmatu Allah Wa Barakatuhu
Allahuma Swali Ala Muhammad Wa Al Muhammad Wa Ajil Farajahum Ama Baad....... nmejua hi muntada Na Bwana Nasser Muhammad Al’yamani kwa bahati pindi nilipo kua natafuta kuhusu na pindi nimeingia kwa hi mtandao nikaona makala kuhusu Sayari x nikashanga kuhusu mtu anadai kwamba yeye ndio Al’imam Al’mahdi (Aj) na ikaonekana kwamba yeye ni Nasser Muhammad Alyaman, lakini ikanipitika kwa wazo langu masuali ikiwa utaweza kujibu juu yake basi itaondoka shaka yangu juu ya shakhsia yako ambao unadai na hizi ndizo masuali:
1- Wapi Alizikwa Fatima Juu Yake Salam ((( Sema Pale Pahali Kwa Ufafanuzi)))?
2-Kwa Vile Unadai Kwamba Wewe Ni Al’Imam Al’Mahdi pindi kwamba Alimam almahdi ameishi miyaka mengi kuanzia alipo potea mpaka sasa kwa idhni ya Allah basi umri wako ni mingapi ewe bwana Nasser???
3- nini hio miujiza yako?
4- Na ni lipi jina la Allah kuu?
5- inavo julikana kwamba isa juu yake Asalam Atadhihiri kwa kudhihiri Alimam Almahdi kwa hivo mbona hajadhihirika isa juu yake Asalam?
Na Je Huyu ndie Dajal?
Copy

Bismillah Al’Rahman Al’Rahim, Na Swala Na Salam Juu Ya Muhammad Na Alihi Walio tahirika na walio fwata ukumbusho wa Allah kutokana na Watu wote.

Na enyi ma3ashara ya mashia alithneyiashar, hakika imetangulia fatwa yangu mara nyingi na kwa kurudia rudia kila mara kwamba mimi sio Almahdi Almuntadhar ambae wamemteua ma3ashara Ya Mashia Alithnaasharia kabla ya zaidi ya miyaka alfu kabla ya kadara yake ilio kadiriwa katika kitabu kilio andikwa, Wala Sio Al’mahdi Almuntadhar ambae wanadai ahlu alsunna na aljamaa kwamba wao ndio wamemteua katika kadara yake ilio kadiriwa baina ya watu, Fa Wallah Hakika Hatoamini Porojo zenu wenye akili na wenye fikra basi watatafakari na watasema:” Na Kitu gani kitawajulisha ma Shia Alithneyiashar kwamba Alimam Almahdi Ni Muhammad ibnu alhasan alaskari?”. Na Labda Anataka Kunikatiza Moja katika mashia alithnashariya kutaka kusema:” Hakika sisi tunaitakidi kwamba imamu anazaliwa yeye ni imamu, Na kwavile tunaitakidi kwamba Alhasan Alaskari yeye ni moja katika ma imamu wa ahlu albeyti kwa jili ya hivo tumejua kwamba amepata mtoto na akapotea ba’ada ya kufariki babake ndio tukamteua Yeye Al’mahdi Almuntadhar kwajili babake ni imamu, Basi hapana budi kwamba imamu Hazai ispokua imamu”.
Na Alafu Anarudisha jibu ju yenu Al’Mahdi Al’Muntadhar na nasema, Amesema Allah Ta3ala:
{وَإِذِ ابْتَلَىٰ إِبْرَاهِيمَ ربّه بِكَلِمَاتٍ فَأَتَمَّهُنَّ قَالَ إِنِّي جَاعِلُكَ لِلنَّاسِ إِمَامًا قَالَ وَمِنْ ذُرِّيَّتِي قَالَ لَا يَنَالُ عَهْدِي الظَّالِمِينَ} صدق الله العظيم [البقرة:124].
Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara:124]
Lakini Mutajuwaje kwamba kijana huyo jee atakua ni katika wenye ikhlas kwa Mola Mlezi wa Ulimwengu ama ni katika mushrikina wanaodhulumu nafsi zao?
Na Akasema Allah Ta3ala:


{وَالَّذِي أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ مِنَ الْكِتَابِ هُوَ الحقّ مُصَدِّقًا لِمَا بَيْنَ يَدَيْهِ إِنَّ اللَّهَ بِعِبَادِهِ لَخَبِيرٌ بَصِيرٌ ﴿31﴾ ثُمَّ أَوْرَثْنَا الْكِتَابَ الَّذِينَ اصْطَفَيْنَا مِنْ عِبَادِنَا فَمِنْهُمْ ظَالِمٌ لِنَفْسِهِ وَمِنْهُمْ مُقْتَصِدٌ وَمِنْهُمْ سَابِقٌ بِالْخَيْرَاتِ بِإِذْنِ اللَّهِ ذَٰلِكَ هُوَ الْفَضْلُ الْكَبِيرُ ﴿32﴾} صدق الله العظيم [فاطر]. Sadaqa Allah Al3adhim [Fatir 31-32].

Lakini Suali ambalo lajiweka lenyewe kwa Ma3shara ya ma shiaa Alithneyiashar Nalo ni: Na kitu gani kitawajulisha kuhusu huyo kijana Muhammad Alhasan Alaskari je atakua
1 - { فَمِنْهُمْ ظَالِمٌ لِنَفْسِهِ }
2 -{ وَمِنْهُمْ مُقْتَصِدٌ }
3 - { وَمِنْهُمْ سَابِقٌ بِالْخَيْرَاتِ بِإِذْنِ اللهِ ذَلِكَ هُوَ الْفَضْلُ الْكَبِيرُ } صدق الله العظيم؟
Na Jee Munajua Ghaib? Lakini hajuwi Kwa Ghaib ya waja wake ispokua Allah Alie waumba, Sema Leteni Ushuhuda Wenu Ikiwa nyinyi ni wa kweli?
Na hivo hivo lakini mutajuwaje kwa kadara ilio kadiriwa katika kitabu kilio andikwa kwa kutumilizwa Al’Mahdi Al’Muntadhar Khalifa Wa Allah Al’Wahid Al’Qahar?
Na hivo hivo ahlu alsunna wa aljamaa lakini watajuwaje kwa kadara ilio kadiriwa katika kitabu kilio andikwa kwa kutumilizwa Al’Mahdi Al’Muntadhar ndio wamteuwe baina ya watu wamwambie yeye ewe fulani hakika wewe ni Al’Mahdi Al’Muntadhar Ndio Wamlazimishe Kwa Beya Na Yeye hataki?

Ala Wallah Enyi Ma3ashara ya alilsunna waljamaa na Ma3shara ya ma shia Alithneyiashar, Hatosadiki Porojo zenu mtu yoyote ana akili anafikiria atasema:” Na watajuwaje hawa kaumu kwamba Allah Amemteua yule mtu Khalifa wake baina ya watu asipo mtumiliza Allah ndio abaini kwa watu kwa jambo lake kama alivo wabainishia wote ma Nabi Na Mitume wakawaeleza kwamba wao ni Mitume wa Allah kwao wakawahoji kwa kitabu Cha Allah kilio teremshwa ju yao? Na hivo hivo Al’Mahdi Al’Muntadhar Khalifa Wa Allah Al’Imam Al’Mahdi hawatoweza Watu kumtambua baina ya watu mpaka awambie wao: enye watu Mimi ni Al’Mahdi Al’Muntadhar Khalifa Wa Allah Ju Yenu Nawalika kwa Mazungumzo kupitia meza ya Mazungumzo ya ulimwengu na nyinyi muko katika nyumba zenu na baina familia zenu, na haitakiwi kitu kwa wanazuoni wenu na watowaji fatwa kwa miji yenu ispokua wafunguwe chombo cha Kompyuta wandikie neno la sach (موقع الإمام ناصر محمد اليماني) ( Tuvoti ya Al’imam Nasser Muhammad Al’Yamani) Watakua tayari wako kwetu katika Meza ya Mazungumzo ya ulimwengu katika zama za mazungumzo kabla ya kudhihirika na haitakiwi kwenu muniamini mimi ndio Al’Mahdi Al’Muntadhar wa kweli kutoka kwa Mola Mlezi Wenu mpaka mupate kwamba Allah amenizidisha juu yenu zaidi katika ilimu ndio niwachunguzie kwenu ma hukmu katika Al’Quran kwa yale mulikuwa muna khitilifiana ndani yake, wala sio kwa masala moja ama mbili bali kwa yote yale mulikua mukikhitilifiana ndani yake katika Dini yenu, Lakini mukinpata kwamba nawachunguzia kwenu hukmu zote kutoka kwa muhakam ilio wazi maana yake Kitabu Cha Allah basi tayari mumejua kwamba mimi ni katika (ulilamri minkum) wenye amri kati yenu kutoka alu albeyt ya Mtume walio tubu walio tahirika, Sharti Kwamba munipate najua kwa hukumu kwa yale mulikuwa munakhitilifiana ndani yake katika ma hadithi ya kinabawi ndio niwachunguzie hukmu kutoka kwa Muhakam mana yake iko wazi Kitabu Cha Allah Al’Quran Al3adhim na ambao katika hizo sio kutoka kwa Allah mutaona baina yake na baina ya muhakam mana yake iko wazi Kitabu Cha Allah Khitilafu Nyingi, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{مَنْ يُطِعِ الرَّسُولَ فَقَدْ أَطَاعَ اللَّهَ وَمَنْ تَوَلَّىٰ فَمَا أَرْسَلْنَاكَ عَلَيْهِمْ حَفِيظًا ﴿80﴾ وَيَقُولُونَ طَاعَةٌ فَإِذَا بَرَزُوا مِنْ عِنْدِكَ بَيَّتَ طَائِفَةٌ مِنْهُمْ غَيْرَ الَّذِي تَقُولُ وَاللَّهُ يَكْتُبُ مَا يُبَيِّتُونَ فَأَعْرِضْ عَنْهُمْ وَتَوَكَّلْ عَلَى اللَّهِ وَكَفَىٰ بِاللَّهِ وَكِيلًا ﴿81﴾ أَفَلَا يَتَدَبَّرُونَ الْقرآن وَلَوْ كَانَ مِنْ عِنْدِ غَيْرِ اللَّهِ لَوَجَدُوا فِيهِ اخْتِلَافًا كَثِيرًا ﴿82﴾ وَإِذَا جَاءَهُمْ أَمْرٌ مِنَ الْأَمْنِ أَوِ الْخَوْفِ أَذَاعُوا بِهِ وَلَوْ رَدُّوهُ إِلَى الرَّسُولِ وَإِلَىٰ أُولِي الْأَمْرِ مِنْهُمْ لَعَلِمَهُ الَّذِينَ يَسْتَنْبِطُونَهُ مِنْهُمْ وَلَوْلَا فَضْلُ اللَّهِ عَلَيْكُمْ وَرَحْمَتُهُ لَاتَّبَعْتُمُ الشَّيْطَانَ إِلَّا قَلِيلًا ﴿83﴾} صدق الله العظيم [النّساء].
[80-83Alnisaa].

Lakini angalieni fatwa ya Allah ya haki ambao amewafundisha vipi mutawatambua wenye amri ju yenu katika ma imamu alu albeyti na kati yao Al’Mahdi Al’Muntadhar mutapata Fatwa Ambao ni muhakam mana yake iko wazi katika kauli ya Allah Ta3ala:
{لَعَلِمَهُ الَّذِينَ يَسْتَنْبِطُونَهُ مِنْهُمْ} صدق الله العظيم
{wale wanao chunguza wangeli lijua} Sadaqa Allah Al3adhim, Yani angeijua hukmu ambao inakinaisha kwa “Ulil Albab” Wenye akili kati yenu ndio awalete kutoka kwa Muhakam ilio wazi mana yake Kitabu Cha Allah ndio atowe haki kwa hukumu ya Allah ya haki na abatilishe kwa hukmu ya Allah ma hadithi ambazo za kuwekwa katika Sunna alnabawia ndio abomowe batili kati yake zote, Na hivo ni kwa kutabikisha namus katika Kitabu ili kukashifu ma Hadithi zilio Shindiliwa kuwekwa nayo ni kwa kuhukumu kwa kitabu Cha Allah Kuitikia Mwito Wa Wenye Amri Kati Yenu, Alafu mutawapata wana’wachunguzia kwenu hukmu za Allah baina yenu kwa yale mulikua muna khitilifiana ndani yake kuhusu ma hadithi na ma riwaya alete inao khalifu nazo kutoka kwa Muhakam Mana yake iko wazi Kitabu cha Allah, Na vile mumepata baina yake na baina ya Muhakam ilio wazi mana yake Al’Quran khitilafu nyingi kwa hivo zile hadithi zimekuja zimekhalifu Hukmu ya Allah Katika Kitabu nazo ni kutoka kwa sio Allah yani ni kutoka kwa taghut kwa ulimi wa Marafiki wake katika mashetani binadamu wale ambao wanadhihirisha imani na wanaficha ukafiri, Na Wala Hatoweza Al’Mahdi Al’Muntadhar Awaongoze kwenye haki awabainishie kwenu haki na batili ndio ahukumu baina yenu kwa yale mulikuwa muna khitilifiana Mpaka Muitikie ulinganizi wa kuhukumiwa kwa Kitabu Cha Allah ili nihukumu baina yenu kwa yale muna khitilifiana ndani yake, Na juu ya hi Namus ndio imebuniwa ulinganizi wa Al’Mahdi Al’Muntadhar Ambae Analingania kufwata Ukubusho enye Ma3ashara Ya Mashia Alithneyi Ashar.

Na Ama Kuhusu Fatima Azahra- Juu yake Aswalat Wa Al’Salam- Lakini nini munataka kwa kaburi lake na inahusika nini kaburi lake na kuhidisha Binadamu Na Ulinganizi wa Al’Mahdi Al’Muntadhar ? Ama nyinyi muna wasia kutoka kwa Allah kwamba musimwamini atakae dai kwamba yeye ni Al’Mahdi Al’Muntadhar enyi ma3ashara ya mashia al’ithnaashar mpaka awaoneshe liko wapi kaburi la Fatima Azahra Na Khadija Alkubra? Hivi hamuti akili!

Na Ama Kuhusu Suali Lako la pili unaniuliza kuhusu umri wangu. Basi mimi mazazi yangu ni mwaka Wa 1389 Hijria.


Na Ama Kuhusu Suali Lako Ambalo wasema Ndani yake Nini hio miujiza yako)?
Na nasema kwako hakika miujiza ya Al’Mahdi Al’Muntadhar nayo ni abainishe kwenu Bayana ya Haki kwa Ukubusho ndio awafundishe yale ambao ilikuwa hamuyajuwi, na awabainishie ma siri ya Kitabu ambazo zimefichwa kwenu, Na hivo hivo miujiza yake kwamba nyinyi hamutomhoji katika Kitabu Cha Allah ispokuwa amewazidi ju yenu kwa ilimu na utawala kutoka kwa Muhaka ilio wazi mana yake Al’Quran Al3adhim Ndio niwachunguzie kwenu ma hukmu za haki kwa yote munao khitilifiana ndani yake ili nifanye safu yenu moja na nikusanye mgawanyiko wenu ma shia na ma sunni ndio niwafanye safu yenu moja mbele ya fitna ya almasi7h aldajal ikiwa nyinyi muna akili, wala haitakiwi juu ya Al’Mahdi Al’Muntadhar Wa Kweli kwamba Afwate Matamanio yenu enyi ma3ashara ya shia na ma alisunna waljamaa, Hivi hamumchi Allah?

Ama Kuhusu Suali lako la inne ambalo unasema ndani yake Lakini ni lipi jina la Allah kuu)?
Alafu nakurudishia jibu kwako kwa haki na nasema ndugu mkarimu hakika jina la Allah kuu sio kuu kuliko majina yake mingine Subhanahu wa Ta3ala 3uluwan Kabiran, Bali linasifika kua ni Kuu kwajili sifa ya Ridhwan Al’Rahman juu ya waja Wake, Na Mutaenda kupata Kwamba Neema ya Ridhwan ya Nafsi Ya Allah ni “Al’Na3im Al’A3dham” Neema Kuu Kuliko Neema Ya Pepo Yake, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
. {وَعَدَ اللَّهُ الْمُؤْمِنِينَ وَالْمُؤْمِنَاتِ جَنَّاتٍ تَجْرِي مِنْ تَحْتِهَا الْأَنْهَارُ خَالِدِينَ فِيهَا وَمَسَاكِنَ طَيِّبَةً فِي جَنَّاتِ عَدْنٍ وَرِضْوَانٌ مِنَ اللَّهِ أَكْبَرُ ذَٰلِكَ هُوَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ} صدق الله العظيم [التوبة:72].
[Altauba:72].

Eeee Hakika Iko Siri Ndani yake Ya Hikima ya Ku’Umbwa Kwenu Na Kuhusu Hio “Alna3im”Neema Mutenda Kulizwa. Kusadilisha Kauli Ya Allah Ta3ala:


{أَلْهَاكُمُ التَّكَاثُرُ ﴿1﴾ حَتَّىٰ زُرْتُمُ الْمَقَابِرَ ﴿2﴾ كَلَّا سَوْفَ تَعْلَمُونَ ﴿3﴾ ثُمَّ كَلَّا سَوْفَ تَعْلَمُونَ ﴿4﴾ كَلَّا لَوْ تَعْلَمُونَ عِلْمَ الْيَقِينِ ﴿5﴾ لَتَرَوُنَّ الْجَحِيمَ ﴿6﴾ ثُمَّ لَتَرَوُنَّهَا عَيْنَ الْيَقِينِ ﴿7﴾ ثُمَّ لَتُسْالنّ يَوْمَئِذٍ عَنِ النّعِيمِ ﴿8﴾} صدق الله العظيم [التكاثر]
Sadaqa Allah Al3adhim [Al’Takathur 1-8].

Kwajili hio Neema Iko Ndani Yake Siri Ya Hikima Ya Ku’umbwa kwenu, Na ikawashugulisha kutafuta uwingj Kwenye maisha ya dunia Mpaka imewafikia Mauti.

Na Ama Kuhusu Suali Lako La Tano Ambalo Unasema Ndani Yake Hakika Ya Al’Masi7h Isa Anadhihirika Kwa Kudhihirika Al’Mahdi), basi nakwambia wewe: Hakika Yeye Ni Mgeni Wetu Kwetu Mkarimu Katika Yemen, Na Bado Yuwazali yuko katika Tabut Asakina, Na Yeye Ndie “ AL’RAQIM” Nambari ilio ongezwa Pamoja Na Watu Wa”Alkahf” Watu Wa Pango, Na Liko Yemen Kwenye Mkoa Wa Damar Katika Kijiji Al’Aqmur Kwenye pango ambalo karibu na nyumba ya mwanamume anaitwa Muhammad Saad, Na Atamfufua Allah Katika Kadara Yake zilio kadiriwa Kwenye Kitabu kilio andikwa pamoja Na mawaziri Watatu waliokirimiwa, Na hivo ni kwajili wako ma Nabi Wa Inne Allah Amewafanya Ni Mawaziri wa Al’Mahdi Al’Muntadhar Wawili Kati Yao Ni Mitume Na Wawili Ni Manabi Nao Ni:
1-Mtume Wa Allah Al’Masi7h Isa ibnu Maryam Juu Yake Swala Na Al’Salam.
2-Mtume Wa Allah Ilyas Juu Yake Swala Na Al’Salam.
3-Nabi Wa Allah Idris Juu Yake Swala Na Al’Salam
4-Nabi Wa Allah Alyasi3 Juu Yake Swala Na Al’Salam
Na Hakika Sisi Ni Wakweli, Na Atawafufua Allah Kwa Kadara Yao ilio kadiriwa kwenye kitabu kilio andikwa, Lakini wao ni katika Ma Waziri Walio kirimiwa na nikatika walio ngazi za kwanza Na Miongoni Mwao Naibu Wa Al’Mahdi Al’Muntadhar Waziri Mtume Wa Allah Al’Masi7h Isa Ibnu Maryam Swala Allahu Alyihi Wa Alihi Wa Salam,

Na Ama Kuhusu Suali Lako Ambao Unasema Ndani Yake Na Je Huyu Ndio Al’Masi’7h Aldajal)?,
Na Unakisudia Picha Ilioko hapo, Na Nakwambia Wewe: Hakika Huyo Ni Mtu Amepatikana Na Upepo Asili Yake Kutoka Iraq Na Anampagawisha Shetani Kutokana Na upoepo Basi Ndii Amzungumzisha kwa sikio lake kwmaba aseme yeye ni Almahdi Almuntadhar, Na hivo ni kutokana na mbinu ya shetani mpaka pindi akimtumiloza Alalh Al’Mahdi Al’Muntadhar ili alinganie watu kufwata ukumbusho Al’Quran Al3adhim Basi haiwi Jibu La Waislamu Ispokuwa Watasema:” Alhamdulillah Aladhi Afana Mima Ibtala bihi Kathiran Min Ibadihi”. Yani kwamba wao Wanamona Mwandazimu, Kwajili sababu ya mbinu ya shetani wataenda kudhani kwmaba mfano wake ni kama mfano wa mwenye hi picha ambao umetuletea sisi kutoka iraq, Na Huyu mwanamume Maskini Ni mngonjwa kweli imempata upepo wa shetani Arajim, Lakini wale Ambao Hawatafautishi baina Ya Punda Na Ngamia dume hawawezi kutafautisha baina Al’Mahdi Al’Muntadhar wa Kweli Kutoka Mola Mlezi wao Ambae Amepewa Mkono Na Utawala WaIlimu Na Baina Ya Al’Mahdi Al’Muntadhar Mwandazimu Kutokana Na Mbinu za Mashetami wala hakumpa mkono kwa Ushuhuda Wa Bayana Ya Haki Ya Al’Quran Lakini Ispokua Atakumbuka Wenye Akili!

Na Salam Juu Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Ndugun wa ma Shia Na Ma Alsunna Waljamaa Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.
وسلامٌ على المُرسلين والحمدُ لله ربّ العالمين..
أخو الشيعة والسُّنة والجماعة الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ــــــــــــ